Mawasiliano na Mahusiano

Dah! lawyer nimegundua.
Linapokuja suala la cheating watu wengi humu ni ma greti thinkaz, yaani hili uzi watu wanavyomwaga mapwenti utazani wamepata ile kiduku ya asubuhi a.k.a morning glory
Na hakuna mwanamke anayekubali alicheat kila mtu anajifanya kama haimhusu vile,
hakuna wa kunidanganya ..... we jua kama wewe ni mwanaume unamcheat mkeo na yeye kiaina
anakucheat sana , hata kwa kupokea sms za mapenzi tu nayo ni cheating, kuna mama mmoja
namjua yeye huwa havuki mipaka lakini anapenda kuchart sms, bbm ,fb, na watu msg za mapenzi
anasema hiyo tu inampa faraja, wakikaa waliowahi cheat yeye anajitoa, hapo utasemaje?
 

Sasa Smiley badala ya kucheat kwanini usimwache huyo asiyekujali all together???
Huoni itakua bora kwenda huko unakojaliwa na kupata yale unayostahili/kupenda bila kujificha na kupita vichochoroni?
 


Gaga! dah! mimi nakubaliana na wewe 100%, ni painful truth. Mbona hilo liko wazi aisee
 
Halafu watu inabidi waelewe cheating is cheating whether you're involved in a marriage or any other serious relationship that both parties have agreed is to be monogamous.
 
sasa smiley badala ya kucheat kwanini usimwache huyo asiyekujali all together???
Huoni itakua bora kwenda huko unakojaliwa na kupata yale unayostahili/kupenda bila kujificha na kupita vichochoroni?
kiukweli lizzy mimi sijawai kucheat nawatetea tu wanawake wengine ambao najua wanacheat kutokana na kuwa namahusiano mabaya na wenzao ili kupata faraja wanatoka nje, mimi kwa upande wangu nipo na wewe kama sipati faraja nahama tu wala sijifichi
 



Nina Amarula yako hapa dear.... Chilled.
 

eeh hapo tatizo ni yeye kwani ni uongo!!!! sasa huko nje ndo atakutana na maushauri kibao ya mpak 'dawa ya huyo ni kidumu/nyumba ndogo'

na ni tabia mbaya na inayotuponza wengi tu ya kuongelea mapungufu ya wenzi wetu nje kabla hata hatujazungumza nao!!! Sijui kwa nini hatuoni ubaya wake ama ni hatujiuliza 'kama ningesikia yeye ndo kaenda kuniongelea huko ningejisikiaje?'

ni utovu wa heshima na upendo wa dhati....kama nyie ni 'mwili mmoja' sasa hayo mapungufu yake unayoanika si ni aibu yako na wewe....
 

Ni kama sahani iliyovunjika...unaweza ukaiglue pamoja na kuendelea kuitumia ila kila mara utaona alama ya pale ilipopasuka...na ni rahisi for it to fall apart again.
 
Asante......Lizzy we are on the same page
 
hata huko kuna ushindani coz ukikuta mwanaume haja2lia atakutafutia na kigaloni, kisoda,kidampa etc....tough game kwa kweli.
ujue mapenzi ya nyumba ndogo uzuri wake toka mwanzo yanaeleweka hayana assuarance muda wote upo tayari kwa lolote , sasa haya mengine unakuta mtu umesharelax wee dah siku yakikatika vilio na kusaga meno loh
 

wengi wa frnds zangu wanao cheat ukiwauliza sababu zote zinatokana kutendwa na waume zao, wakaona bora watafute "faraja/kipoozeo"...mwanaume haniguc cku hizi, mwanaume ana hawara anamjengea,mwanaume amezaa nje etc....kwa c2ation za frnds zangu za ku cheat huwa cwalaumu bali nawahurumia 2 coz naamini anajua ni kiac gani kitendo anachofanyiwa na mumewe kinamuumiza na anajua madhara/raha za yeye kuamua ku cheat...wanayapitia mengi labda ndio wameona ni njia yao ya kujifariji.
 
kiukweli lizzy mimi sijawai kucheat nawatetea tu wanawake wengine ambao najua wanacheat kutokana na kuwa namahusiano mabaya na wenzao ili kupata faraja wanatoka nje, mimi kwa upande wangu nipo na wewe kama sipati faraja nahama tu wala sijifichi

Nafurahi kusikia hivyo Smiley...
Ila badala ya kuwatetea jaribu kuwashauri ukikumbana nao!
 

Hii post yako KipimaPembe inanijibu au kukaribia kunielewa ninachojaribu kukielezea hapa. Suala si cheating na justification bali hii changamoto uliyoielezea hapa.

Hayuko tayari kukusikiliza na badohaoni haja ya kukusikiliza kilio chako na huna guts za kuondoka. Unatumia njiagani kumsikilizisha??
 



Lizzy I respect your disagreeing because that is the way it is supposed to be... Yaani wewe hapo uki agree ki-rahisi niloongea then it means kuna kitu unajinyima; ambayo ni faith and hope kua what you believe in is RIGHT. Na ndio maana if you refer back to the post umeni-quote nimemalizia kwa kusema ni Topic ngumu na Kumalizia kwa kukuombea Kwa Mwenyezi Mungu akujalie maisha marefu na ndoa pia... Hio ndoa wewe na mumeo mwaweza msije cheat, but it is my faith kua you will understand more ni kwanini nimesema hivo.... Na ni kweli kua maamuzi anayofanya Cheater sio ya mwenzie...
 
nafurahi kusikia hivyo smiley...
Ila badala ya kuwatetea jaribu kuwashauri ukikumbana nao!
ingawa sijawai kucheat mimi naona wapo sawa tu mpenzi
kila mtu anaitaji faraja ndani ya nafsi yake .kama mapenzi ndo yanampa faraja na upande huu kakosa tena bila sababu na wa kumpas wapo wewe utashauri nini?
 
ujue mapenzi ya nyumba ndogo uzuri wake toka mwanzo yanaeleweka hayana assuarance muda wote upo tayari kwa lolote , sasa haya mengine unakuta mtu umesharelax wee dah siku yakikatika vilio na kusaga meno loh

tabu inakuja ukishanogewa/ukamzoea/kumpenda then aanze longolongo....utayarudia maumivu yale yale, tena haya nadhani ndio makali kabisa coz utajilaumu/mlaumu kwa mengi, ulikuwa unajua hana future na wewe bali ukaamua 2, utasema amekuchezea, utasema amekupotezea muda etc....hili game halitabiriki.
 

hapo nilipobold, natofautiana na wewe, hiyo ya mtu kunitumia jumbe za mapenzi kwenye simu yangu linaweza lisiwe kwenye uwezo wangu kulizuia, BUT I will never intertain!!!

Gaga, cheating ni pana na nakubaliana na wewe sana tu kw auliyoyasema...kama una umejifunga kwenye mahusiano kwa nini uanze ku intertain mawasiliano mengine yenye mwelekeo wa mapenzi? lengo ni nini hasa??
 
another golden platinum point.
alokuowa ana bahati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…