Mawaziri wa JK: Ngeleja na apartment ya $350,000

Nipe kazi hii nitaifanyia kazi kwakuwa Plot number na Block zipo nitaenda site kuhakikisha....
Na hizi nyaraka nitazichunguza....anayetaka ripoti anipm maana niko jikoni mafaili yalipo
wewe leta mambo hapa jamvini kila mtu aone, PM za nini tena mkuu!!!?
 
Mnapoanzisha thread za hivi, muwe mnaweka tahadhari kwa wagonjwa wa kutikisika kwa moyo. Mliona yule mbunge Kessy wa Nkasi aliomba vidonge vya kupunguza maumivu!!

Kuna mijitu inatuibia na tukihoji tunaambiwa tuna wivu, dawa inakuja, YANA MWISHO na kwa hawa mwisho wake si mzuri

Obe, kwenye hizo picha wewe umeiona popote hiyo figure ya dola 350,000? Au kwa vile aliyebandika ni Invisible kwa hiyo hakuna hata haja ya kuhoji?

Kweli Watanzania hatuna attention to detail.
 
Mkuu si matatizo ya wasukuma, siCeM hakuna msafi mimi nakwambia hivi ni vifaranga tu.. mengi huyajui. Kuna siri kubwa ya siCiyemu kukataliwa mwanza.. mengine naogopa kuyaandika humu
Usiogope this is where we dare to talk freely and openly, Kama jina unalotumia humu linajulikana register jina lingine na weka vitu wazi hapa
 
Ok, kwahiyo yeye anamiliki second Floor (C5) sio? ina apartment ngapi? I mean kila floor ina arpatment ngapi?
 
Biashara anayo miliki ni ya malori mawili ana uhakika wa kuingiza $10,000/= kwa mwezi.
 
Hicho kialama ni cha Pauni za Kiingereza. Dola ya Kimarekani inatumia alama hii $

Lakini mpaka sasa mimi sijaona popote hiyo figure ya dola 350,000 katika hizo picha zilizowekwa hapa.

Sasa Ngeleja akisema JF inampakazia atakuwa amekosea?
Vema akasema anapakaziwa, ili tumwongezee tuliyo nayo zaidi ya haya.

Hapo hatujagusa ya Mwanza....
 
Hizo apartments zilijengwa na msomali mmoja anaitwa Mohamed amesajili kampuni inaitwa AFRICAN VILLAGE ESTATE zipo msasani nimepata kuziona zipo Block A,B,C alikuwa anaziuza 350000/-usd ni sahihi kabisa!

Invisible wewe noma umezinasa!
 
Hizo apartments zilijengwa na msomali mmoja anaitwa Mohamed amesajili kampuni inaitwa AFRICAN VILLAGE ESTATE zipo msasani nimepata kuziona zipo Block A,B,C alikuwa anaziuza 350000/-usd ni sahihi kabisa !Invisible wewe noma umezinasa!

Yaani apartment unit moja inauzwa dola 350,000? Zina vyumba vingapi hizo apartments?

Na zina amenities gani? 20 foot ceilings na diamond chandeliers?
 
Hapa inatakiwa Siku moja aje ashike RAis mwenye uchungu awanyonge wote hawa ! pumbafffff
 
Obe, kwenye hizo picha wewe umeiona popote hiyo figure ya dola 350,000? Au kwa vile aliyebandika ni Invisible kwa hiyo hakuna hata haja ya kuhoji?

Kweli Watanzania hatuna attention to detail.

BN, hiyo figure mimi haijanishangaza, nimeshazizoea, bongo ya ccm maisha ya dola, Malima midola kibao kaporwa gesti, huyu mbunge wa viti maalum midola ya haja kaporwa bar.

Kuhusu Invisible, kama wewe hujaamini basi hakuna haja ya kunifanya nisiamini na hasa kama wewe hujaja na kitu chenye mashiko chenye kuonesha vinginevyo
 
BN, hiyo figure mimi haijanishangaza, nimeshazizoea, bongo ya ccm maisha ya dola, Malima midola kibao kaporwa gesti, huyu mbunge wa viti maalum midola ya haja kaporwa bar.

Duuh!

Kuhusu Invisible, kama wewe hujaamini basi hakuna haja ya kunifanya nisiamini na hasa kama wewe hujaja na kitu chenye mashiko chenye kuonesha vinginevyo

Sijalazimisha mtu. Nimetaka tu kujua imetoka wapi. Wewe umeiona popote hiyo figure kwenye hizo thumbnails? Kama umeiona tafadhali nisaidie na mimi niione basi.
 
Tatizo ni kwamba hatuna regulating body inayoweka mipaka ya umiliki wa mali kwa viongozi wetu. Tukipigia kelele hili twaonekana ni wenye wivu...

Nchi hii ni zaidi ya uijuavyo ndugu zanguni. Sasa tufanyeje?? Maana ukifuatilia vizuri utakuta viongozi wooote pamoja na mukulu wao ndivyo walivyo!
 
Sasa kaka, hiyo figure ya $350,000.00 imetoka wapi lakini? Manake kwenye hizo thumbnails haipo!

Au ipo ila mimi tu ndiye siioni?
Mkuu, nenda kwa msajili wa hii hati utalipia Tshs 2,000 na utapata information zote za walionunua hizi apartments (Title no: 83881 L/O 407541).
attachment.php
 
Uwaziri ni deal sana ndiyo maana watu wengi wanaingia kwenye madeni makubwa sana ya kugombea UBUNGE kwa mategemeo kwa anaweza kubahatisha kuwa WAZIRI halafu aanze vimbwanga vyake. Ni balaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Mkuu, nenda kwa msajili wa hii hati utalipia Tshs 2,000 na utapata information zote za walionunua hizi apartments (Title no: 83881 L/O 407541).

Duh! Haya bana...nitafanya hivyo pindi nitakapopata fursa ya kufanya hivyo.
 
Back
Top Bottom