Mawasiliano na Mahusiano

"Hata mume kushindwa ku-communicate feelings zake kwa mke,mke ku-communicate na mume kuhusu matamanio yake kwake is all abt communication! Ila kwa wanawake tunajitahidi ku-communicate in the form ya 'kulalamika'
Na hii ya mwanaume kulalamika mkewe hapendi sex"

king'asti umenena but, hapa nagundua kuna matatizo mawili, moja ni lack of comminication na la pili ni how to communicate,
hii ya kulalamika si njia nzuri ya ku-communicate hata kidogo tena inaweza kuongeza matatizo mengine ikaonekana wewe ni mlalamishi na hakuna
mwanaume anayependa mwanamke mlalamishi so ni lazima muwe wabunifu wa kujua nzuri ya ku-communicate.

Olele dah aksante sana kwa kufungua njia. Lack of communication na hata inapokuwapo tunacommunicate vipi! Umetoa mfano wa kulalamika ni kweli kabisa kuwa si njia nzuri ya kufikisha tatizo lako! Maanahapa yanaibuka ya blaming one another na yale ya we mwanamke /ume gani hunijali unarudi usiku ilimradi haiwi communication ya kutatua tatizo bali ya kuzidisha gap na hivyo kupelekea wenza kuanza kutafuta njia mbadala za kuyafanya maisha yasonge mbele.

Olele umefungua njia, how should we communicate hizi resentments zetu ?
 
Huwezi kutenda jambo ukasema nimelitenda kwa sababu mtu fulani kanisababishia ....... hii ni lame excuse. Tunafanya kwa sababu tunaamini kuwa kwa kufanya tutanufaika kwa njia moja au nyingine. Basi.

Challenges katika maisha si moja, ziko nyingi mno! Mfano, kuna wakati tunakosana na hata wazazi wetu, lakini hatuwakimbii. Tutajaribu kutafuta common ground mpaka itapatikana tu!

Kutoka nje ya mahusiano (ndoa hasa) kwa lengo la kutafuta relief, ni kitu ambacho watu wanafanya. Lakini je wanapata hiyo relief? Si kweli! Ni sawa tu na pale unapokuwa na tatizo, badala ya kulishughulikia unakimbilia kubwia mipombe eti usahau. Matokeo yake huwa ni mabaya kuliko lile ulilotarajia kulitatua.

Nikubali kuwa WAJIBU kwa kitendo cha uzinzi unamwangukia MTENDAJI. Full stop. Hakuna kupunguza wala kuongeza.
 
Mchumba wangu kapata kazi juzi juzi hata miezi miwili haijapita!! Tangu apate kazi, mawasiliano yamekuwa shida! sababu anachoka akirudi kutoka kazini anadai anaingia jikoni moja kwa moja! Na hata wakati wa weekend, nayo inakuwa shida kumpata!!

Nirudi nyuma kidogo! wakati hajapata kazi, tulikuwa tunawasiliana vizuri sana tena sana tu! Sasa hapo ndo napoanza kunusa harufu ya ama kuachana (which is not a solution at all) au kuvumilia huku nikijipa maumivu makali ya hisia za huyo mchumba wangu kunicheat. Kwa hiyo nachotaka kusema hapa, watu wanaobligation nyingi sana kwenye mahusiano! ukikuta wanamahusiano wako na furaha muda wote basi hao wanakitu kinachowaweka pamoja pengine kikitoweka wanaweza wasiwe na furaha tena kwani ni wachache sana siku hizi wanaweza kuvumiliana kutokana na previous life story zao.

Wa - Ukenyenge kwanza pole kwa hili linalokupata wakati huu.sasa hebu piga picha ni wanandoa ambako swala la kuachana si dogo wala si rahisi. Wewe ukiwa victim hapa na unaona kabisa kuwa siku zinavyozidi kwenda hakuna dalili ya mawaSiliano kurejea. Utafanyaje ?
 
Lack of communication wengi sana tunailalamikia. Inaanza anzaje? Na ni kitu gani? Hiyo lack inatokea nje ya nyumba? Ni VIBURI TU VYA WANANDOA/WACHUMBA WAHUSIKA. Hii kibri, hujijenga pole pole, hasa kwa kujua kuwa kuna simple solution ya kutoka nje! Viburi hujengwa na mazoea, hufikia wakati kila mtu anamchukulia mwenzie kama yupo tuu (for granted)!
 
