LazaroSMtindi
Senior Member
- May 6, 2008
- 100
- 9
Mimi sidhani kama hii ni big deal as long as huyo mtu hakuforge hicho cheti kutoka kwenye hiyo university. Kuna nchi nyingi tuu ambazo azitambui degree, masters or universities from certain countries and universities especial those countries which are classified as developing countries.
Mfano: New Zealand hawatambui degree ya aina yoyote kutoka UDSM au University yoyote ya Tanzania. Sasa ndugu zanguni mtaniambia kwamba watu wote waliopata Degree/masters/Phds kutoka UDSM, Mzumbe etc wameforge hizo degree kwasababu New-Zealand hawazitambui?
Watanzania msipende kudakiwa issues, someni muunderstand what is the argument behind the story na ndio muunze kuongea..
Pia ndugu zanguni tofautisheni maana ya kutambulika kwa university in a certain country na kugushi (forging) a degree
Well maybe you were luck that time.. Now days my dear they dont accept degrees from certain countries due to the teaching quality. If you have time check their website for skilled immigrant. They have stated clearly which degree certificates they accept from which country. When did u teach at Waikato?
New Zealand sio nchi pekee ambayo inakataa degree from Tanzania. Zipo nyingi sana. Na always arguments behind it ni quality of teaching and competence of those graduates in the working world.
Pia kitu ambacho Tanzania tunasahau watanzania ni kwamba ni working world especial in developed countries working experience mattes not what you learn from universities. Angalieni graduates wanaomaliza UDSM hawajui kitu.. hii sio dharau but its reality
serikari ianze kuweka more effort into mixing education na vocational training (work experience). Hii itawezesha wanafunzi kujua practical side of what they are being taught at university level and itasaidia kuwezesha good quality of research done by our universities.
Originally Posted by future-Tanzania View Post
Well maybe you were luck that time.. Now days my dear they don't accept degrees from certain countries due to the teaching quality......Pia kitu ambacho Tanzania tunasahau watanzania ni kwamba ni working world especial in developed countries working experience mattes not what you learn from universities. Angalieni graduates wanaomaliza UDSM hawajui kitu.. hii sio dharau but its reality.
Well maybe you were luck that time.. Now days my dear they dont accept degrees from certain countries due to the teaching quality. If you have time check their website for skilled immigrant. They have stated clearly which degree certificates they accept from which country. When did u teach at Waikato?
New Zealand sio nchi pekee ambayo inakataa degree from Tanzania. Zipo nyingi sana. Na always arguments behind it ni quality of teaching and competence of those graduates in the working world.
Pia kitu ambacho Tanzania tunasahau watanzania ni kwamba ni working world especial in developed countries working experience mattes not what you learn from universities. Angalieni graduates wanaomaliza UDSM hawajui kitu.. hii sio dharau but its reality
serikari ianze kuweka more effort into mixing education na vocational training (work experience). Hii itawezesha wanafunzi kujua practical side of what they are being taught at university level and itasaidia kuwezesha good quality of research done by our universities.
Hapo red napata picha fulani kuhusu wewe..., laiti kama ningejua umesoma wapi? umesoma nini? kwa kiwango gani na unafanya nini...., au nawe ni mmoja wao?
.........sidhani kwa kutokuwepo kwenye list ndio inamaanisha kutoitambua degree za bongo...........
.......Sidhani kama kuna mtu anasema Waziri ka-forge cheti.......Ndugu yangu hata ukitaka Cheti sasa hivi.......mimi naweza kumwambia mwanangu akakutengenezea PhD/Masters certificate nzuri sana........nikakupatia.......hautakuwa ume-forge
hiyo PhD itatoka university gani? reputable? i am sure the answer is NO! kama ni itatoka UK or America itakuwa ni kutoka kwenye Vyuo ya £1000 a year.. ndio maana watu wanatembea na miguu kuwezesha wanao wasome expensive univerisities kwaajili ya hizi issue
No.........hayuko qualifield kwenye in the field of expertise kutokana na hiyo PhD feki kwani haikubaliki hata kwenye nchi hiyo hiyo alikoipata
kwa hii hapo juu kama umesoma vizuri kwenye comment zangu before nimesema vizuri kabisa kama university inakubalika kwenye nchi hiyo au zingine then yuko qualified..
