Nazjaz
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 7,850
- 9,423
MAWAKILI wa viongozi wa Jumuiya ya Uamsho wanaoshitakiwa kwa tuhuma tofauti, wamelalamikia kuvunjwa kwa haki za wateja wao wakiwa rumande ikiwamo kunyolewa ndevu kwa wateja hao akiwamo Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maimamu Zanzibar, Shekhe Faridi Hadi Ahmed.