Huwezi kutenda jambo ukasema nimelitenda kwa sababu mtu fulani kanisababishia ....... hii ni lame excuse. Tunafanya kwa sababu tunaamini kuwa kwa kufanya tutanufaika kwa njia moja au nyingine. Basi.

Challenges katika maisha si moja, ziko nyingi mno! Mfano, kuna wakati tunakosana na hata wazazi wetu, lakini hatuwakimbii. Tutajaribu kutafuta common ground mpaka itapatikana tu!

Kutoka nje ya mahusiano (ndoa hasa) kwa lengo la kutafuta relief, ni kitu ambacho watu wanafanya. Lakini je wanapata hiyo relief? Si kweli! Ni sawa tu na pale unapokuwa na tatizo, badala ya kulishughulikia unakimbilia kubwia mipombe eti usahau. Matokeo yake huwa ni mabaya kuliko lile ulilotarajia kulitatua.

Nikubali kuwa WAJIBU kwa kitendo cha uzinzi unamwangukia MTENDAJI. Full stop. Hakuna kupunguza wala kuongeza.
Uko sawa KipimaPembe natamani wengi wangekuwa na mawazo ya aina hii hasa wanaume wale ambao wanakuwa na nyumba ndogo kwa kisingizio cha mke hamjali, au wanaotembea na wasichana wa kazi kwa kuwa tu mke yuko buzy.

Mnachonishangaza ni pale mnaposhauriana kuwa mke akikudharau, akijifanya buzy huna haja ya kupigizana nae kelele,tafuta wa pembeni maisha yaendelee !! Ila linapokuja kwa mke akiwa ndie victim yeye hatakiwi kabisa kutafuta wa pembeni!! Hili hatulipingi na ndio maana nikaomba sasa tusaidiane namna ya kumsaidia victim wa hali hii ili asitoke nje, si mwanaume, si mwanamke.
 
MJ1 kwanini lawama ziende kwa partner wakati maamuzi na tendo la kucheat hakulifanya yeye??
Kwanini watu wawe na visingizio vya ''alinifanya..alinisukuma kutoka nje ya mahusiano'' wakati hakushikiwa mtutu wala mwenzake hakumshika mkono mpaka gesti hausi na kumkabidhi kwa huyo anaecheat nae???
Kwanini lawama ziende kwa partner wakati pengine hata hajui kwamba mwenzake ana matatizo nae??
Kwanini partner alaumiwe kwa uoga wa cheater (kung'ang'ania ndo isiyofikia matakwa na matarajio yake) ?

Cheaters wanaamua wenyewe kucheat...wanaondoka wenyewe majumbani mwao na kwenda huko wanakocheat bila msaada wowote toka kwa wenzi wao hivyo lawama zote ni zao and no one else. Sometimes not even the one they are cheating with...it's their decion, their doing and they should own up to it.
Wengine unakuta hata hiyo intimacy na attention wanayosingizia ilikosekana na kuwapelekea kucheat hawajaonyesha kwamba wanataka kwa wenzao. Mtu anaecheat na kurudi kulaumu watu wengine isipokua yeye mwenyewe simheshimu....ukiamua kutoka nje ya mahusiano ukakamatwa kubali kwamba u-responsible.

Lizy hapo umemalza kila k2.
 
Topic ngumu hii Jamani... Inapasua kichwa ile mbaya!! Na Roho kuuma mno! I wish kwamba Mungu angeweka ukioa/olewa feelings zinafia hapo na wala huwezi pata hisia juu ya mwingine kamwe - Married life would have been So simple! Enways tuendelee.....

MJ1 kwanini lawama ziende kwa partner wakati maamuzi na tendo la kucheat hakulifanya yeye??
Kwanini watu wawe na visingizio vya ''alinifanya..alinisukuma kutoka nje ya mahusiano'' wakati hakushikiwa mtutu wala mwenzake hakumshika mkono mpaka gesti hausi na kumkabidhi kwa huyo anaecheat nae???
Kwanini lawama ziende kwa partner wakati pengine hata hajui kwamba mwenzake ana matatizo nae??
Kwanini partner alaumiwe kwa uoga wa cheater (kung'ang'ania ndo isiyofikia matakwa na matarajio yake) ?

