sunshine franklin
New Member
- Apr 17, 2012
- 2
- 0
[h=6]BREAKING NEWS: Mawaziri NANE waliojiuzulu ni; Waziri wa Fedha, Mustafa Mkulo, Waziri wa Viwanda na Biashara, Cyril Chami, Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja, Waziri wa Uchukuzi, Omar Nundu, Waziri wa Maliasili na Utalii, Ezekiel Maige, Waziri Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi),George Mkuchika, Waziri wa Kilimo Jumanne Maghembe na Afya, Dk. Haji Mponda.[/h]