ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 16,684
- 39,476
Chupa yangu ya maajabu😁♥️
Chupa yangu ya maajabu😁♥️
Mimi naenda kufata hereni yangu moja ilidondoka huwa natolea line kwenye simu na ole wake nisimkute..!! 😹😹😹🤣🤣🤣🤣🤣🤣
makaveli10 nakuja kufuata gauni langu.
Najua udhaifu wako,🤣🤣🤣🤣🤣🤣
makaveli10 nakuja kufuata gauni langu.
Unaenda kutafunika, labda jamaa asijue udhaifu wako 😂🤣Mimi naenda kufata hereni yangu moja ilidondoka huwa natolea line kwenye simu na ole wake nisimkute..!! 😹😹😹
Kumkuta ni lazima ili msaidiane kuitafuta🤣🤣Mimi naenda kufata hereni yangu moja ilidondoka huwa natolea line kwenye simu na ole wake nisimkute..!! 😹😹😹
Sasa ole wako nisilikute gauni langu🤣Najua udhaifu wako,
Kanuni ni ile ile ukija kimekuramba...
Unadakwa juu juu, unapigwa denda, unaegemezwa ukutani, mikono juu mwendo wa mateka, unasachiwa kila angle, unapachikwa na DUDUKILA...
😂🤣
Kesi imeisha,
Mie nawe kuachana, ni mpaka miili yetu iachane na roho kwanza
Njoo tu nikulaki mlangoni..😂🤣Sasa ole wako nisilikute gauni langu🤣
Hawezi tushaachana 😹😹😹Unaenda kutafunika, labda jamaa asijue udhaifu wako 😂🤣
Na najua kabisa ilidondokea chini ya kitanda lazima nibinuke kuitafuta, ole wake aanze kunishika..!! Tutapigana nakwambia 😹😹😹Kumkuta ni lazima ili msaidiane kuitafuta🤣🤣
Hereni ikidondoka usiokote utaifata tena siku nyingine mahi..!! 😹😹😹Sasa ole wako nisilikute gauni langu🤣
🤣🤣🤣🤣 kwakweli nitakuwa nimechoka kwa kutafuta gauni.Hereni ikidondoka usiokote utaifata tena siku nyingine mahi..!! 😹😹😹
[emoji23][emoji23][emoji23] mbona unanitisha, ila ubini na asili inaonesha ni was mlimani huko.Hao wachaga[emoji1787][emoji1787]
Ogopa matapeli, hakuna mpare mrefu.
Usiamini wapare wapo🫰[emoji23][emoji23][emoji23] mbona unanitisha, ila ubini na asili inaonesha ni was mlimani huko.
Inakuaje hapo. Lol
Mhmm sasa wachaga unatishika nini?[emoji23][emoji23][emoji23] mbona unanitisha, ila ubini na asili inaonesha ni was mlimani huko.
Inakuaje hapo. Lol
Kitanda hakizai haramu🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23] mbona unanitisha, ila ubini na asili inaonesha ni was mlimani huko.
Inakuaje hapo. Lol
Nenda, utanipa majibu kesho yakeHawezi tushaachana 😹😹😹