Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,598
wa unajitetea ... but kuna ile ya nakwenda motoni lakini nakwenda motoni nikiwa clean. Found guild out of cicumstances. Naimagine mwanamke/mume ambaye mkewe/mumewe amekuwa busy kwa muda mrefu (sijui kama tunakubaliana kuwa kuna wanandoa wengine wanakaa hata miaka miwili. mitatu wakiwa ignored simply because mume amejipatia mahali pa kulaza kichwa chake. Anahemea (Ingawa amepata pa kulaza kichwa chake.
How do we help??
Nakubaliana na wewe kwamba wapo watu ambao wanaweza kujikuta wameachwa njia panda na wenzao bila sababu yoyote ya msingi wala maelezo ya maana!
Hata hivyo siamini kama dawa yake ni kwenda kujianika uchi huko nje...Bado naamini kuwa mtu akiamua kuzini ni ameamua tu, kwani kuna watu wana mahusiano ya ajabu ajabu lakini hawatoki nje ya mahusiano yao.