Mauti ni bora kwangu kuliko uhaiiii

Mauti ni bora kwangu kuliko uhaiiii

mahirtwahir

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
614
Reaction score
322
Habari wana JF.
Hakika sina budi kusema la moyoni kwa huzuni na masikitiko imenibidi niseme haya kwa hakika najihisi km mgeni katika dunia hii najiona nimezama katika kina kikubwa cha maji sioni pakupata msaada nimekata tamaa na maisha hasa nikiangalia ukubwa wa familia unaonitegemea huku nikiwa sina mbele wa nyuma nimejaribu zaidi ya sana kutafuta japo kibarua cha kupata 5000 kwa siku nijikimu na maisha imekua ngumu kila pande ninayozunguka najiona km milango yangu ya riski imefungwa nimekosa hata uwezo wa kufikiri akili imeganda naijiona km punguani yoyote ataniona na kujua undani wangu hatoacha kutoa machozi kwa hakika nahitaji msaada wa kwa wanachama japo wa mawazo.
Mungu akutangulieni kwa kila jambo milele amina
 
Mtu mmoja huyu huyu anayetaka kujiua, juzi juzi alianzisha topic hizi...

Hali hii nikeishuhudia leo majira ya saa 9 hivi mi nilikua
naendesha daladala nilisimama katka kituo fulani nashusha abiria wakati natoa gari katika kituo nilimuona muendesha baskeli anakuja kwa nyuma ya gari langu kwa vile alikua mbali kdg sikusita kuliweka gari barabarani ili kuendelea na safari nikiwa katika pirika za kuliweka sawa nilimuona muendesha baske akinipungia mkono akiashiria nisimame mi nilisogeza tena gari pembeni akaja hadi mbele ya gari langu akafunguliwa mlango kabla ya kumalizia kusuka jamaa kampiga magumi ya maana na vibao damu ikaanza kutoka na uso kuvimba kama hamuri kila tulipotaka kumpa dada msaada jamaa anasema huyu ni mke wqngu hamuna haki ya kunizuiya nikatoa gari langu kukimbia ushahidi na hatia.

Na wanawheria mnaweza kutusaidia.
TWAHE WORK SHOP

Wana JF natumai muwazima wa Afya

Napenda kuwatangazia kua
work shop yetu inajishuhulisha na kutengeneza milango ya mageti kama ya nyumba au ktk maduka pia tunatengeneza milango ya rola shata na kuezeka magodauni na kufanya ripea kwa yale yanayohitaka
Ukihisi na kuhitaji kufahamu zaidi PM namba yako ili tuwasiliane au tuma ujumbe ktk 0777433260

Wanachama wa jf
ninabiashara ya pempasi za watoto jina lake ni KIDDI LOVE ziko poa sana kimatumizi na zinapatikana kwa bei nafuu kama kuna anaehitaji kufanya hii biashara anitafute pia natafuta mtu wa kushea nae biashara hii anaweza kuchapa kazi mafanikio yapo kulingana na jadueli hili
Pisi moja mimi nauza 8000 muna pempasi 26 kwa small midiam zimo 24 na large zimo 20
Kwa muuzaji wa rejareja akiuza kila 1 500 kwa biashara za kinyonge kwa huku kwetu zanzibar tunasema posho mlima na anaetaka kufaya biashara na mm atafute wateja kila kila pisi 1 tutauza 9000 na kila pisi tutayouza ya mshirika wangu yake ni shiling 1000 pesa yake ikikua nitamchukulia za kwake ajitegemee mi nitaanzisha wengine niko kwelini kwa anaona anaweza uaminifu ni kitu cha lazima

Unaweza kunipigia au kunitumia ujumbe ktk:
0777 433260 / 0713 476484
 
Hujakosea umesema kweli nami nilisema kweli na niliweka hio posti nilikua naendesha gari kweli ilikua nimepewa mualiko kwa siku hio sasa toka siku nimeweka post hadi leo sijapiga hata honi hebu jiulize nilipata mshahara wa kiasi gani ambao unifanye nishinde kujieleza pia sijasema km najiuwa ila nimesema mauti ni bora kwangu kuliko uhai
 
Hujakosea umesema kweli nami nilisema kweli na niliweka hio posti nilikua naendesha gari kweli ilikua nimepewa mualiko kwa siku hio sasa toka siku nimeweka post hadi leo sijapiga hata honi hebu jiulize nilipata mshahara wa kiasi gani ambao unifanye nishinde kujieleza pia sijasema km najiuwa ila nimesema mauti ni bora kwangu kuliko uhai

Acha kukufuru wewe.Unayajua mauti au unatania?!!!!
 
mtu mmoja huyu huyu anayetaka kujiua, juzi juzi alianzisha topic hizi...
kila unachokiandika humu kinaacha evidence so face your ghost b4 u move forward jamani kuweni wakweli hata mtu kukusaidia atashindwa!!!na kama umekosa chakupost nyamaza
 
Ujuzi ninao na fani ninazo na niliangalia mawazo ya hizo biasha ila hakuna ambayo imekua na imenisaidia hebu nakuomba rudia na zile ambazo niliweka kutafuta kazi kaka usiangalie upange 1 wa shilingi
 
kila unachokiandika humu kinaacha evidence so face your ghost b4 u move forward jamani kuweni wakweli hata mtu kukusaidia atashindwa!!!na kama umekosa chakupost nyamaza

Komaaa tuh....kumbe na ujuzi unao kumbe!!
 
