Mauzauza ya mke wangu

Pole sana, kukimbia nyumba nini miezi 6 hata mwaka bado huja tatua tatizo, simama kama mwanamme kama bado unaipenda familia yako kaachini na mkeo uyamalize,yakikushindwa ndio umalizane nae kwa amani ...kuondoka kutakufanya uzidishe matatizo zaidi..
 
Acha kutudhalilisha wanaume wenzio komaa mtoto wa kiume mkeo asikuendeshe huyo kakuona mnyonge ndio maana anakufanya anavyotaka
 
Alianzaje kuwa hivyo?Anatakiwa akupe sababu kwanini amebadilika na saa nyingine kuwa mkali sio kuongea nae huna confidence,Unajua sisemi kwa ubaya ila saa nyingine unatakiwa uwe strong na mkeo ajue wewe ndio mwanaume ndani ya nyumba,inachoelekea umemwachia sana sasa anakutawala,kama jamaa alivyosema mpe ukweli kwamba hayo mambo huyapendi na lazima heshima iwepo,akiendelea uamuzi unao mwenyewe.
 
Mkuu, Hilo nitatizo lipo kwa wanawake wengi na siyo huyo wa Kwako tu, sijui huwa ni kitu gani kwao, yaani wakishapata vijisenti kidogo inakuwa tabu sana, yaani na dharau inakuwa Kubwa kuliko, na sasa huyo wa kwako anamkopo wa 12m, ni shida kubwa..cha kufanya usikimbie nyumba, wewe kuwa busy na mambo yako wala usimsemeshe, ila tafuta house girl ambaye atakuwa anakupikia, anakufulia na hata kukupelekea maji bafuni, yeye si yupo busy...atakapoona hujali atajirudi tu na hasa hako kamkopo kake kakiisha kwenye mkoba wake....wanawake wengine ni malimbukeni sana wa kushika hela....dharau inakuwa kubwa sana....chukua hatua...


Bravo320 usipende ku generalize mambo Mkuu, wakti mwingine angalia upande mwingine wa shilingi. Ninavyoona mimi hapa kwa akili zangu tu hizi ndogo, mwanamke/wanawake wengi wakipenda wamependa na wanajimwaga/wanajitoa wazi kwa waume zao.
Wanavyokuwa wazi wanategemea kupata sapoti kutoka kwa waume zao in positive way. sasa hapo unakuta mwanaume unamshirikisha kila kitu lakini yeye kutwa yuko bze cjui na rafiki, cjui na ndugu mambo yake hayaeleweki kabisa. Unajaribu kuleta hela za mshahara muweke mikakati pamoja huoni mwelekeo. nakuambia huyohuyo mwanamke hatakuwa the same as you used to know her before.

ndio yanakuja malalamiko kama ya mleta mada. BADALA ya kumsaidia unaanza kumwambia wanawake wakipata hela wanakuwa hovyo. Jaribu kujua chanzo kwanza.

Kwa upande wa mke wake nahisi alishajaribu kumuweka sawa mumewe bila mafanikio yeyote akaona ya nini kujiumiza? Y dying for another person, Life is there for her and it has to go.

Sometimes you ask yourself "Before him was I not living? the answer Yes, I was living" so y should I kill myself for someone I have known him with all his MENO.

Bravo320, BE FAIR.
 
Mwanaume umeeleza upande wake tu how about upande wako lazima una inferiority complex. Play ua part ka mwanaume
 
never prove failure kirahisi hivyo, jambo dogo tu hilo kwa issue za ndoa jifanye kama umejubali hyo hali, kuwa busy sana usimuonyesha ume nuna au laa cheka mda wote hudumia familia yako halafu bora hata ujichue once per week ili usi chepuke ' usimuombe unyumba hata siku 1, ila onyesha furaha, aman siku akikusalimia muitike asiposalimia basi chukulia poa, kila asubuhi muwahi umeamkaje mke wangu, fanya kama ulivyo kuwa unafanya zaman
 
Mimi nimemuelewa mkeo wa ndoa. Kwa hizi kauli zako hata mie ningefanya zaidi ya mkeo.

Swali tu, hiyo miezi sita kama unaacha kazi ungeenda ukakaa kwenu (mke akichoka nae anaendaga kwao, asikutese hata wewe ulizaliwa)

Kama haurudi kwenu, utapangisha nyumba karibu na kazini kwako? Utabeba dada na watoto ama utamuachia?
¤ Nataka ni mnyoshe mkewangu wandoa naomba ushauri wenu.

Binafsi nataka niondoke nyumbani walau nikapumzike mbali na jiji hili for 6months.ushauri tafadhari.
 
Usiondoke kabla ujamtafuna hausi ghelly, utamtengenezea mazingira mabaya

CC. Nabii Tito
 
Kiburi dawa yake jeuri tafuta goma ringine mwaka huu mpango mzima mabadiliko asikusumbue na wewe umezariwa kama yeye;););););)
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom