Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 16,951
- 49,380
Duhh huyu ni oracle au? Sio kwa mapete na mishanga hii!Wahenga walisema IBILISI WA MTU NI MTU😂View attachment 3572822
Duhh huyu ni oracle au? Sio kwa mapete na mishanga hii!Wahenga walisema IBILISI WA MTU NI MTU😂View attachment 3572822
Uweeh! Labda wazungu😂Kuachana kungekuwa hivi🤔View attachment 3572823
Kwa hiyo hapo unajitosa baharini?😀Mpaka Kesho Sijui Niliachwa Achwaje huko
Saa ya ukutani ilikuwa ikigonga tiki-taka, kila sekunde ikionekana kama pigo la nyundo moyoni mwangu.
Nilikuwa nimekaa kwenye kochi letu lile lile la rangi ya kijivu, nikiwa nimeshika simu yangu ambayo dakika tano zilizopita ilikuwa imejaa msg za mahaba, lakini sasa ilikuwa imepooza kama barafu.
"Samahani, siwezi kuendelea nawe tena!. Nakutakia kila la kheri katika maishq yako," huo ndio ulikuwa ujumbe wa mwisho kutoka kwake.
Hakuna salamu, hakuna maelezo, na mbaya zaidi—hakuna kosa. Tulikuwa tumetoka kula chakula cha jioni saa mbili zilizopita.
Tulicheka, tulipanga kuhusu harusi yetu ya mwakani, na hata alinibusu paji la uso akiniambia, "Wewe ndiye mwanaume wa maisha yangu."
Nilijaribu kupiga simu.
“Mteja unayempigia hapatikani kwa sasa...” Sauti ile ya upole ya mhudumu wa mtandao ilikuwa ikinichoma kama kisu.
Nilijaribu kutuma ujumbe wa WhatsApp; tiki moja ya kijivu iligoma kugeuka kuwa mbili. Alikuwa ameshaniblochi (block).
Nilikumbuka kila kitu. Je, kuna neno nilisema vibaya wakati wa chakula? Hapana, alikuwa akitabasamu muda wote
Je, kuna mtu alimpigia simu? Hapana, simu yake ilikuwa mezani muda wote na hatukuwa na siri.
Nilikesha usiku kucha (kama leo😂) nikiangalia mlango, nikidhani labda ni mchezo au "suprise" fulani. Lakini asubuhi ilifika, jua likachomoza, na hakuonekana.
Nilienda kazini kwake, nikaambiwa ameacha kazi wiki mbili zilizopita—kitu ambacho hakuwahi kuniambia. Nilienda nyumbani kwake, nikakuta kumeingia mpangaji mpya. 😭
Ni miaka 20 sasa imepita. Maisha yanaendelea, nimekutana na watu wengi, lakini kila nikijitazama kwenye kioo, swali lile lile linanirudia: Hivi niliachwa achwaje?
Bila ugomvi, bila kelele, bila hata nafasi ya kusema "kwaheri."😝View attachment 3572833
Kuachwa kunauma sana hasa kuachwa ghafla unatamn hata ungeanza kumuacha😀 ila yote tunapitia tujifunze
Kwani namuogopa mtu mimiMtajeee😂
Inasikitisha sana sijui nini kilichomuua huyu binti!Wauaji tu haoView attachment 3572866
Mapenzi yanaua 😅Hafi mtu hapa😂
Unakuwa hujatarajiahahaha dalili huwa zipo ila wengi jeuri tu, binafsi siamini kama kuna cha ghafla ...
Kwani namuogopa mtu mimi
Papaaa mukuubwaaa
Mwenye kumjua mganga mzuri anayetoa ndagu za utajiri anisaidie
Ni Risky sana kuingia jf ukiwa mpweke🤣Wakati huo ilikuwa ni album za picha na daftari za autobiography
Alikuja na kisu kikali akaanza kuchanachana kila kitu.. Nikatulia tuli..
Alipoona sina reaction akaacha na kuniuliza kwanini hunizuii
Nikamwambia kwa upole kumbukumbu halisi haziwezi kuchanwa kwa kisu labda turudishe wakati nyuma na ku cancel kila kitu
Zile nyakati za furaha
Zile nyakati za hisia kali tukiwa wawili tu chumbani
Tulikoenda pamoja
Tulipokula pamoja..
Akakitupa kisu mvunguni na kuanza kulia.. Kisha nikatia komeo mlangoni nikashusha pazia
Nikaweka mziki wa killing me softly nikamchojoa zote na kuanza kumbebeleza😂View attachment 3572766
Duuuh hizo f kibao maana yake uje chumbani uchukue hio efu 50 ila unachukua ukiwa umevua mpaka chupi nikushikeshike ndio nikupe au vipi?
Aaaqah! Semegiiiiii!Wakati huo ilikuwa ni album za picha na daftari za autobiography
Alikuja na kisu kikali akaanza kuchanachana kila kitu.. Nikatulia tuli..
Alipoona sina reaction akaacha na kuniuliza kwanini hunizuii
Nikamwambia kwa upole kumbukumbu halisi haziwezi kuchanwa kwa kisu labda turudishe wakati nyuma na ku cancel kila kitu
Zile nyakati za furaha
Zile nyakati za hisia kali tukiwa wawili tu chumbani
Tulikoenda pamoja
Tulipokula pamoja..
Akakitupa kisu mvunguni na kuanza kulia.. Kisha nikatia komeo mlangoni nikashusha pazia
Nikaweka mziki wa killing me softly nikamchojoa zote na kuanza kumbebeleza😂View attachment 3572766
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Bongo hatuachani tunapumzishana, ukilewa brutal zako mbili unaenda kufata mtandio wako uliousahau..!! 😹😹😹