Mawaziri wa JK: Ngeleja na apartment ya $350,000

Kama wewe ni mbunge..peke yake unatia kibindoni shillingi zaidi ya 10,000,000 kwa mwezi, sasa kama na uwaziri basi mshahara juu zaidi, nyumba bure gari na dereva bure, umeme bure maji bure , unasafiri hapa na pale unastahili allowance..kwa uchache ,waziri kwa mwezi anaondoka kwa halali kabisa na zaidi ya shillingi 20,000,000 sasa kama waziri sio mlevi wa ulevi na wanawake basi hardly matumizi yake hayatozidi 5, 000,000 kwa mwezi si anapata kila kitu bure???
Hoja yangu hata bila ya rushwa unaweza kununua nyumba kama hizi hata 5 akilmaliza miaka yake 5 au 10 kama waziri .
 
Invisible;
Hili ni shamba la bibi kila mtu akishika cheo anaiba, na analindwa
 
1. Ana tenda ya kupeleka mafuta mazito Mwanza kwa ajili ya mitambo ya umeme....

2. Ana tenda ya kubeba mizigo/mchanga unaopelekwa bandarini, etc katika mgodi wa Buzwagi...

ipo siku vitarudi kwa wananchi....
Ana tender ya vyuma chakavu migodi yote ya African Barrick Gold
 
Mgao wa Dowans.

Huyu Dogo shule yote na Experience ya Coopers and Lybrand anishia kuwa Mwizi???

This is shame.

Hivi wanajiandaa kuja kuishi huku Ughaibhuni siku ya gharika??
Baado ghorofa la Mwanza wakibanwa utawasikia wanasema tulichukua mkopo wa 200 milioni CRDB bank na zingine nilikuwa nacheza upatu na dada yangu tokea nikiwa Vodacom
 
Mi nawakoromea warudishe hizo pesa wao wenyewe, na wafunguliwe mashtaka ya uhujumu uchumi tena wakamatwe kabla hawajacheza mchezo wa kama Balali.Polisi kakamateni wezi hao CAG ameshawatambulisha mwizi mnasubiri nini jamani? wakati mkisikia tu kibaka anakimbia na kuku mnatamani kupiga hata mabomu ya machozi kama sio za moto.
 
hakuna waziri maskini labda wale wa enzi za Nyerere.
wanahonga kuwa wabunge wakijua mbeleni kuna neema
inabidi katiba iweke wazi kuwawajibisha walanguzi na mafisadi
kama tulichukua sheria za India tukaziingiza kwetu kwanini tusichukue za China kuhusu kunyonga mafisadi hadharani?

Tena wenzetu wachina wana "software" ambayo kila mahakama imepewa ili kurahisisha hukumu kwa kufanya "calculations" ya makosa na tathmini ya adhabui iwe kifungo au kunyongwa na hakuna masuala ya kulipa faini.
 
Kama wewe ni mbunge..peke yake unatia kibindoni shillingi zaidi ya 10,000,000 kwa mwezi, sasa kama na uwaziri basi mshahara juu zaidi, nyumba bure gari na dereva bure, umeme bure maji bure , unasafiri hapa na pale unastahili allowance..kwa uchache ,waziri kwa mwezi anaondoka kwa halali kabisa na zaidi ya shillingi 20,000,000 sasa kama waziri sio mlevi wa ulevi na wanawake basi hardly matumizi yake hayatozidi 5, 000,000 kwa mwezi si anapata kila kitu bure???
Hoja yangu hata bila ya rushwa unaweza kununua nyumba kama hizi hata 5 akilmaliza miaka yake 5 au 10 kama waziri .

hapo kwenye red hapo.....
 
Ngeleja usijali baba, huu ni upepo, nao utapita, kama ulivyopita wa Jairo.

Raha ya Tanzania ni kwamba waziri akisha piga deal zake za kuibia watanzania mali zao, hana hofu kabisa maana akiondolewa uwaziri hashitakiwi jamani raha zaidi ya hiyo ni nini tena,
waziri atakae ingia nae nikupig deal tu maana anauhakika hata yeye ataibia watanzania mpaka siku akitolewa uwaziri na hatashitakiwa hata chembe.

hivyo kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa maji
 
Kama wewe ni mbunge..peke yake unatia kibindoni shillingi zaidi ya 10,000,000 kwa mwezi, sasa kama na uwaziri basi mshahara juu zaidi, nyumba bure gari na dereva bure, umeme bure maji bure , unasafiri hapa na pale unastahili allowance..kwa uchache ,waziri kwa mwezi anaondoka kwa halali kabisa na zaidi ya shillingi 20,000,000 sasa kama waziri sio mlevi wa ulevi na wanawake basi hardly matumizi yake hayatozidi 5, 000,000 kwa mwezi si anapata kila kitu bure???
Hoja yangu hata bila ya rushwa unaweza kununua nyumba kama hizi hata 5 akilmaliza miaka yake 5 au 10 kama waziri .

hizi hela hazina kodi?
 
Msekwa na hoteli yake hapa geti la kuingia Ngorongoro yenye thamani ya mabilioni mbona haisemwi? Au yeye si mtumishi wa umma?
 
Umesaahau babake alikuwa nani na ndio alipojipatia lile jengo? alikuwa mtumishi wa umma, fedha aliipatapataje? Fikiri!

Baba wa Mbowe alikuwa mtumishi wa umma lini? Kama unamaanisha Marehemu George Mbowe umekosea.......huyu hata hakuwa Mchagga
 
Nimetaarifiwa kuwa hapa Sinza Kwa Remmy opposite na Miller Bar hii Shopping Complex na ukumbi wa mikuano ni mali ya Ngeleja.........inaweza kuwa na thanmani ya Tshs 1.5bn
 
When we talk of corruption, people should understand what it means. I hope TAKUKURU does. Suffice to say.
 
tayari kiasi kikubwa cha pesa za umma zimeibiwa na inawezekana kikazidi hawamu zote za utawala zilizotangulia. Na kibaya zaidi hawa wa sasa hivi wamejawa na dharau za kutisha.

Lakini tukumbuke hii nchi tayari ina hisitoria ya utaifishaji ambao ulifatiwa na uhujumu uchumi. Hivyo hatuwezi kukaa na kujidanganya kuwa hawa watu watakaa tu na kuisha raha mustarehe, ni lazima katika mkakati wa urudishaji wa nyumba za serikali na wenyewe wataguswa na hizo mali zao zitakuwa questioned.

Kinachotoa matumaini zaidi ni ile imani(sera) iliyokuwa imejengwa na hawa wenyewe kuwa "huwezi kupata madaraka bila pesa".
Dalili zote zinaonyesha wazi kuwa hiyo sera inaanza kushindwa na sasa tunawaona akina Kafulila, Sirinde, Nassari nk ambao ni Watanzania ambao wasingetarajiwa kuingia bungeni.

Tukae tukilitegemea hilo wote

Asante sana mkuu Invisible

nimepita
 
Nchi hii ukisema uifatilie utapasuka kichwa
Kuna waziri mmoja huwa na mikwala sana tulips Kodi za ----- huyo ukimuona kama boy@ lkn masaki Ana maapartmnt hatari....na Sehemu zingine....
Ukweli ndy huu hakuna msafi......

Ova
 
Back
Top Bottom