Let me assume you are correct.......then why rush for un-genuine Masters and PhDs
Thax for this.. watanzania tunapenda sana masifa ya kipuuzi
Manage the work?.......which work.....remember specialised field need a specialised person......and ofcourse this differ in the level of educatio
kama umekaa Abroad na umefanya kazi as a professional then utajua kwamba some of people on top dont have PhD. wamemake to the managerial level according to their working experience. na wengine ata wanasoma huku wanafanya kazi
Wrong....because it depends na area/level unayofanyia kazi
Yes depend on your career na pia your life plan ila what is important is to look at where you will gain more expertise
Mwl Kichuguu naona keshakuwekea mfano mzuri tu...wa kwake yeye mwenyewe....
Future Tanzania na wengine,
Tusiwe na mawazo mafupi. PhD ni shahada yenye heshima yake. Kama umeipata kihalali na umefanya yanayotakiwa kufanywa mpaka ukaipata, nakuhakikishia hutakosa kazi. Ni cheti chenye heshima sana. na kwa upande wangu mtu mwenye PhD yake namheshimu sana.
Hivi kweli wewe unataka kuniambia mwenye PhD yake na wewe mwenye degree yako moja au Masters muombe kazi World Bank..watakuchukua wewe yeye wamuache? Unless kweli hiyo PhD haina relevance hapo...lakini ukweli ni kwamba he stands better chances than you and me. mashirika kama World Bank au UN..ukiwa na PhD yako una uhakika kabisa kwamba career progression yako iko assured maana una uwezo wa ku-compete na wengine vizuri. Hata wakitaka kupunguza..wewe utakuwa wa mwisho (ofcourse PhD lazima ireflect na utendaji-lol). Ndo maana wazee ambao wamekaa UN miaka mingi..wengi ni wale wenye shule zao. Na kwa sababu unashindana na watu wa mataifa mengine, kusurvive ni vyema uwe na shule ndefu. MAANA WENZETU HUKO MAJUU PhD siyo anasa..ni qualifications za kawaida.
Tuache old thinking kwamba ukisoma PhD basi wewe utakuwa mwalimu au hutapata kazi..my friend that kind of thinking is long dead! Kuna mashirika kama huna PhD ndugu yangu unajiona kabisa uko out of the system...utakuwa mtu wa kutegemea (affimative action ya waafrika kwenye kupandihwa vyeo) Unless if you only think Local basi PhD haina "maana" but if you think global? Ohhh PhD is the way to go. Naamini leo hata ukija kuomba kazi bongo serikalini..na PhD yako..Iam sure watakupa kazi tena ya maana. enzi za ukiwa na PhD eti hupati kazi..zilishakufa long time sana...
Kwa wale wenye nia ya kusoma PhD please do it! the rewards will be enormous. Utafanya kazi popote duniani if you want to. Na kama huna hiyo PhD siyo vyema kuwadiscourage wenzako. Watoto wa kizungu ukiomba kazi nao huko World Bank..mtu ana miaka 25 au 26 tayari ana PhD..wewe huyo miaka 40 hata masters ya kuunga unga..harafu unategemea kijana anyimwe kazi? By the way PhD speaks alot about inteleectual aptitude ya mtu..kumbuka hakuna shule ya experience.
Ofcourse PhD za kununua za akina Nagu and Co..HIZO tutazipinga mpaka kufa! Ila PhD kama ya ndugu yangu Kitila Mkumbo ambaye kaihangaikia..eti leo unasema haina maana? you must be kiding yourself!
Mfano: New Zealand hawatambui degree ya aina yoyote kutoka UDSM au University yoyote ya Tanzania.
MwanaFA bongo flava ana advanced diploma ya Insurance(kama sijakosea) akakula MSc Finance coventr univ Uk....As we all know that, New Zealand, Australia, now UK and other countries (too many to mention) have very strictly policies on skilled immigration due to the fact that they want to protect their economy interest and their people. Hence they do research on each countries teaching quality at universities level and they state clearly on their immigration website what university and countries they accept degrees from. Ukienda kwenye some of these developed countries immigration websites find your country of original (Tanzania) then angalia university gani toka Tanzania zinakubalika. For New-Zealand none!
sasa wewe una Phd yako ya kulina asali nani akuajili?......Why do think watanzania wengi wanamaPhd na wanakosa kazi wakienda Abroad?
huyo Mwl Kichuguu alifundisha lini huko? na aligraduate UDSM lini? na alifanya post graduate wapi?
