Mie huwa nachoka na PM wetu hasa pale anaposema "mimi nadhani......mimi nafikiri ....mimi naona tusubiri" yaani hakuna maamuzi na hivi ajua wabongo yunapenda porojo ndio kabisaaaa
Waandishi wa habari wamembana aseme maamuzi ya kikao ila kakataa
Amekaliwa kooni sana na waandishi wa habari maana wamesubiri kwa muda mrefu nje ya ukumbi wa kikao!
Anataka kukimbia lakini maswali yanamzidi!
Actually she is not talking any sense!
kwahiya mpango wa sahini sabini ndio umekufa?kwahiyo pinda bado tunaye?dah!
kwahiya mpango wa sahini sabini ndio umekufa?kwahiyo pinda bado tunaye?dah!