When rich people rob the poor it's called business
Hivi 'Uwaziri' ni DEAL?
Unafikiri kwanini waziri anasema "Mimi sijiuzulu ng'o"Hivi 'Uwaziri' ni DEAL?
Mgao wa Dowans.
Huyu Dogo shule yote na Experience ya Coopers and Lybrand anishia kuwa Mwizi???
This is shame.
Hivi wanajiandaa kuja kuishi huku Ughaibhuni siku ya gharika??
Nothing personal, hivi Ngeleja ana biashara gani? Ni mkopo? Ni mshahara wake tu? Isijekuwa ni mgawo wa DOWANS...
Hivi mbona kwenye picha hakuna Block A? mimi naona C. Halafu mbona hati yenyewe yaonekana kama zile za ,mika ya 80? wakati hii yaonekana ni ya 2010?!!!. nauliza tu isije ikawa ni Photoshop?
Lakini kama ni kweli basi TWAFA