Maumivu ya mapenzi ni zaidi ya msiba

Maumivu ya mapenzi ni zaidi ya msiba

Acheni utani kufananisha kufiwa na wazazi ni sawa na kuachana na mpenzi. Tusidanganyaje hapa jamvin mpenzi kama mpenzi utampata mwingine lakini mzazi akishapotea atapotea maisha hamuwezi kuonana kabisa. Alafu ngoja niwaambie ukweli mimi niliachana na mpenzi wangu niliumia sana ila nilimpata mwingine na sasa ndiye mume wangu na yule nimeshamsahau kabisa wala akili kwangu hayupo. Je mzazi utampata wapi mwingine
 
msiba na mapenzi haviendani/havilinganishiki....jichanganye tena....then uje tena hapa
 
Msiba wa nani unaongelea?
Tenda wema nenda zako usingoje shukrani.....
Dont trust a woman, hata akiwa uchi usimwamini
Kweli kabisa ukimwamini mwanamke mia kwa mia Lazima ukutane na Ukuta wa maumivu
 
I can totally agree with u..msiba huwa unapita..
Ila huwezi kusahau kirahisi jitahidi kusali sana..
Usikae mwenyewe..
Find something to keep u busy
 
Usilinganishe kifo na usingiz wewe bwegee huwez linganisha msiba na Mapenz wewe Mapenz unasahau na kupata mwingine bt Sio kufa wewe usimkufuru mungu bwegee wewe
 
Kwa hiyo mkuu wee umeamua kuchukua maamuzi gani[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Don't put all eggs in one basket kukaa na mtu mmoja kwenye mahusiano ni risk saana ni vizuri kuwa na mtu wa pemben. HQ pakizingua unakuja kwenye branch na mapenz yoote
 
Nawashukuruni saana nyoote mlio nitia Moyo na mlio nikejeli pia,,,ila niwakumbushe tu kuwa,omba Mungu yasikukute.Binafsi namshukuru Mungu,baada ya hlo tukio nmekuwa imara zaid,na nimeapa kutokuja kulia kwa sababu ya mwanamke,,,nkikumbuka nilivolia najiona mpumbavu saaana#
 
poleeeee sanaaaa but mimi ni miaka mitatu sasa still maumivu ni makali kama ya juz iviiii but now my boyfriend alishaoa tayari, so kila mtu anapitia matatizo mbalimbalu na maumivu piaa
 
Habarini za asubuhi wana MMU,

Ni yapata mwezi mmoja na wiki mbili umepita sasa, tangu niachane na Girlfriend niliyetokea kumpenda saaana nakiri kuwa nilikuwa namuhudumia na kumjali kuliko hata wadogo zangu na familia yangu kiujumla lakini mwisho wa siku alinifanyia kitu cha ajabu saana, mwanaume nililia saana, sikuweza kula wala kuoga kilichonisaidia nilikuwa OFF hivo ile wiki yote ambayo nlikuwa siendi kazini niliiona kama mwaka kwangu nashkuru Mungu hicho kipindi kilipita vizuri na hatimaye niliingia ulimwengu mwingine wa usingle life.

Wadau, usiombe ukutwe na hili janga binafsi nimeprove kuwa maumivu ya msiba yanapita kwa muda mfupi lakini maumivu ya mapenzi hudumu kwa muda mrefu, hasa pale unapo kumbuka yale yote ambayo mliyafanya pamoja.

Pia nawashukuru sana wale wote walionitia moyo katika kile kipindi kigumu ambacho nilikuwa napita, ingawa sijatengamaa bado maana yote yalonitokea nilikuja kuomba ushauri hapa jamvini.

Niwaombe wale wote ambao mnatarajia kuingia katika mahusiano, kuweni sana makini yawapasa muwe na tahadhari kubwa sana, usiingie na miguu yote kama mimi nilivyofanya, maana siku hizi maigizo ni makubwa kuliko upendo yaani kupitia maigizo yake, unaweza thibitisha kuwa unapendwa lakini mwisho wa siku unashangaa gia imebadilishwa angani.Pia mshirikisheni sana Mungu kwa wote ambao mpo tayari kwenye mahusiano ili awaepushie mbali na shari.

Niwaombe wote ambao mmepitia maumivu ya mapenzi kwa namna moja ama nyingine, tujuzane hapa na pia ukielezea ni kwa namna gani uliweza kuvuka salama ili iwe msaada kwa wengine pia.

Nawasilisha hoja, ahsanteni sana

Pole Ila bado una naumivu, ujaoa and so we sahau !
 
Mimi mkuu nilikuwa nahudumia gharama zote hadi ndugu zake na mama yake na hata kumpeleka mdogo wake shule lakini kilichonikuta ni ngumu kuelezea nimepigwa chini,shemeji zangu nao hawataki hata kupokea simu zangu isipokuwa kuna kaka yake mmoja tu ndo tumekuwa tukiongea toka nipigwe chini.
 
Haya sasa kazi sasa
 

Attachments

  • 1467966366855.jpg
    1467966366855.jpg
    50 KB · Views: 124
poleeeee sanaaaa but mimi ni miaka mitatu sasa still maumivu ni makali kama ya juz iviiii but now my boyfriend alishaoa tayari, so kila mtu anapitia matatizo mbalimbalu na maumivu piaa
Ahsante mkuu,pia pole na ww kwa ulo pitia.ipo ck utamsahau kama nivo msahau mm.yaan mwanzon nlikuwa namuwaza kila dkka
 
Back
Top Bottom