Cheaters wanaamua wenyewe kucheat...wanaondoka wenyewe majumbani mwao na kwenda huko wanakocheat bila msaada wowote toka kwa wenzi wao hivyo lawama zote ni zao and no one else. Sometimes not even the one they are cheating with...it's their decion, their doing and they should own up to it.
Wengine unakuta hata hiyo intimacy na attention wanayosingizia ilikosekana na kuwapelekea kucheat hawajaonyesha kwamba wanataka kwa wenzao. Mtu anaecheat na kurudi kulaumu watu wengine isipokua yeye mwenyewe simheshimu....ukiamua kutoka nje ya mahusiano ukakamatwa kubali kwamba u-responsible.

Lizzy Baby, natamani hii ndio ingekuwa reality. Am telling you kuwa katika wanawake wanaocheat ndoa zao ni wachache sana ambao wanacheat kwa kupenda au pesa. But wengi wao hucheat kwa kutafuta faraja, ambayo imekosekana ndani ya ndoa zao. Ni kweli kabisa akikamatwa hata kama alicheat kwa kuwa alinyimwa unyumba na mumewe kwa miaka miwili mfululizo bado kosa litakuwa kwake ninakubali kabisa ndio maana ninauliza mbinu ya kurekebisha mambo. Ukiisoma vizuri nukuu ya muhanga utagundua kuwa ni needs za kibinadamu ambazo sometimes zinapelekea hiyo cheating sasa tunafanyaje kuzikizi hizi needs pale ambapo mawasiliano kati ya wanandoa hayapo kwa kuwa tu mmoja wao ameona hakuna haja ya kusikilizana na mwenzi wake. Mf. tuseme mwanamke kila akirudi analalamika kichwa kinauma, amechoka au leo nina hacra siwezi'toa huduma' bosi amemuudhi n.k kwa miezi mitatu mfululizo na bado hayuko tayari kuketi kitako na kusilikiza feelings za mwenzi wake. Huyu victim afanyeje ili asitoke nje??
 
Mamii kwahiyo unataka kuniambia huwa WANALAZIMIKA???
Sitaki kuamini kwamba wapo watu wanaoona/amini walil/wanazimika kucheat ,whatever the reason (or rather the excuse) behind it.
I mean naelewa kwamba hao watu nao wanamahitaji kama wengine ila kama ya umuhimu sana na imeshindikana kuyapata toka kwa wenzi wao hawawezi kwenda huko wanakoyapata moja kwa moja???Maana mtu mpaka afikie kutoka nje ya mahusiano yake na kujisikia huru kufanya hivyo mara kwa mara anakua ameyachoka hayo mahusiano..amemchoka mwenzi wake, haheshimu hayo mahusiano..hamhesimu mwenzake, hajali hatma ya hayo mahusiano..hajali hatma ya mwenzake...sasa kwanini aendelee kuwepo kwenye mahusiano ya aina hiyo na mtu ambae kamchoka/hamheshimu na wala hamjali???
Kama kweli wangekua wanaona wana haki (wanayojaribu kuonyesha kwa kupitia lawama na visingizio vihusuvyo watu wengine) ya kufanya wafanyayo kwanini wasifanye kwa uwazi??Kwanini wasiwajulishe na wenzi wao kabisa??
Pamoja na kwamba wakikamatwa wanaishia kulalamika na kulaumu bado wanajua wanachofanya sio sahihi na ndio maana wanaficha.
 
Lizzy ukistaajabu ya Musa................hapo nilipobold kuna wengine huwa wanawajulisha wenzi wao

Hahahhaha....mpenzi unamaanisha baada ya kutoka huko kwenye safari zao??
Mi ningependa wakati wanapanga ndo watoe taarifa kwamba ''bwana ehhh mi nimekuchoka..mahitaji yangu hunitimizii kwahiyo kwanzia kesho mimi si wako pekee....kutakua na mwenzio.Na wawe wanaaga kila wakienda kutimiziwa mahitaji huko.
 
Yah!Wa kwanza kulaumiwa ni mume kwa upande mmoja na upande mwingine ni mke mwenyewe!Ila kama ilivyo ada hakuna justifcation ya huu ujinga!
 
Lizzy taarifa wanapewa kabla hawajaenda vitu vingine huwa ni vigumu kuvidiscuss kwa mtizamo wa ujumla kwa sababu mwisho wa siku kila mtu anajua jinsi ya kuishi na guguuu lake wakati we unawashangaa wengine kwao hayo ni makubaliano na ndiyo yanayoimarisha ndoa yao.

Hahahhaha....mpenzi unamaanisha baada ya kutoka huko kwenye safari zao??
Mi ningependa wakati wanapanga ndo watoe taarifa kwamba ''bwana ehhh mi nimekuchoka..mahitaji yangu hunitimizii kwahiyo kwanzia kesho mimi si wako pekee....kutakua na mwenzio.Na wawe wanaaga kila wakienda kutimiziwa mahitaji huko.
 
Pia mawasiliano kwa mujibu wangu,kwenye ndoa ya ya aina 3,kwanza muwasiliane kihisia,pili muwasiliane kwa mazungumzo na pili kwa simu pindi muwapo tofauti ya eneo,zote hizo aina tatu zina umuhimu wake!
 
Mengi yameshasemwa, sasa mie mtambuzi niseme nini?, Ahsante mwanangu kwa uzi huu ambao unaelimisha sana sana,
 
Lizzy mpenzi msome vizuri chauro! Hicvho unachokishangaa ni cha kawaida sana kwa wengi tena mwingine anafurahia kuwa yeye anapomuona wa kazi gani wengine wanasema sikumuona mapema kwa nini!

Laiti kuta zingelisema Lizzy ungeikimbia hii dunia
 
Lizzy taarifa wanapewa kabla hawajaenda vitu vingine huwa ni vigumu kuvidiscuss kwa mtizamo wa ujumla kwa sababu mwisho wa siku kila mtu anajua jinsi ya kuishi na guguuu lake wakati we unawashangaa wengine kwao hayo ni makubaliano na ndiyo yanayoimarisha ndoa yao.

Lizzy mpenzi msome vizuri chauro! Hicvho unachokishangaa ni cha kawaida sana kwa wengi tena mwingine anafurahia kuwa yeye anapomuona wa kazi gani wengine wanasema sikumuona mapema kwa nini!

Laiti kuta zingelisema Lizzy ungeikimbia hii dunia

Hahhaha....kweli kwa aliyoyasema Chauro swala la kukimbia hii dunia does sound tempting.
Yani kazi ipo!!!
 
Mamii kwahiyo unataka kuniambia huwa WANALAZIMIKA???
Sitaki kuamini kwamba wapo watu wanaoona/amini walil/wanazimika kucheat ,whatever the reason (or rather the excuse) behind it.
I mean naelewa kwamba hao watu nao wanamahitaji kama wengine ila kama ya umuhimu sana na imeshindikana kuyapata toka kwa wenzi wao hawawezi kwenda huko wanakoyapata moja kwa moja???Maana mtu mpaka afikie kutoka nje ya mahusiano yake na kujisikia huru kufanya hivyo mara kwa mara anakua ameyachoka hayo mahusiano..amemchoka mwenzi wake, haheshimu hayo mahusiano..hamhesimu mwenzake, hajali hatma ya hayo mahusiano..hajali hatma ya mwenzake...sasa kwanini aendelee kuwepo kwenye mahusiano ya aina hiyo na mtu ambae kamchoka/hamheshimu na wala hamjali???
Kama kweli wangekua wanaona wana haki (wanayojaribu kuonyesha kwa kupitia lawama na visingizio vihusuvyo watu wengine) ya kufanya wafanyayo kwanini wasifanye kwa uwazi??Kwanini wasiwajulishe na wenzi wao kabisa??
Pamoja na kwamba wakikamatwa wanaishia kulalamika na kulaumu bado wanajua wanachofanya sio sahihi na ndio maana wanaficha.

nakulipia bili ya kau kau hapo dukani kwa mpemba....................umemwaga pwenti sana.......Invicible rudisha kabatani ka senx bana!
 
Mengi yameshasemwa, sasa mie mtambuzi niseme nini?, Ahsante mwanangu kwa uzi huu ambao unaelimisha sana sana,
dah Mtambuzi kumbe MJ1 ni mwanao na kisha tena mjukuu mtiifu kwa ODM......orait (aisee unaendeleaje pole sana bana)
 
Back
Top Bottom