Mawaziri wa JK: Ngeleja na apartment ya $350,000

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
Nothing personal, hivi Ngeleja ana biashara gani? Ni mkopo? Ni mshahara wake tu? Isijekuwa ni mgawo wa DOWANS...

attachment.php

attachment.php

attachment.php


Hizo apartments zilijengwa na msomali mmoja anaitwa Mohamed amesajili kampuni inaitwa AFRICAN VILLAGE ESTATE zipo msasani nimepata kuziona zipo Block A,B,C alikuwa anaziuza 350,000/-usd ni sahihi kabisa!
 

Attachments

  • ngeleja3.jpg
    ngeleja3.jpg
    28.8 KB · Views: 6,595
  • ngeleja2.jpg
    ngeleja2.jpg
    38 KB · Views: 6,703
  • ngeleja1.jpg
    ngeleja1.jpg
    30.9 KB · Views: 6,576
  • ngeleja4.jpg
    ngeleja4.jpg
    29.4 KB · Views: 672
1. Ana tenda ya kupeleka mafuta mazito Mwanza kwa ajili ya mitambo ya umeme....

2. Ana tenda ya kubeba mizigo/mchanga unaopelekwa bandarini, etc katika mgodi wa Buzwagi...

ipo siku vitarudi kwa wananchi....
 
iiii wajameni:A S 41:, hutumii akili tuuuuuuuuu, Barrick, tanzanite one, Williamson diamonds,, makampuni yote ya gesi, dhahabu, vito, almasi, mafuta, iii wajameni na wote wakitoa dola tanotano tu mhhhhhhhhhhhh, bahati ya mwenzio bhabha....
 
Kwa mtindo huu ka kuna mwanasiasa anakufa akiwa masikini nadhani atakuwa mpuuzi...
 
kazi tunayo mbona. tunashukuru mkuu, tafadhali endelea kutujuza na madudu mengine ukikutana nayo. cc tunakusanya hasira tu hapa.
 
Duh, pole zake.

Labda watupe mapato na matumizi yao hadharani tunaweza elewa.
 
Wakuu ina maana huyu bwana anamiliki ilo dude lote au ana kachumba humo ndani?

Duuh heri ya waliotangulia mbele ya haki hwawazi kumtoa mtu shingo
 
Back
Top Bottom