Mawaziri wanane watakiwa kung'oka...!

Mawaziri wanane watakiwa kung'oka...!

mwanzo mzuri wa viongozi sasa kuutumikia umma

[h=3]Chanzo: Mpayukaji blog[/h] [h=3][/h][h=3]
thumbnail.aspx
thumbnail.aspx
thumbnail.aspx
thumbnail.aspx
thumbnail.aspx
thumbnail.aspx
thumbnail.aspx
thumbnail.aspx
[/h]Habari tulizopokea toka kwa


wezi hawa wasulubiweeeee
 
Kama kuna kitu serikali ya ccm inakosea ni kuzani kuwa tanzania ni mali ya ccm...sasa ule mda wa kulindana kama chawa kwenye koti la mzee umekwisha hapa tunataka uwajibikaji na wasilete masihara vinginevyo rais aanze kutafuta jina la waziri mkuu mpya...tunataka ccm wawe mfano jumatatu
 

Nayatazama haya maamuzi kama ya kulinda masilahi binafsi zaidi kuliko masilahi ya Umma. Kuna naibu waziri mmoja anatajwa kuwa huenda akawa kundini nachelea kumuandika kwa kuwa ni kama bado palikuwa na sintofahamu na nini waazimie kama hatima yake.

Shinikizo lilikuwa kubwa na jamaa walimhakikishia mtoto wa Peasant kuwa '' kama hutawawajibisha vijana wako tuliowataja bila kuuma maneno kesho wote tunaanguka sahihi katika fomu ya ZITTO ZUBERI KABWE na kikosi cha CDM''

hapakuwa na Ujanja tena, kilichonistua ni mbwembwe zote za kualika MEDIA kisha wapashaji habari kuishia kutorokwa na zigo kutwishwa Mhagama ambaye alikuwa kama kameza kanda kwa kutoa jibu hilo hilo moja ati mambo yote kesho, mwenyekiti ataongea, Nani huyo....Si Waziri Mkuu.

Huku alikwisha ondoka kama dk 10 zilizopita. MBIVU na MBICHI kesho Asubuhi Mjengoni

GR Ntasimama LIVE kulikabili jukumu nililoliIntroduce JAMVINI


ADIOS

Kwa habari za Bunge tu, GR nakuaminia kwa kiwango cha hali ya juu kabisa! senks
 
Hivi hao Mawaziri wasiotaka kujiuzuru hao Wake zao waliwatongoza vp? Najiuliza nashindwa kupata jibu. Na wanatakiwa washitakiwe sio wa kuachwa hivi hivi.
 
Mimi mkuu nashauri hawa safari hii kwa vile ni wengi wafilisiwe
ila mkulo anyongwe mwizi siku nyingi yule
 
Watanzania think out of the box. Tatizo sio hao Mawaziri nane.
Tatizo ni the whole system. Sytem nzima ni mbovu from the top to the bottom.
Hata wakiletwa mawaziri wengine wapya hakutakuwa na jipya.
Mara ngapi mawaziri wamebadilishwa lakini mambo ni yale yale?
 
source RADIO ONE imetangaza hilo jambo pls mwamini wana JF habari zinaendelea kuja HAKUNA KULALA MPAKA TUPATE FULL TORY
 
Hivi wakishajiuzulu hawa mtaridhika? au mtasema "angalau tumeanza mahali" na hivyo kuonesha kuwa mmesahau kabisayaliyiotokea 2008 au ya kina Kiula miaka kadhaa nyuma?

kuridhika hapa ni mpaka hawa jamaa washughulikiwe kisheria kwani stepping down alone is not enough
 
Ndugu zangu wanaJF,

Binafsi nimefarijika kusikia TETESI kuwa Ngeleja, Chami, Nundu na Dr. Mponda wamejiuzuru nyadhfa zao za Uwaziri.

Hii kwa usiku huu kama ni kweli ni vizuri. Wametimiza maagizo ya wananchi. Kama si kweli usiku huu, basi kesho au kesho kutwa watatekeleza hivyo. Niseme tu, huu ni ushindi wa demokrasia. Ni ushindi kisiasa. Ni hoi kwa Spika aliyembeza Zitto. Si hayo tu, ni ushindi wa wanachi na wadau waliowashinikiza wabunge wao kukubali kusaini au kuishinikiza serikali kupitia vikao vyao ili kuinusuru serikali.

La msingi hapa ni kwamba watanzania tukiamua, kila jambo linawezekana kabisa. Zitto, kaza mwendo kuna mlima mrefu mbele, ila tutapita.... Mabadiliko ni sasa siyo kesho!!
 
kAKA KUNGUNI AKIINGIA NDANI YA NYUMBA WANATOKA KIRAHISI HAWA WATENDAJI WA CCM NI KAMA KUNGUNI
WANAFIKIRIA KUNYONYA WANANCHI TU HAKUNA KINGINE WANACHOWAZA.

WANANCHI WAPIGE KURA YA KUWANYONGA
 
Watanzania think out of the box. Tatizo sio hao Mawaziri nane.
Tatizo ni the whole system. Sytem nzima ni mbovu from the top to the bottom.
Hata wakiletwa mawaziri wengine wapya hakutakuwa na jipya.
Mara ngapi mawaziri wamebadilishwa lakini mabo ni yale yale?

EMT, Nafikiri wengi wanaelewa hilo; lakini ugumu ni namna yaku-clean the whole system before 2015. Hiki ndio wengi kina-tu/wasumbua.
 
Hivi inawezekanaje Mawaziri wang'oke pasipo na Makatibu Wakuu (Accounting Officers) wao wabaki-JK, Further Forward-linkage actions required!
 
Watanzania think out of the box. Tatizo sio hao Mawaziri nane.
Tatizo ni the whole system. Sytem nzima ni mbovu from the top to the bottom.
Hata wakiletwa mawaziri wengine wapya hakutakuwa na jipya.
Mara ngapi mawaziri wamebadilishwa lakini mabo ni yale yale?

Kweli mkuu,

Nashangaa watu wanafurahia wakati wamepigwa changa la macho...Kwani katika CCM, ni nani anaweza kuongoza nchi hii kwa nafasi yoyote ile?

Wabunge wangetusaidia sana kama wangeweza kupunguza muda badala ya kusubiri 2015; kwa sababu tunapoteza muda bure na jamaa wanaendelea kujikusanyia kama vile wanachota mchanga wa pwani!!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Hahaha! Umeona JK eeenh? umecheza na mbwa sasa wacha uingie nao msikitini
 
Mkweeeree akijiuzulu itakuwa poa sana. WASIRA KASALIMIKA?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom