Mkuu, Hilo nitatizo lipo kwa wanawake wengi na siyo huyo wa Kwako tu, sijui huwa ni kitu gani kwao, yaani wakishapata vijisenti kidogo inakuwa tabu sana, yaani na dharau inakuwa Kubwa kuliko, na sasa huyo wa kwako anamkopo wa 12m, ni shida kubwa..cha kufanya usikimbie nyumba, wewe kuwa busy na mambo yako wala usimsemeshe, ila tafuta house girl ambaye atakuwa anakupikia, anakufulia na hata kukupelekea maji bafuni, yeye si yupo busy...atakapoona hujali atajirudi tu na hasa hako kamkopo kake kakiisha kwenye mkoba wake....wanawake wengine ni malimbukeni sana wa kushika hela....dharau inakuwa kubwa sana....chukua hatua...