Maumivu ya mapenzi ni zaidi ya msiba

Maumivu ya mapenzi ni zaidi ya msiba

Kuachwa ni maumivu jamani..hayapimiki nimejifunza kutokumuamini mtu anayeitwa mwanaume zaidi ya baba yangu mzazi kila siku nauambia moyo koma kazi yako kusukuma damu acha kiherehere

Na mtu anayeitwa mwanamke yeye ni wa kuaminika?
 
Preta mama, tumeambiwa penda like there is no tomorrow. Mi napenda na kichwa, magoti na vidole, macho, maskio, mdomo na pua. Mapenzi yakiisha si utanyanyuka na virago ukapende pengine? Kupendwa raha bwana.
Hebu niadisie ilikuwaje maana sijui kwa nini upende hivyo.......dunia ina watu bil 9.5....na zaidi.....ukipenda huyo mmoja kiasi hicho hao wengine watapendwa na nani......?......
 
Unalinganisha kifo na usingizi wewe. Sidhani kama umefiwa, huwezi kulinganisha coz hata haviendani.
Kilikuwa kiherehere chako kupenda na kuhudumia asiye mke, next time you've got to draw a line!!

Mkuu. Kinasho Watesa Watu ni Mapepo wanayo Jazwa na Wakina Shilole, Kwenye Bongo Fleva za Mapepo ya Mapenzi. Yanayochochea Uzizi.

Pili ni Ukweli yawezekana Huyu Bwana Hajawai Kufiwa, Ndiyo Maana Anaona Kama Uchungu wa Kupigwa Kibuti ni Zaidi ya Msiba.

Mkuu Asikwambie Mtu Msiba Usikie Kwa Jiranitu. Ila Uchungu Wake ni Zaidi ya Kloro Kwini.

Ushauri Wangu Kwa Watu Wote Hasa Vijana Ambao Hawaja Oa Au Kuolewa. Kumbukeni Kwamba Moyo Niwa Mungu.

Ukimpa Mungu Moyo Wako Atakupa Amani, Atakuongoza Katika Njia Iliyo Nyooka.

Mimi namshukuru Mungu, Kwa Kuwa Nilimpa Moyo Wangu, na Mungu Alinionyesha Mkewangu, Ambaye Ndiyo Mama Watoto Wangu na Tumedumu Naye Kwa Kipindi Kirefu Kwa Amani Na Upendo Mkubwa Sana.

Chakushangaza, Licha Ya Mungu Kunionyesha Mkewangu, Na Yeye Pia Mungu Alisema Naye Kwamba Mimi ni Mume wake.

Nimalizie Kwa Kusema. Kumcha Bwana ni Chanzo cha Maarifa. (Mithali 1:7) Ukimcha Mungu Kamwe Utakuwa Na Uzuni Maishani, Atakuongoza. Na Atakupa Amani na Furaha Moyoni.
 
Aisee hii kitu inaumiza sana lkn unapaswa kujitahidi kuwaza iyo kitu mara kwa Mara ninavyoandika hapa nami pia nimepigwa chini na Shem wenu yani kanikata mazima.nilimpenda sana na niliamini kuwa ndio Mke wa kuishi nae lkn ameamua kunipiga chini ile siku alonipiga chini nilitamani ardhi ipasuke niingie umo mana nyumba ulikua chungu nikalia na kushindwa kupata usingizi nikawaza sana kwanini ameamua ivi sikupata majibu. sasa nimeamua kuwa busy na mambo yangu simfikirii tena niko na yangu maisha yanasonga
 
Aisee,pole saana mkuu.embu tupe intro kidogo mkuu.ilikuaje mpaka aamue kukupiga chini...finally nkukaribishe kwenye jukwaa pendwa la NO KUPENDA..ila ni kujipigia tu na kusepa
 
Uko sahihi rafk
 
Kuacha kunaumiza kuliko msiba kwa sababu unaomboleza moyoni peke yako bila pole wala lambilambi pole yako ni kuchekwa na jirani zako ndo maana inakuwa ngumu kupona
 
Ngoja ukiachwa utajua hata nikikuelezea huwez kuelewa bro
Hahaha. Eti nikiachwa. Mimi nimeshaacha na kuachwa mara kibao lakini sijawahi umia roho wala mwili ndo maana nashangaa wanaosema maumivu ya mapenzi. Hata niliyenaye akifa ndo nitaumia lakini akiniacha hata leo wala sitajisikia vibaya. Ndo maana nikasema labda naumwa sijijui maana I don't feel what others claim to feel.
 
Habarini za asubuhi wana MMU,

Ni yapata mwezi mmoja na wiki mbili umepita sasa, tangu niachane na Girlfriend niliyetokea kumpenda saaana nakiri kuwa nilikuwa namuhudumia na kumjali kuliko hata wadogo zangu na familia yangu kiujumla lakini mwisho wa siku alinifanyia kitu cha ajabu saana, mwanaume nililia saana, sikuweza kula wala kuoga kilichonisaidia nilikuwa OFF hivo ile wiki yote ambayo nlikuwa siendi kazini niliiona kama mwaka kwangu nashkuru Mungu hicho kipindi kilipita vizuri na hatimaye niliingia ulimwengu mwingine wa usingle life.

Wadau, usiombe ukutwe na hili janga binafsi nimeprove kuwa maumivu ya msiba yanapita kwa muda mfupi lakini maumivu ya mapenzi hudumu kwa muda mrefu, hasa pale unapo kumbuka yale yote ambayo mliyafanya pamoja.

Pia nawashukuru sana wale wote walionitia moyo katika kile kipindi kigumu ambacho nilikuwa napita, ingawa sijatengamaa bado maana yote yalonitokea nilikuja kuomba ushauri hapa jamvini.

Niwaombe wale wote ambao mnatarajia kuingia katika mahusiano, kuweni sana makini yawapasa muwe na tahadhari kubwa sana, usiingie na miguu yote kama mimi nilivyofanya, maana siku hizi maigizo ni makubwa kuliko upendo yaani kupitia maigizo yake, unaweza thibitisha kuwa unapendwa lakini mwisho wa siku unashangaa gia imebadilishwa angani.Pia mshirikisheni sana Mungu kwa wote ambao mpo tayari kwenye mahusiano ili awaepushie mbali na shari.

Niwaombe wote ambao mmepitia maumivu ya mapenzi kwa namna moja ama nyingine, tujuzane hapa na pia ukielezea ni kwa namna gani uliweza kuvuka salama ili iwe msaada kwa wengine pia.

Nawasilisha hoja, ahsanteni sana
Watalaamu wa mambo ya mahusiano wanasema hivi: Mpenzi akikukose kosa ambalo inabidi muachane nae kwa huo huo muda usimwache, usifanye hivo utaumia zaidi. 1. utaumia kwa kosa alokutendea 2. utaumia kwa kumkosa 4rever. so inabidi uvumilie ukiendelea kuwa nae huku ukiwa unaigiza igiza tuu kumpenda ili maumivu yapungue coz hata km amekukosea sana angalau ukiwa unamuona maumivu hupungua. ukishakaa sawa piga chini hamna maumivu nakuhakikishia hilo
 
Back
Top Bottom