Maumivu ya mapenzi

Nyota ,nyota gibberish🚮
Mtani ukichunguza vizur sio kila mlieachana hakua sahihi…

Ni alikua mtu mzuri tena sahihi kwako ila kwa muda flan na sio wakati wote. Hii ni theory ya maisha sio kwenye mahusiano tuu. Kila kitu kizuri hakidumu ukaa kwa muda tuu. Japo sio lazima iwe short time, inaweza kuwa mda mrefu ila kitaondoka tuu
 
Uzuri mapenzi hayaishi fasheni na watu wameumbiwa kusahau
Unapenda kisha unatendwa unajiapiza hutapenda tena! Halafu unajikuta mtegoni tena! Na tena!
Kinachokera ni kwamba *UKIONA UMEPIGWA KIBUTI UJUE KUNA MJANJA KAPENDWA NA UKIONA UMEPENDWA JUA KUNA FALA KAACHWA!😝😷
 
Nilipo zeeka nikagundua, kua ni lazima mambo, vitu au watu wengine waje nakuondoka ni lazima waondoke hata uzuieje, tunza hii kajukuu kangu itakusaidia maishani
 
Ewaaa umemaliza, mapenzi ni cycling na ukitaka ufurahi usifatilie alietoka. We enjoy yakiisha mwache aende
 
Nazungumzia nyota, naweza kuchambulia mpaka NATA chati yako ila ni gibberish tu
 
sahihi na relevant kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…