Hebu fafanua una maana gani kusema kuwa New Zealand hawatambui degree za Tanzania. Mimi niliwahi kufundisha kwenye
School of Science & Engineering hapo University of Waikato,
New Zealand, nikiwa na degree ya UDSM.
Future Tanzania na wengine,
Tusiwe na mawazo mafupi. PhD ni shahada yenye heshima yake. Kama umeipata kihalali na umefanya yanayotakiwa kufanywa mpaka ukaipata, nakuhakikishia hutakosa kazi. Ni cheti chenye heshima sana. na kwa upande wangu mtu mwenye PhD yake namheshimu sana.
Hivi kweli wewe unataka kuniambia mwenye PhD yake na wewe mwenye degree yako moja au Masters muombe kazi World Bank..watakuchukua wewe yeye wamuache? Unless kweli hiyo PhD haina relevance hapo...lakini ukweli ni kwamba he stands better chances than you and me. mashirika kama World Bank au UN..ukiwa na PhD yako una uhakika kabisa kwamba career progression yako iko assured maana una uwezo wa ku-compete na wengine vizuri. Hata wakitaka kupunguza..wewe utakuwa wa mwisho (ofcourse PhD lazima ireflect na utendaji-lol). Ndo maana wazee ambao wamekaa UN miaka mingi..wengi ni wale wenye shule zao. Na kwa sababu unashindana na watu wa mataifa mengine, kusurvive ni vyema uwe na shule ndefu. MAANA WENZETU HUKO MAJUU PhD siyo anasa..ni qualifications za kawaida.
Tuache old thinking kwamba ukisoma PhD basi wewe utakuwa mwalimu au hutapata kazi..my friend that kind of thinking is long dead! Kuna mashirika kama huna PhD ndugu yangu unajiona kabisa uko out of the system...utakuwa mtu wa kutegemea (affimative action ya waafrika kwenye kupandihwa vyeo) Unless if you only think Local basi PhD haina "maana" but if you think global? Ohhh PhD is the way to go. Naamini leo hata ukija kuomba kazi bongo serikalini..na PhD yako..Iam sure watakupa kazi tena ya maana. enzi za ukiwa na PhD eti hupati kazi..zilishakufa long time sana...
Kwa wale wenye nia ya kusoma PhD please do it! the rewards will be enormous. Utafanya kazi popote duniani if you want to. Na kama huna hiyo PhD siyo vyema kuwadiscourage wenzako. Watoto wa kizungu ukiomba kazi nao huko World Bank..mtu ana miaka 25 au 26 tayari ana PhD..wewe huyo miaka 40 hata masters ya kuunga unga..harafu unategemea kijana anyimwe kazi? By the way PhD speaks alot about inteleectual aptitude ya mtu..kumbuka hakuna shule ya experience.
Ofcourse PhD za kununua za akina Nagu and Co..HIZO tutazipinga mpaka kufa! Ila PhD kama ya ndugu yangu Kitila Mkumbo ambaye kaihangaikia..eti leo unasema haina maana? you must be kiding yourself!
Future Tanzania na wengine,
Tusiwe na mawazo mafupi. PhD ni shahada yenye heshima yake. Kama umeipata kihalali na umefanya yanayotakiwa kufanywa mpaka ukaipata, nakuhakikishia hutakosa kazi. Ni cheti chenye heshima sana. na kwa upande wangu mtu mwenye PhD yake namheshimu sana.
Hivi kweli wewe unataka kuniambia mwenye PhD yake na wewe mwenye degree yako moja au Masters muombe kazi World Bank..watakuchukua wewe yeye wamuache? Unless kweli hiyo PhD haina relevance hapo...lakini ukweli ni kwamba he stands better chances than you and me. mashirika kama World Bank au UN..ukiwa na PhD yako una uhakika kabisa kwamba career progression yako iko assured maana una uwezo wa ku-compete na wengine vizuri. Hata wakitaka kupunguza..wewe utakuwa wa mwisho (ofcourse PhD lazima ireflect na utendaji-lol). Ndo maana wazee ambao wamekaa UN miaka mingi..wengi ni wale wenye shule zao. Na kwa sababu unashindana na watu wa mataifa mengine, kusurvive ni vyema uwe na shule ndefu. MAANA WENZETU HUKO MAJUU PhD siyo anasa..ni qualifications za kawaida.
