BILGERT
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 6,532
- 11,028
- Thread starter
- #181
Polee saana mkuu,,Mimi mkuu nilikuwa nahudumia gharama zote hadi ndugu zake na mama yake na hata kumpeleka mdogo wake shule lakini kilichonikuta ni ngumu kuelezea nimepigwa chini,shemeji zangu nao hawataki hata kupokea simu zangu isipokuwa kuna kaka yake mmoja tu ndo tumekuwa tukiongea toka nipigwe chini.