Mawasiliano na Mahusiano

nakulipia bili ya kau kau hapo dukani kwa mpemba....................umemwaga pwenti sana.......Invicible rudisha kabatani ka senx bana!

mkuu hii compliment ni objective kweli au kuna some conflict of interest hapa......mmmh
 
Lizzy Baby, natamani hii ndio ingekuwa reality. Am telling you kuwa katika wanawake wanaocheat ndoa zao ni wachache sana ambao wanacheat kwa kupenda au pesa. But wengi wao hucheat kwa kutafuta faraja, ambayo imekosekana ndani ya ndoa zao. Ni kweli kabisa akikamatwa hata kama alicheat kwa kuwa alinyimwa unyumba na mumewe kwa miaka miwili mfululizo bado kosa litakuwa kwake ninakubali kabisa ndio maana ninauliza mbinu ya kurekebisha mambo. Ukiisoma vizuri nukuu ya muhanga utagundua kuwa ni needs za kibinadamu ambazo sometimes zinapelekea hiyo cheating sasa tunafanyaje kuzikizi hizi needs pale ambapo mawasiliano kati ya wanandoa hayapo kwa kuwa tu mmoja wao ameona hakuna haja ya kusikilizana na mwenzi wake. Mf. tuseme mwanamke kila akirudi analalamika kichwa kinauma, amechoka au leo nina hacra siwezi'toa huduma' bosi amemuudhi n.k kwa miezi mitatu mfululizo na bado hayuko tayari kuketi kitako na kusilikiza feelings za mwenzi wake. Huyu victim afanyeje ili asitoke nje??

MJ1 dear, from first principles, hapo unamaanisha wanaocheat ni walio kwenye ndoa tu? na wale wanaocheat (sijui inaitwaje) huku wakiwa ni BF/GF inaitwaje ama haipo kabisa
 
MJ1, kichwa cha habari yako kimebeba yote. Mawasiliano kwenye relationship. Through my experience, hii kitu haipo katika nyumba nyingi. Nimeona nyumba nyingi zinavunjika sababu ya kukosa kuwasiliana. Mwambie mwenzio unataka nini, what you feel, kipi bora kwako, kipi hakifai. Hii yote inatokana kuwa mmekua baba fulani na mama fulani, kaheshima kakipuuzi mnakajenga wenyewe. Unajikuta ukidhani kua nikimwambia baba fulani nataka aniguse hapa, sijui atanionaje. lakini nikikutana na wa pembeni, yule vile ni sweetheart, namwambie vile ninavyojisikia bila uoga. baba fulani nae nyumbani, he's too busy, mikutano the whole day, akirudi kabeba ma file kuna kazi za kufanya maana ana presentation first thing in the morning na mengine mengi. sasa hata tunda likiliwa ni ile style ya "kubali yaishe" hakuna mahanjam, ni bora liende. nikienda pembeni, tumeipainga, kila mmoja ana hamu na mwenzie mapenzi motomoto ananiridhisha. cheating itaisha kweli kwa maisha yetu haya ya kiafrika... watu wata cheat hadi mwisho wa dunia, unless mabadiliko yatokee.
 
MJ1 dear, from first principles, hapo unamaanisha wanaocheat ni walio kwenye ndoa tu? na wale wanaocheat (sijui inaitwaje) huku wakiwa ni BF/GF inaitwaje ama haipo kabisa
Kaizer, mzima wewe? Yep ndipo mada yangu ilipolalia! Kwa wanandoa! Hao maBF na maGF hawajafungamana na kiapo chochote so kesi zao ni rahic kusolvika
 
Babu nimekuelewa ni kweli kuwa hii si sababu ya kwenda nje ya ndoa. But leo Mjukuu wako Mtiifu mmenichanganya kabisa kwa sababu mwanzoni nilidhani hii kwenu huwa ni ticket halali ya kutoka maana hapa hapa nilishasoma sana mwanaume akijalalamika kuhusu mapungufu ya mkewe mnamshauri atafute nyumba ndogo!! Au ni mimi tu nlichanganya madawa?!

MJ1,

Hakuna cha mapungufu ya mke au mume katika suala hili. Mtu anaamua mwenyewe halafu anajipeleka mwenyewe na kudai amefurahia kuzini halafu anakuja kusema eti kasababishiwa na mwenzi wake!! Ni ajabu sana kusikia haya maneno!

Unajua, binadamu kaumbwa na magunia zaidi ya milioni moja ya tamaa! Na mbaya zaidi tumezidiana. Kuna wengine wana mafuso kibao yamejaa hizo tamaa zao wakati wengine wanaweza kujaza ka-bajaj kamoja tu!! Sasa huyo mwenye mafuso yake ya tamaa, hata mke au mume angekuwa malaika bado angeeda kuzini! Upo hapo.

