Hapanaa!! [emoji23][emoji23][emoji23]Hayajakukuta, huu moyo ukiamua kupenda unaweza jishangaa hata wewe [emoji38][emoji38]
Polee sana gran bah. [emoji23][emoji23][emoji23]Hatimaye tuliachanishwa.. Hatukuweza kuachana.. Tulikuwa hatuna hiyo nguvu[emoji41]
Kabisa! Na mod anashindwa kukutia hatiani.Yanaitwa matusi ya rejareja๐
Mapenzi yakiisha ukagoma kuachika, hakuna rangi utaacha kuona ๐๐๐Kuachwa mtu inakuaje unaachwa na unakubali๐
Kma mbwai mbwai tu yan lazima turudiane alafu mm ndo nikuache๐๐๐Mapenzi yakiisha ukagoma kuachika, hakuna rangi utaacha kuona ๐๐๐
Waganga wote hawa kutoka kigoma mabango kutoka mbezi had morogoro๐๐๐Haiwezekani
Ooh revenge sasaโฆ utakufa vibaya ww๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃKma mbwai mbwai tu yan lazima turudiane alafu mm ndo nikuache๐๐๐
Hahha watu kama sisi ndo tunaliaga na kwikwi ๐๐Ooh revenge sasaโฆ utakufa vibaya ww๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Mapenz hayana fundi kunamtu alinambia kashauriwa amloge mumewake ili atulie nikamwambia kamuulizemganga ana ndoa ngap ๐๐๐Waganga njaa hao.. Kuna siku nilimkuta mmoja naye anatafuta mganga wa mapenzi๐
Seran wee njoo ujibu swali hukuMlijaribu kurudiana? Mliweza?