Tuache old thinking kwamba ukisoma PhD basi wewe utakuwa mwalimu au hutapata kazi..my friend that kind of thinking is long dead! Kuna mashirika kama huna PhD ndugu yangu unajiona kabisa uko out of the system...utakuwa mtu wa kutegemea (affimative action ya waafrika kwenye kupandihwa vyeo) Unless if you only think Local basi PhD haina "maana" but if you think global? Ohhh PhD is the way to go. Naamini leo hata ukija kuomba kazi bongo serikalini..na PhD yako..Iam sure watakupa kazi tena ya maana. enzi za ukiwa na PhD eti hupati kazi..zilishakufa long time sana...
Kwa wale wenye nia ya kusoma PhD please do it! the rewards will be enormous. Utafanya kazi popote duniani if you want to. Na kama huna hiyo PhD siyo vyema kuwadiscourage wenzako. Watoto wa kizungu ukiomba kazi nao huko World Bank..mtu ana miaka 25 au 26 tayari ana PhD..wewe huyo miaka 40 hata masters ya kuunga unga..harafu unategemea kijana anyimwe kazi? By the way PhD speaks alot about inteleectual aptitude ya mtu..kumbuka hakuna shule ya experience.
Ofcourse PhD za kununua za akina Nagu and Co..HIZO tutazipinga mpaka kufa! Ila PhD kama ya ndugu yangu Kitila Mkumbo ambaye kaihangaikia..eti leo unasema haina maana? you must be kiding yourself!
....duuuhh....wewe inaelekea una mataizo makubwa sana...hata kusoma ni mvivu....duuhh!!......haya hebu angalia hapa Mwl Kichuguu alivyokujibu........[/QUOTE]
Ogah!
nimekuuliza huyu kichuguu alifundisha Waikato university lini? maana tusiwe tunaonge vitu vya 90's 70's AMBAPO UDSM WAS WELL KNOW FOR ITS QUALITY.. NDIO MAANA NIKAULIZA ALIMALIZA DEGREE UDSM LINI NA ALIFANYA WAPI MASTERS MAANA THAT MATTERS AS WELL.. so miss/mr Ogah naomba uwe unafatilia maongezi sio kulipuka lipuka
Massanja,
To be honest with you, I think you are kind of person who believes education is Civilization and simply because someone has a PhD then she/he knows everything na anaitaji heshima. Dont get me wrong , Sijakataa PhD is a wonderful thing if you do it with passion on the subject however you cant do it without working experience.
I am not sure what you really understand about PhD but it is a hell of a job!
Also you said something very ridicule! PhD guarantees you a job. Please be reality maybe what you refer is in Tanzania. Let me tell you something Buddy, I have friends who went direct to do PhD etc with no working experience. One it took them so long because they had no practical side of subjects and two to-dates they still cant get a jobs because of having no good CV than academic CV! Dont forget they also went to the top 10 World rank university!
All I can say.. If someone wants to do PhD do for yourself and your family not for some heshima za kijinga za watanzania kuitwa DR also do it when is the right time and you have working experience.
Tanzanians are so intelligent but we luck work experiences which will help us to sustain global business culture.
....duuuhh....wewe inaelekea una mataizo makubwa sana...hata kusoma ni mvivu....duuhh!!......haya hebu angalia hapa Mwl Kichuguu alivyokujibu........[/QUOTE]
Ogah!
nimekuuliza huyu kichuguu alifundisha Waikato university lini? maana tusiwe tunaonge vitu vya 90's 70's AMBAPO UDSM WAS WELL KNOW FOR ITS QUALITY.. NDIO MAANA NIKAULIZA ALIMALIZA DEGREE UDSM LINI NA ALIFANYA WAPI MASTERS MAANA THAT MATTERS AS WELL.. so miss/mr Ogah naomba uwe unafatilia maongezi sio kulipuka lipuka
.......Ndio maana anaitwa "Kichuguu".......au hata na hilo inabidi uelimishwe........duuh