Mengine ni mazungumzo baada ya habari!!

Nitarudi baadaye kidogo!
 
We always tuko pamoja mpenzi wa roho yangu wala hapo hatuhitilafiani. Umeliweka vizuri kabisa aksante. Sasa tushajua chanzo na ikatokea mmoja wa hawa wawili hayuko tayari kufanya U turn na kurekebisha hali. Na yule anayeumia kwa neglection hana uwezo wa kuquit hayo mahusiano kwa sababu mbalimbali! Tunamsaidiaje asitoke nje ya ndoa? Maana kama ni hadithi za vumilia vumilia mh sometimez zinachosha nazo wakati wamwona mwenzio anarudi midomo imenona kwa mafuta ya vinono wewe wakaukiana tu ndani ka samaki wa kubanika kwa moshi!

Lizzy Baby, natamani hii ndio ingekuwa reality. Am telling you kuwa katika wanawake wanaocheat ndoa zao ni wachache sana ambao wanacheat kwa kupenda au pesa. But wengi wao hucheat kwa kutafuta faraja, ambayo imekosekana ndani ya ndoa zao. Ni kweli kabisa akikamatwa hata kama alicheat kwa kuwa alinyimwa unyumba na mumewe kwa miaka miwili mfululizo bado kosa litakuwa kwake ninakubali kabisa ndio maana ninauliza mbinu ya kurekebisha mambo. Ukiisoma vizuri nukuu ya muhanga utagundua kuwa ni needs za kibinadamu ambazo sometimes zinapelekea hiyo cheating sasa tunafanyaje kuzikizi hizi needs pale ambapo mawasiliano kati ya wanandoa hayapo kwa kuwa tu mmoja wao ameona hakuna haja ya kusikilizana na mwenzi wake. Mf. tuseme mwanamke kila akirudi analalamika kichwa kinauma, amechoka au leo nina hacra siwezi'toa huduma' bosi amemuudhi n.k kwa miezi mitatu mfululizo na bado hayuko tayari kuketi kitako na kusilikiza feelings za mwenzi wake. Huyu victim afanyeje ili asitoke nje??

Uko sawa KipimaPembe natamani wengi wangekuwa na mawazo ya aina hii hasa wanaume wale ambao wanakuwa na nyumba ndogo kwa kisingizio cha mke hamjali, au wanaotembea na wasichana wa kazi kwa kuwa tu mke yuko buzy.

Mnachonishangaza ni pale mnaposhauriana kuwa mke akikudharau, akijifanya buzy huna haja ya kupigizana nae kelele,tafuta wa pembeni maisha yaendelee !! Ila linapokuja kwa mke akiwa ndie victim yeye hatakiwi kabisa kutafuta wa pembeni!! Hili hatulipingi na ndio maana nikaomba sasa tusaidiane namna ya kumsaidia victim wa hali hii ili asitoke nje, si mwanaume, si mwanamke.

....mwj1 mahbouba....tatizo ninaloliona hapa tayari kuna fitna ya kutafutwa sababu ya kutoka nje kwa hali yoyote...
mosi,
hivi hakuna solution nyingine yeyote ya mwanandoa kustahmili ndani ya hiyo ndoa bila ku cheat aka kutoka nje???

pili, una guarantee gani huko nje ndio itakuwa maliwazo tosha kufariji moyo, na uhakika atatoka na wangapi
akidhi kiu ya kupata kitu roho inapenda???
 
Kweli mkuu,
Hakuna liwazo lolote linaweza kupatikana kwa njia hii. Kama mtu kakwazika basi hakuna ujanja...Ajaribu kutimiza wajibu wake, but within limits!! i.e amkalishe mwenzake na kumweleza feelings zake jinsi asivyoridhika na hali inayoendelea..(ingawa najua watu wengi huwa na kiburi na hudharau vitu vya namna hiyo) na kama hali haipati suluhisho basi kila mtu aanze maisha yake!

Binafsi siamini kabisa katika ndoa ya hadi kifo...Samahani kama kuna mtu nimemkwaza......Freedom ya mtu na utu wake anayo mwenyewe. Hakuna sababu yoyote au uhalali wa aina yoyote unaweza kupatikana kwa kuumiza feelings zako eti unalipiza kisasi au kumkomoa mtu mwingine!!

Cheating ni tamaa tu na hakuna maelezo mengine!
 
lawama zinaweza kuwa kwa anaayecheat but kwa wanawake wengi wanasababishiwa na waume zao

Sorry Chauro,

Sikubaliani na maelezo hayo, iwe kwa mume au mke.....