Hata kama mtu alikuwa anamoyo wa kukusaidia.. Kwa hayo hapo juu sidhani kama atakuwa nao tena
 
kama upo siriaz mjomba, ushauri ni kwamba tulia kwenye biashara au kazi moja walau hata kwa miezi sita kabla ya kuanza nyingine, faida mara nyingi huwa haiji haraka
umejiunga hapa jf january 12 mwaka huu, tayari umesha weka habari za daladala, workshop ya mageti na milango, biashara ya pampasi...no wonder hakuna kinachofanikiwa. Pole sana na maisha
 
Ujuzi ninao na fani ninazo na niliangalia mawazo ya hizo biasha ila hakuna ambayo imekua na imenisaidia hebu nakuomba rudia na zile ambazo niliweka kutafuta kazi kaka usiangalie upange 1 wa shilingi

Biashara ya pempazi umeiacha? Vp kuhusu ile ya mageti na madirisha?
 
Mijitu miongo kama wewe ndio mnasababishaga hata wenye shida za ukweli wasipewe msaada!!
Wewe ni tapeli na mvivu
 
Kwa kweli niliiguswa na matatizo yako na nikapita tu ili baadae nirudi na ushauri fasaha ambao ungeweza kukupa matumaini katika mapambano ya maisha. Sasa hivi narudi kutoa huo ushauri nakutana na reply ya Mkuu Ndibalema...yaaani nimeishiwa nguvu na ushauri wenyewe umeyeyuka. Katika mambo ya kimsingi inasikitisha kuona kwamba kuna wadau Kama wewe mnaokuja na mzaha. Itakuwa ngumu kusaidiana siku za mbeleni.
Kila la kheri mkuu. Ila kuna wadau umetusikitisha na Uzi wako wa kitapeli.
 
Habari wana JF.
Hakika sina budi kusema la moyoni kwa huzuni na masikitiko imenibidi
niseme haya kwa hakika najihisi km mgeni katika dunia hii najiona
nimezama katika kina kikubwa cha maji sioni pakupata msaada nimekata
tamaa na maisha hasa nikiangalia ukubwa wa familia unaonitegemea huku
nikiwa sina mbele wa nyuma nimejaribu zaidi ya sana kutafuta japo
kibarua cha kupata 5000 kwa siku nijikimu na maisha imekua ngumu kila
pande ninayozunguka najiona km milango yangu ya riski imefungwa nimekosa
hata uwezo wa kufikiri akili imeganda naijiona km punguani yoyote
ataniona na kujua undani wangu hatoacha kutoa machozi kwa hakika
nahitaji msaada wa kwa wanachama japo wa mawazo.
Mungu akutangulieni kwa kila jambo milele amina

Hauna ndugu zako wa damu,baba,mama,na wadogo zako au kaka na dada zako?nenda ngende kwa "mtaalam"kawatoe kafara,utaona jinsi ishu zako znavoenda sawa!
 
Tatizo la madawa ya kuongeza nguvu za kiume yanaleta msongo wa mawazo.
 
Nasikitika kuwaona kua mnashindwa kuwa waelewa hebu kuweni makini nilisema nauza pempasi kwa jumla lengo ni kutafuta wateja ili niwauzie biashara ikabuma kutokana na kua haina faida kwangu mfano katuni nanunua 60000 nilisafirishe nililete dar niuze 70000 hapo imeingia elfu 10000 sijatoa tiket,gest,kula na usafiri wa kumpelekea mteja biashara hio ingeenda ikabidi nipotezee kuhusu mageti mm ni fundi na nimeshirikiana na mwenzangu ili tutafute watu tuwafanyie kazi hakutokezea hata 1 sasa panakazi hapo nikaja na computer dar hazikuuzika zaidi ya wana JF km 4 kunitia harama za kuwaletea wengine wakanikimbia wengine wakataka kunizulumu acheni kasumba mbona hamkuinukuu ile post yng nilioiweka karibuni kua natafuta kazi
 
Biashara sio lelemama ndugu yangu....hata waliofanikiwa hawakukata tamaa kihivyo...komaa na kitu ki1..sasa wewe unafanya biashara siku 2 unaacha unaenda nyingine......
 
Back
Top Bottom