Maumivu ya moyo....!!!

mimi wale wanaoniambia et simu ya mpenzi haigusw mi hapana...nikipata chamsi napekua..
kama kaka mtoaada hapa ...amekuwa mwaminifu siku zpte na ana nia nzuri na mdada ..mungu kaliona hilo akauhurumia kwa kukuonyesha uendako sio sahihi.
imagine ingekuwa umemuoa juzi halafu unakuta hizo msg si ungejiua?
samehe na huyo dada mwambie tu arudi kwa huyo kaka kwa amani wakaliendeleze..wewe basi utapewa mwingine na muumba.
 
JIKATAE KIUTU UZIMA.AKIJA KUSHITUKA WEWE SIKU NYINGI UKO KONA ZA IYOVE...POLE SANA MKUU..THATS LIFE
 
Sikia mkuu, ckuiz mambo hizi ukifanya kupanic utaonekana bonge la mshamba asee n bila shaka utaonekana umepitwa n wakat...

Kwanza upanick au kukasirika ili iweje? Umepoteza nn mpk upanic? Kuna hasara uloingia kwa mfano? Kuhusu materials ulizopoteza kwa ajili yake io ickupe shida coz they r there forever n tutaviacha tu, sawa?

So, kikubwa kwanza mezea io, then muite uyo mchuchu wako kiupole tu uku ukiwa umerelaxxxxx vzuuur tu.... Kaa nae mueleze tatzo, muonyeshe ushahidi, kisha fanya maamuzi ambayo unadhan yatakuja kumkost yy ktk life.... Upo? Ucje ukamkalipia, kumpiga au ukaua, NO.. fanya mengine tofaut na hayo, sawa ndugu? Cmpo n clear...

Au kwa maana nyingine, mfungulie milango aende zake ukooo anakotoshelezwa, yaani ivo tu mkuu... Usiumizwe kichwa saaaana n matokeo yake ukaja jikuta unafuga nyoka atakaekuja kukudhulu bdae, "eti kisa oooohh ngoja nisamehe..." Binaadam kwa binaadam kuna ya kusameheana lakin co ktk ilo ambalo hata viashiria vyake vinaonyesha mkosaji amekusudia kufanya kosa ilo, ... ohooo...

Epuka io mapemaaa!
 
Mkuu usemacho ni sahihi ndiomana sijataka hata kumuonesha hizi proof ili asije akanitia hasira zaidi, lakini nitahakikisha within these two days anapack her things n off she goes out of my home
Mnaish wote?
 
Mfanye sana leo halafu ukimaliza mwambie wewe na yeye basi na umuonyeshe kila ulichokiona halafu umtakie maisha mema. Ile never trust Kiumbe kinachoitwa Mwanamke
Labda kaukwaa jana atajuaje aachane nae haraka iwezekanavyo
 
Pole sn mkuu, achana naye kwa amani. Usichukue hatua nyingine zaidi kipindi hki kigumu ulivyo na hacra utaharbu zaidi.
 
Huwa najiuliza kama kila mtu kwenye mahusiano yake angekuwa anadukua mawasiliano ya mtu wake nani angekutwa msafi???
Hizi ndoa za siku hizi Mungu asimame tu kwa kweli....
Pole kwa yaliyokukuta na shukuru umeyajua mapema kabla ya kile kifungo.....
 
Watumie hizo screenshot wote wawili....then acha wajihukumu wenyewe otherwise utafanya kitu hatari kwako na kwao
 
usimkawize sana mchane live na umpige chini utakuwa umetoa kitu kikubwa sana moyoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…