Mawaziri wanane watakiwa kung'oka...!

Mawaziri wanane watakiwa kung'oka...!

Open Group mpya imefunguliwa facebook kwa jina la Ukombozi Tanzania. Unaruhusiwa kujoin pamoja na kuinvite watu mbalimbali kwenye group. Aim ni kuwa na kila mtanzania anayetumia mtandao wa internet awe kwenye hili group tayari kupashana habari pamoja na Kuikomboa nchi yetu. Ndio kwanza tumeanza kuchukua hatua sio kila siku maneno.. Jiunge na hiyo group sasa na unganisha na wenzako.


Ukombozi Tanzania Admin
 
Dah Ngeleja noma naona unatupa adhabu ya mwisho kabla hujajiuzuru. Umeme hakuna toka saa au ndo unamalizia miradi yako?
 
Wakuu nasikia Mawaziri wapatao sita wameamua kujiuzulu kumnususuru Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Serikali yao. Mwenye updates atupee. My take kujiuzulu tu hakutoshi washitakiwe na wafungwe la sivyo tutasikia na wao wakiitwa mawaziri wastaafu kama EL halafu tutakuwa tunalea wezi kwenye nchi hii.
 
Mkuu Invisible huu Uzi nimeuweka pembeni makusudi kuepusha Usumbufu kwa wanajamvi kuendelea kusubiri breaking za uongo hapa sasa na wewe kwa jazba umeuunga hapa.

Tunataka kumaintain hadhi ya forum na si habari za kusadikika


Adios
 
Ndugu zangu watanzania
pengine ni wengi watafurahishwa na swala la kujiuzulu kwa mawazri hata kufuta baraza zima la mawaziri..kama nilivyosema mwanzon yawezekana tatizo sio mawaziri pekee hata pengine lipo ngazi ya juu ya serikalini..sasa basi kama swala ni kushangilia na kuwaodoa hawa na mwisho kuweka wengine tutakuwa wehu kama si wendawazimu samahani kutumia neno hili takrishshi

nasema hivi maana pengine tutakuwa tumewashtua ccm ni kumbe kuna swala la kujiuzulu lakini naamini m na wewe lengo sio tu hawa watu kujiuzulu swala ni kuwafikisha mahakamani na kufunguliwa kesi haraka iwezekanavyo....na mwisho kuufungwa na kufilisiwa mali zao ikiwezekana kesi isimalize hata mwezi mmoja na nusu

Mh deo .f anasema kuna mawaziri anao ushahiidi wezi wakubwa na mwingine akawa bila aibu anataka kujitetea kwa kumtishia mh deo wakati ana kesi nyingi za kujibu ikiwemo kula pesa za mradi wa magari ya wanafunzi unajua zile pesa alizochangia zimeenda wapi kwa ajili ya mabasi ya wanafunzi???bila aibu anataka kutishia watui

ndugu zangu mh deo sasa kama wamejiuzulu naomba pengine bado uko ccm naomba wapenyezee hata jamaa wa sheria wazuri waibuke mahakamani sikuhizi kuna mpesa na tigo pesa mkuu nakwambia hizo kesi watanzania tutazilipia mpaka tuone mtu anafungwa na kufilisiwa...uwezi kusema ninajiuzulu wakati una kampuni feki zimekamata miradi ya serikali na nje ya nchi japan ,france nk..huu ni uhuni leo hii uwezi kuniambia mkurugenzi wa tbs anajiuzulu nimwachie mama yangu mwanamke hata kwamaandamano lazima tumfungulie kesi mahakamani na tukishindwa basi tutapiga maombi ya adui afe ....sembuse hawa mawaziri wameiba billions jamani

saaasa ni wakati wa kuelekea stage nyingine waliojiuzulu na ambao bado tupeleke mahakamani tukiwa na ushahidi akuna haja ya kuropoka huku watu wanabadilisha ndege ovyo washington-atlanta-texas kama wanaenda mbagala na bungeni hawauuzurii hata kidogo..hivi mh rais kwa nini haya ...y??????nani azaliwe akwambie uwaamini marafiki zako ni adui zako wakubwa?????mh raisi wakati unamchagua mkullo wengi walisema mengi na moja wapo yaliandikwa kwenye hii jf kama si leo basi kesho rias lazima ajute kumchagua mkullo....leo ni aibu tupu hizi aibu unazifichaga wapijamani...???hawa marafiki unateua wanaiba wanajiuzulu yataisha lini....ile kampuni ya ndege ulimchagua mate wako wa shule ambae hajui hata spea ya ndege inanunuliwa wapi!!!unatupeleka wapi mh raisi....nani aamke akwambie ukweli uamini???????????????????????? ?????????????????????????????? ??

progress.gif
clear.gif
 
kama itakuwa kweli basi democracy imekua kwa kiwango fulani nchini Tanzania, sasa tunaelekea kwenye siasa ya ukweli. I hope its gonne rain coz i can see the cloud gazing over the sky! Ni jambo la rehema katika mustakabali wa maendeleo ya taifa letu. Mungu atupe rehema na ujasiri wa kuyashinda majaribu yanayolikumba taifa letu. Atuepushe na watu wanaotuangalia kwa jicho la husuda especially jirani zetu wa-nairoberry!
 
mkuu invisible huu uzi nimeuweka pembeni makusudi kuepusha usumbufu kwa wanajamvi kuendelea kusubiri breaking za uongo hapa sasa na wewe kwa jazba umeuunga hapa.

Tunataka kumaintain hadhi ya forum na si habari za kusadikika


adios
kumekucha
 
Wabunge wa CCM wanaendelea na kikao cha dharura.

-Lengo la kikao ni kuishauri serikali na maamuzi yatatolewa baadaye na Pinda.

-Maamuzi yako tayari hadi sasa.

Jenesta Mhagama amesema taarifa rasmi itatolewa baadaye.

Source TBC1!
 
Hivi pamoja na kujiuzulu hakuna namna ya kuwavua na ubunge pia? Au ccm kama ipo serious iwavue uanachama kabisa!
 
Hili chama chetu kiendelee kusafisha na kuondoa uchafu wote
wafuatao wamesaulika. Huu muda ndo wa kujenga chama chetu
CCM kiwe na nguvu na kuwa tumaini la watanzania wote.

1. Adam Malima (Huyu alikamatwa morogoro, )
2. Hussen Mwinyi( Amesababisha watu wa mbagala na gongo la mboto kuwa vilema na masikini)
3.
4.
5.
6.
7.


Tumsadia Rais wetu kikijenga chama chetu na kuinua Taifa letu

Mungu ibariki Tanzania
 
hakuna jipya,sioni hata punje ya ukweli
 
Jenesta amekataa kutoa maamumizi ya kikao.

Ila wabunge wa CCM wametekeleza wajibu wao mkubwa kwa mujibu wa kanuni

Amekataa kata kata kueleza undani wake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom