Pole sana Mkuu, hayo yanawatokea wengi sana. Kikubwa ni kufanya uchunguzi zaidi na kuchukua hatua. Huyo sio Mke tenaHelw wakuu,
Habari za Eid Pili? Kwangu si njema sana baada ya kukutana na something I never expected, its a big blow to me.
Kwa kifupi wakuu, nina mpenz wangu ambaye napendan nae sana, sijawahi kumkosea wala kumkwaza with anything and I always considered our r/ship a healthy one. Hakuna matatizo yeyote kati yetu hata financial issues kiasi flan tumesimama. She is someone I was willing to take a larget step in life (marrying her) sometimes in next year after i've attained.some personal goals I have. Sasa leo kama bahati alinipatia simu yake nimrekebishie whatsapp ilikua inasumbua kuconekt bila kukumbuka ameacha some traces behind. Mimi wakati naifanyia setting simu, curiosity yangu ikanituma niende inbox kwa sms za kawaida... bandugu this is what I found ikabidi nipige na picha kwa simu yangu....View attachment 531363View attachment 531364View attachment 531365
Too bad huyu jamaa anaefanya nae upuuzi ni someone I trust and took as a brother since we were growing up mpaka sasa.tumekua watu wazima. Sijamwambia chochote mpaka sasa am still thinking ni adhabu gani niitoe au uamuzi gani niuchukue kutokana na ufedhuli huu niliofanyiwa. Ngoja nikapate a drink or two kwanza aisee nikae sawa, inauma wakuu acha tuu.
Hahahaha asa mwenye sura ngumu ndio hawezi kuwa malaya mkuu, mwanamke ata awe kama chiku keto kama ni malaya type utaskia mlio tu!!!Mimi nimeamua kumtafuta mwenye sura ngumu ngumu na mlokole labda ndo sitapata maumivu ya dizaini tena,mkuu najua maumivu unayoyapata.Mimi nilimaliza siku mbili bila kupata usingizi.
yani acha kabisa...hali ni mbaya nowadays!
hata kujidai unae mpenzi mwaminifu siku hizi hakuna.ni mashaka tupu.
mimi hapa nlipo natamani nikionana nae siku natamani niweze kupekua kule..
ana pattern kali [emoji134] ...password mpaka kwenye nokia tochi..
Ungeyabeba na kitoroli mkuuPole sana mkuu. Seriously inauma sana aise, ninavyo wapenda wanawake sijui ingenitokea mimi ningekua kwenye hali gani. Kwangu mimi kosa nisiloweza kusamehe ni hili la usaliti ningemuacha tu aende ila maumivu yake sijui ningeyabebaje.
Seriously sijui mtu anapata wapi guts za kumfanyia binadamu mwenzie usanii. If you love someone make sure you mean so. Imekuwa kama game kuamsha hisia za mtu halafu kuja kumvuruga at last, si uungwana kabisa! Kama huridhishwi si you just talk on how to make things work instead of sneaking out..tabia mbaya sana hio!!!hadi nimeogopa ujue..mda mwingine nawaza ni bora uwe peke ako tu..
Hata hao real na simple ndio sijawaona mpaka sasaHuwezi waona maana umetarget wale flashy guys. Innocent guys hawanaga maboblish mengi wapogi real and simple na nyie ndio hamtaki hivyo mnataka wale wa maigizo.
tatizo pia lipo kwa wadada,mna akili ngumu sana nyie.siku zote mpende sana Mungu wako na mama yako kama sio wazazi hawa wanawake we chukulia ni kama mechi za simba na yanga au uchaguzi wa TZ au chukulia kama ni kitu cha muda hutoumia sana never trust in women 100%Helw wakuu,
Habari za Eid Pili? Kwangu si njema sana baada ya kukutana na something I never expected, its a big blow to me.
Kwa kifupi wakuu, nina mpenz wangu ambaye napendan nae sana, sijawahi kumkosea wala kumkwaza with anything and I always considered our r/ship a healthy one. Hakuna matatizo yeyote kati yetu hata financial issues kiasi flan tumesimama. She is someone I was willing to take a larget step in life (marrying her) sometimes in next year after i've attained.some personal goals I have. Sasa leo kama bahati alinipatia simu yake nimrekebishie whatsapp ilikua inasumbua kuconekt bila kukumbuka ameacha some traces behind. Mimi wakati naifanyia setting simu, curiosity yangu ikanituma niende inbox kwa sms za kawaida... bandugu this is what I found ikabidi nipige na picha kwa simu yangu....View attachment 531363View attachment 531364View attachment 531365
Too bad huyu jamaa anaefanya nae upuuzi ni someone I trust and took as a brother since we were growing up mpaka sasa.tumekua watu wazima. Sijamwambia chochote mpaka sasa am still thinking ni adhabu gani niitoe au uamuzi gani niuchukue kutokana na ufedhuli huu niliofanyiwa. Ngoja nikapate a drink or two kwanza aisee nikae sawa, inauma wakuu acha tuu.
Show her that you know her dirty games with your friend. Let her know that you know her under carpet activities. She will be more troubled. Show the evidence to her, enough torture for her and do nothing. Usije ukaenda jela bure.Helw wakuu,
Habari za Eid Pili? Kwangu si njema sana baada ya kukutana na something I never expected, its a big blow to me.
Kwa kifupi wakuu, nina mpenz wangu ambaye napendan nae sana, sijawahi kumkosea wala kumkwaza with anything and I always considered our r/ship a healthy one. Hakuna matatizo yeyote kati yetu hata financial issues kiasi flan tumesimama. She is someone I was willing to take a larget step in life (marrying her) sometimes in next year after i've attained.some personal goals I have. Sasa leo kama bahati alinipatia simu yake nimrekebishie whatsapp ilikua inasumbua kuconekt bila kukumbuka ameacha some traces behind. Mimi wakati naifanyia setting simu, curiosity yangu ikanituma niende inbox kwa sms za kawaida... bandugu this is what I found ikabidi nipige na picha kwa simu yangu....View attachment 531363View attachment 531364View attachment 531365
Too bad huyu jamaa anaefanya nae upuuzi ni someone I trust and took as a brother since we were growing up mpaka sasa.tumekua watu wazima. Sijamwambia chochote mpaka sasa am still thinking ni adhabu gani niitoe au uamuzi gani niuchukue kutokana na ufedhuli huu niliofanyiwa. Ngoja nikapate a drink or two kwanza aisee nikae sawa, inauma wakuu acha tuu.
haisaidiii, and believe me none is perfectH
Hahaha et pattern kali!!!
Make sure hakuna privacy katika mahusiano yenu hasa kitu kama simu. Dissapointments kills people softly yani, unakaa unaplan vitu ukijua mko pamoja mwisho wa siku kumbe jitu linakuinjoy hujui...
Umekaa tu kiuaminifu unajikuta upo suprised tu kumbe uko na mnafiki longtime mipango inafanyika kwa simu. Nitahack hata mawasiliano kama umenijazia passwords staki upuuzi! Siaminigi maneno ya mdomoni tu.
Tupo.Hata hao real na simple ndio sijawaona mpaka sasa
Mkuu dawa ya wanaume kama hao kwa siku kama hizi tulizonazo ni kuwapiga mikia tu,mtafutie jopo la vijana wampige mkia hapo hapo babylonHelw wakuu,
Habari za Eid Pili? Kwangu si njema sana baada ya kukutana na something I never expected, its a big blow to me.
Kwa kifupi wakuu, nina mpenz wangu ambaye napendan nae sana, sijawahi kumkosea wala kumkwaza with anything and I always considered our r/ship a healthy one. Hakuna matatizo yeyote kati yetu hata financial issues kiasi flan tumesimama. She is someone I was willing to take a larget step in life (marrying her) sometimes in next year after i've attained.some personal goals I have. Sasa leo kama bahati alinipatia simu yake nimrekebishie whatsapp ilikua inasumbua kuconekt bila kukumbuka ameacha some traces behind. Mimi wakati naifanyia setting simu, curiosity yangu ikanituma niende inbox kwa sms za kawaida... bandugu this is what I found ikabidi nipige na picha kwa simu yangu....View attachment 531363View attachment 531364View attachment 531365
Too bad huyu jamaa anaefanya nae upuuzi ni someone I trust and took as a brother since we were growing up mpaka sasa.tumekua watu wazima. Sijamwambia chochote mpaka sasa am still thinking ni adhabu gani niitoe au uamuzi gani niuchukue kutokana na ufedhuli huu niliofanyiwa. Ngoja nikapate a drink or two kwanza aisee nikae sawa, inauma wakuu acha tuu.
haisaidiii, and believe me none is perfect
hata wewe inawezekana una maovu yako...ikichukuliwa simu yako mwenza wako anaweza kukupata na kosa
nimekuja kujifunza, kama Mungu hajausishwa kwenye mahusiano ni kazi bure, tena ni kupoteza mda big time