Pinda ni mzito kwa kila idara!
Mbona uwaziri mkuu ni nafasi ya utendaji anangoja amri ya nani huyu stooge?
Naanza kujiuliza nje ya Box kuwa alimpataje Tunu!
anasubiri smg za kina zitto na deo.fpinda ni mzito kwa kila idara!
Mbona uwaziri mkuu ni nafasi ya utendaji anangoja amri ya nani huyu stooge?
Naanza kujiuliza nje ya box kuwa alimpataje tunu!
Waziri Mkuu anaondoka katika Mazingira Tatanishi licha ya kuwaita kwa nguvu waandishi wa vyombo mbalimbali ambao walitegemea angetoa Tamko kuhusiana na maamuzi mazito ambayo tayari yamekwishazungumzwa hapa JF, Bahati mbaya sasa anatoka yeye kupitia mlango wa uani na muda mfupi kidogo anatoka Jenista Mhagama na yeye anapotakiwa kutoa Tamko kama ilivyoagizwa awali anasema maelezo yote atayatoa mwenyekiti wao Waziri Mkuu ambaye kisha chepuka kama dk 15 zilizopita.
- Kimejiri Nini hakuna anayejua
- Atatangaza kesho asubuhi katika Bunge, Inaelekea hii ndo plan ili wasipre-empty kikao cha Bunge
- Au wanasubiri baraka za Vasco Da Gama, hakuna anayejua
Ila kwa kauli ya Jenista Mhagama Mawaziri saba wameamuriwa Kujiuzuru mara moja nyadhifa zao....Nakamata detail za mwisho kabla sijaondoka niwajuze wanajamvi
Kwa sasa hayo ndo yanajiri kutoka viwanja vya Bunge
Adios
Pinda ni mzito kwa kila idara!
Mbona uwaziri mkuu ni nafasi ya utendaji anangoja amri ya nani huyu stooge?
Naanza kujiuliza nje ya Box kuwa alimpataje Tunu!
Pinda ni mzito kwa kila idara!
Mbona uwaziri mkuu ni nafasi ya utendaji anangoja amri ya nani huyu stooge?
Naanza kujiuliza nje ya Box kuwa alimpataje Tunu!
Pinda ni mzito kwa kila idara!
Mbona uwaziri mkuu ni nafasi ya utendaji anangoja amri ya nani huyu stooge?
Naanza kujiuliza nje ya Box kuwa alimpataje Tunu!
That guy is an old fashioned spy. He is never a politician. Anapata mahangaiko sana kufanya kazi na wajanja wanaomzunguka.
Kudadadeki Adam Malima kauchuna