Watu tunacheat kwa sababu ya tamaa na kutotambua kwa wakati huo madhara ya kitendo hicho!

Siweza kuwasemea wanawake ila wanaume wengi huishia kujilamu wanapofunga zip baada ya kufanya uzinzi!
 
DC huyo alikuwa Gaga sio chauro

ok DC kwa uelewa wangu mdogo nahisi wanawake wengi wanapushiwa na waume zao, ni ngumu sana mwanamke kuamua kuwa na mwanamme nje bila kuwa na sababu nzito sana,,, mwanaume inaweza kuwa tu tamaa na hiyo baioloji yao ila mwanamke aisee huwa ni ngumu sana ukiona ujue maji ya shingo na once mume akijirudi huwa hata hatamani hata kumwona huyo mtuwe na hukimbia bila kugeuka nyuma.......japo wapo wenye hiyo hulka lakini sio wengi
 
aha!? ....very interesting!....

nilishaambiwa, "yaani darling najuta ...mwanaume mwenyewe si lolote si chochote ...kwanza alikuwa ananichafua tu!"

khaaa?
mbu nikabakia nimelegeza kidevu nikiwaza nakuwazua yanayowakumba wake zetu huko kwenye maliwazo,
au alikuwa ananipiga changa la uso tu! mnh, ndoa hizi!
 
huyo kwa vile ulimgundua tu, ila wanawake huwaa tuna mapenzi ya kweli, na ikitokea umetoka ujue mambo ni mazito pamoja na kwamba jamii haiwezi kukuelewa ila ndio hali halisi inavokuwa, unavumilia mpaka unaona huwezi tena, na hapo kama ukipata washauri wabaya ni rahisi sana kuanguka dhambini aisee, huyo wako alikwambia kweli unachafulwa tu, sababu tendo lile kwa mwanamke linahitaji akili itulie na ujione uko safe, wasiwasi haukufikishi hata kimara kwa safari ya arusha, wakati wa tendo akili yake inazongwa na mambo mengi na mawazo......

Mie nawaambia wanaume wawapende wake zao na kuwahakikishia wako safe na kuwapa mapenzi yooote waone kama kuna mke atakayetoka, mpe mkeo muda wa kutosha, imagine kila siku mtu saa saba nane, kalewa, mara masimu yanaanza kuingia, msg ..maneno yote mazuri anaambiwa hawala
 
Kaizer, mzima wewe? Yep ndipo mada yangu ilipolalia! Kwa wanandoa! Hao maBF na maGF hawajafungamana na kiapo chochote so kesi zao ni rahic kusolvika

Mzima dear.....mi naona siye bado tupo kwen uBF na UGF so mambo mswano tu
 
aha!? ....very interesting!....

nilishaambiwa, "yaani darling najuta ...mwanaume mwenyewe si lolote si chochote ...kwanza alikuwa ananichafua tu!"

khaaa?
mbu nikabakia nimelegeza kidevu nikiwaza nakuwazua yanayowakumba wake zetu huko kwenye maliwazo,
au alikuwa ananipiga changa la uso tu! mnh, ndoa hizi!

more likely than not mkuu
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
huyo kwa vile ulimgundua tu, ila wanawake huwaa tuna mapenzi ya kweli, na ikitokea umetoka ujue mambo ni mazito pamoja na kwamba jamii haiwezi kukuelewa ila ndio hali halisi inavokuwa, unavumilia mpaka unaona huwezi tena, na hapo kama ukipata washauri wabaya ni rahisi sana kuanguka dhambini aisee, huyo wako alikwambia kweli unachafulwa tu, sababu tendo lile kwa mwanamke linahitaji akili itulie na ujione uko safe, wasiwasi haukufikishi hata kimara kwa safari ya arusha, wakati wa tendo akili yake inazongwa na mambo mengi na mawazo......

Mie nawaambia wanaume wawapende wake zao na kuwahakikishia wako safe na kuwapa mapenzi yooote waone kama kuna mke atakayetoka, mpe mkeo muda wa kutosha, imagine kila siku mtu saa saba nane, kalewa, mara masimu yanaanza kuingia, msg ..maneno yote mazuri anaambiwa hawala

Kuna wanawake wengine hata ukijikata vipande vipande na kumgawia nyama yako hataona kama kitu cha maana...sana sana utaendelea kumkera...

Mtu akishakereka kwenye ndoa mara nyingi repair yake inakuwa ya gharama sana. Na wakati mwingine inashindikana kabisa...

Ndio maana naulza, kuliko kwenda huko ambapo watu wanaishia kuona wanachafuliwa, kwa nini wasipitie mlango ule ule walioingilia na kuanza upya???
 
Back
Top Bottom