Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,884
njo nkusokote. mwaka tumeuona nashukuru. heri na kwako.
Asante......nimeamua kunyonyoa zote.......mpaka nikuzoee mwaka huu......
njo nkusokote. mwaka tumeuona nashukuru. heri na kwako.
usifanye hivo, mwanamke nywele, uutakosa mchumba. shauri yakoAsante......nimeamua kunyonyoa zote.......mpaka nikuzoee mwaka huu......
Wacha we, kwa hiyo we pesa Na mapenzi kipi boraNaona baada ya kutendwa umekua muhubiri wa upendo teh teh teh
Unampenda mwanamke kama akikuacha huyo hupati mwengine kwani mama yako mzazi huyo
Kuna vitu vya kuweka mwanzo ila sio mapenzi
Hauna jinsia auMaumivu ya mapenzi siyajui hata yapoje...
Ha ha ha du nimecheka mno, pole wekama utaupoteza uhai wako jiandae kumpoteza utakaempata mm nshazoea kuachwa had najiona mm ndo mwenyekiti wa watoswaji
Angalizo ...Dunia haina watu bil. 9.5 ni bil. 7+Hebu niadisie ilikuwaje maana sijui kwa nini upende hivyo.......dunia ina watu bil 9.5....na zaidi.....ukipenda huyo mmoja kiasi hicho hao wengine watapendwa na nani......?......
Angalizo ...Dunia haina watu bil. 9.5 ni bil. 7+
Haiwezekani kwa vipi? Hebu fafanua.Wanawake walio wengi hawatabirikagi anaweza zingua hata kama mpo na miaka 10 kwenye ndoa...Na kuishi bila wao haiwezekani sasa..
Pole aicee kiongoz,Mimi mwenyewe mpaka sasa nina wiki mbili ninauguza moyo pamoja mazoezi ya kutopata hamu ya kula, kiukweli nilimpenda na alikuwa hana baba wakawa anaishi kwa ndugu tukapendana nikampa kila kitu alichostairi kupewa kama mwanamke akapendeza na tumedumu ndani ya miaka mitatu but kosa tukatengana mikoa yeye akaenda sengerema mimi nikabaki musoma na alikuwa na mimba angu mimba katoa na kuendelea kunichuna kwa kudai matumizi ya mimba nikawa natuma pesa pindi mimi niko chuo nimehitimu chuo nikaenda kumuona mama kijacho weeeee hata ukuta uliopigwa plista una mimba mtoto flat na kanimwaga kuniambia fadhira zangu atanilipa mungu jaman mpaka sasa naumwa
Upo sahihi sana mkuu...ILA hata huyo wa malengo mimi nilishaumizwa naye na nikakoma na kuamua kutompenda tena kwa 100%Maumivu hutokana na malengo.
Ukiwa na lengo la kuolewa/kuoa mpenzi wako lazima umpende vilivyo.Utaoaje mtu ambaye moyoni yupo nusu? hivyo akikudump lazima uumie.
Wengine wana wapenzi watatu Au wanne na hawana mipango ya kuoa/kuolewa na yeyote kati ya hao.Hata waachwe kwao ni kawaida TU.