Anampigaa mke wake barabarani hadi damu zamwagika.........

Anampigaa mke wake barabarani hadi damu zamwagika.........

mahirtwahir

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
614
Reaction score
322
Hali hii nikeishuhudia leo majira ya saa 9 hivi mi nilikua naendesha daladala nilisimama katka kituo fulani nashusha abiria wakati natoa gari katika kituo nilimuona muendesha baskeli anakuja kwa nyuma ya gari langu kwa vile alikua mbali kdg sikusita kuliweka gari barabarani ili kuendelea na safari nikiwa katika pirika za kuliweka sawa nilimuona muendesha baske akinipungia mkono akiashiria nisimame mi nilisogeza tena gari pembeni akaja hadi mbele ya gari langu na kulailaza baskeli yake barabarani mbele gari ili niaipate kulitoa tena alipiga kofi katika bonet ya gari yangu sote tukashangaa tukajua ni chizi akaja hadi katka mlango wa utingo akamuru utingo afungue mlango utingo akaagoma mara yule mzee akasema
"We mkona shuka haraka umeniaga unaenda kusuka huku unaenda wapi au huku ndio magogoni shuka haraka mshenzi we utingo mshushe huyo ni mke wangu" sote tukamuelekea yule dada mi nikamuuliza "kweli ni mumeo" akajibu ndio kwa kua nilimuona jamaa kafura kwa hasira ilibidi nimuulise suali jengine "utashuka" akajibu ndio akafunguliwa mlango kabla ya kumalizia kusuka jamaa kampiga magumi ya maana na vibao damu ikaanza kutoka na uso kuvimba kama hamuri kila tulipotaka kumpa dada msaada jamaa anasema huyu ni mke wqngu hamuna haki ya kunizuiya nikatoa gari langu kukimbia ushahidi na hatia.

Kwa hakika jamaa sikumuona kama kafanya jambo zuri nilimlani sana ila abiria wengine wakasema alichofanya jamaa ni sahihi kabisa.

Jee wadau mnasemaje juu ya hili hasa kwa wale walio na ndoa na wasiondoa ni vizuri kuchangi kwa uino wao ila wazingatie vipengele vya dini ktk ndoa.

Na wanawheria mnaweza kutusaidia.
 
wewe kwa hiyo ulikimbia kweli?umeniaibisha yapo mengi ungeweza fanya
 
wewe kwa hiyo ulikimbia kweli?umeniaibisha yapo mengi ungeweza fanya

Hata mimi namshangaa. Cha chini kabisa ambacho angeweza kufanya ni kumzuia huyo jamaa kuendelea kumpiga huyo mwanamke.

Huyo inayedaiwa kuwa ni mume si tu kafanya spousal abuse, pia kafanya aggravated assault.

Na pia anaweza akaongezewa mashitaka ya assault and battery.
 
Kuondoka ilikua ni wajibu wangu sababu ya kwanza nilikua nipo kazini pili jamaa ni mke wake dini inanibana kumuingilia hasa nilipokumbuka maneni ya mungu yasemayo
"Na wake zenu wakikufanyieni makosa wakanyeni wasipowasikia basi wahameni vitanda ,wasipokusikieni basi wapigeni ila pigo lenyewe lisiwe lenye kuwaumiza na wasipokusikieni waiteni mtu 1 upande wa mume na 1 upande wa mwanamke na mkitaka suluhu basi mungu yupo pamoja nanyi"
Kwa maelezo hayo ni lazima niyatie akilini nikashindwa ila pia nilihofu kama jamaa anawasiwasi wa kua mke wake anamuendea kinyume ningeshiriki basi angenituhumu kua mimi ndio ninaemchukua kwa nn nimtetee ilihali simjui hali ya kuwindana kwa mapanga na katika mtaa anaokaa ndio palipo na standi ya daladala yangu
 
Kaka hukufanya vyema kuondoka eneo la tukio..ungeweza kutoa msaada japo wa maneno kwa kumshauri huyo mwanaume atumie busara kwa kumrudisha mkewe nyumbani wakamalize tatizo.
 
