Mawaziri wanane watakiwa kung'oka...!

Mawaziri wanane watakiwa kung'oka...!

Something is better than nothing!
Safari moja huanzisha nyingine!

The most frustrating argument I have heard is "something is better than nothing". This might sound nice, but it is a logical fallacy. As Kofi Annan once said that it is better to have no outcome than a bad outcome which holds back action and takes years to unravel and reconstruct. We have reached a point of framing our minds that changing ministers will improve the situation.

The "something is better than nothing" line is exactly the same kind of logical fallacy "to act or not to act". It sounds nice, but it is easy to think of plenty of examples when doing ‘something' is clearly not better than refusing to do what is offered and instead continuing to work towards kind of action we all know we need.

Wake up you people.
 
kwanini wasimwambie waziri wa mambo ya ndani pia au kwakuwa katoka zanzibar au ndio madudu yake yanakubalika
tumeona raiya wakiuliwa na polisi na yeye kimya au ndio nahoda analipiza ya tarehe 26 2001 kule pemba
 
Tatizo hawa wezi wakijiuzulu hawachukuliwi hatua yaani hata hizo mahakama zetu ni vibogoyo kabisa.
 
Na Mkullo naye yuko USA
.......aijalishi,labda wafie huko huko kama Balali,na bado amnishauri kuwa umri ndio kigezo cha uraisi,hii mizee busara yao iko wpi zaidi ya kuvuna aibu!!!!!!! go zito....go CDM
 
tungoje wakithibitisha tuone hatua za kuchukua
 
kipanya_07-_03_-_2012_20120307_1624138827.jpg
 
Tumshukuru mungu kwa hao walio jiuzuru kula pesa za wa tz' wa tz tufunge na kuomba ili wakamatwa nakufugwa jela maisha iwefundisho na kwa wengine.
 
naanza kukaona katanzania kangu kanakuja kiaina aina! plizi mungu dont take my breath until i see peoples power ruling my lovely country!
 
Rais na wateule wake, wakurugenzi nao waondoke. hapo tutakuwa tumepona!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom