Maumivu ya mapenzi

Maumivu ya mapenzi

Walikufanya nini?
Mahi, huwezi amini hawajawahi nifanya chochote, ila bas tyuuh sinaga interest nao kabisaa.

Kuna nshomile alikuaga anasoma DDS hapo Muhas, nilimtolea nje na haamini hadi kesho.

Afu sasa kanyooka, yaan ana vitu vyangu kabisa, ila ndo huo u nshomile wake, mie aaah.

Jamani wa mlimani, wala makande, hao na mie ni humu tu humu tuu.
 
Back
Top Bottom