Ingawa kupigana hadharani siyo vizuri,lakini kwa haraka haraka kuna usaliti hapo.Inaonekana mwanamme alishagundua huo mchezo.
 
Ye huyo mwanamke alikuwa anaenda wapi? Yamkini jamaa alikuwa anajua movie yote.
 
I second the move.
Alimzuia asiende kumletea viwavi huko alikomdanganyia mumewe.
 
Hali hii nikeishuhudia leo majira ya saa 9 hivi mi nilikua naendesha daladala nilisimama katka kituo fulani nashusha abiria wakati natoa gari katika kituo nilimuona muendesha baskeli anakuja kwa nyuma ya gari langu kwa vile alikua mbali kdg sikusita kuliweka gari barabarani ili kuendelea na safari nikiwa katika pirika za kuliweka sawa nilimuona muendesha baske akinipungia mkono akiashiria nisimame mi nilisogeza tena gari pembeni akaja hadi mbele ya gari langu na kulailaza baskeli yake barabarani mbele gari ili niaipate kulitoa tena alipiga kofi katika bonet ya gari yangu sote tukashangaa tukajua ni chizi akaja hadi katka mlango wa utingo akamuru utingo afungue mlango utingo akaagoma mara yule mzee akasema
"We mkona shuka haraka umeniaga unaenda kusuka huku unaenda wapi au huku ndio magogoni shuka haraka mshenzi we utingo mshushe huyo ni mke wangu" sote tukamuelekea yule dada mi nikamuuliza "kweli ni mumeo" akajibu ndio kwa kua nilimuona jamaa kafura kwa hasira ilibidi nimuulise suali jengine "utashuka" akajibu ndio akafunguliwa mlango kabla ya kumalizia kusuka jamaa kampiga magumi ya maana na vibao damu ikaanza kutoka na uso kuvimba kama hamuri kila tulipotaka kumpa dada msaada jamaa anasema huyu ni mke wqngu hamuna haki ya kunizuiya nikatoa gari langu kukimbia ushahidi na hatia.

Kwa hakika jamaa sikumuona kama kafanya jambo zuri nilimlani sana ila abiria wengine wakasema alichofanya jamaa ni sahihi kabisa.

Jee wadau mnasemaje juu ya hili hasa kwa wale walio na ndoa na wasiondoa ni vizuri kuchangi kwa uino wao ila wazingatie vipengele vya dini ktk ndoa.

Na wanawheria mnaweza kutusaidia.
Suka, endelea na kazi yako, uandishi haukufai
 
mila zetu wakina muraa ziachwe kufuatiliwa mkomee
 
Wewe ni mwanaume? Umeacha mwanamke anapigwa kukimbia ushahidi? Aiseee!
 
ukute hajui kugawa dozi,anajua kutoa kipigo tu ndio maana mama wa watu anatoka kutafuta mapenzi....

ila mie kila nikisoma topic za humu,nahisi utakuwa mgonjwa kuingia kwenye ndoa,wote hatufai si wanaume si wanawake,huyo anataka kutoka na mama mkwe wake na nyengine mavi yashanza kuleak....kama sio mabalaa ni nini...? kila mtu abaki kivyake tuendeleze taifa lol
 
Mapenzi ya wawili hayo hupaswi kuingilia
 
safi sana...jamaa kafanya kweli. mie nashangaa sana wanaume hivi mnawezaje watrust hawa wanawake na kuwaweka ndani kabisa? arrggg mambo mengine vidume mnajitakiaga tuu. wee gegeda alafu sepa no drama za kijinga kama hizi...mnaniboa sana
 
Ulichofanya ni makosa mkuu iweje mtu anapigwa then unaondoa gari sheria zpo wazi kbs ht km alikuwa mkewe.
 
mahritwahir pamoja na abiria wako mna makosa sana..hadi damu na ukadiriki kuondoka tu!??

So what kama ni mke wake? does it mean hata angemuua bado asingefanywa chochote just because ni mkewe?

No No No wewe na abiria wako mmekosea sana.
..kidini na kiraia!!!! umenisikitisha sana....:nono:
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom