Maumivu ya mapenzi ni zaidi ya msiba

Maumivu ya mapenzi ni zaidi ya msiba

Mimi mwenyewe mpaka sasa nina wiki mbili ninauguza moyo pamoja mazoezi ya kutopata hamu ya kula, kiukweli nilimpenda na alikuwa hana baba wakawa anaishi kwa ndugu tukapendana nikampa kila kitu alichostairi kupewa kama mwanamke akapendeza na tumedumu ndani ya miaka mitatu but kosa tukatengana mikoa yeye akaenda sengerema mimi nikabaki musoma na alikuwa na mimba angu mimba katoa na kuendelea kunichuna kwa kudai matumizi ya mimba nikawa natuma pesa pindi mimi niko chuo nimehitimu chuo nikaenda kumuona mama kijacho weeeee hata ukuta uliopigwa plista una mimba mtoto flat na kanimwaga kuniambia fadhira zangu atanilipa mungu jaman mpaka sasa naumwa
 
Jaman mm nawaambia kama hujatendwa furahi kusimuliwa ukikutwa!!!!!!!
 
Mimi mwenyewe mpaka sasa nina wiki mbili ninauguza moyo pamoja mazoezi ya kutopata hamu ya kula, kiukweli nilimpenda na alikuwa hana baba wakawa anaishi kwa ndugu tukapendana nikampa kila kitu alichostairi kupewa kama mwanamke akapendeza na tumedumu ndani ya miaka mitatu but kosa tukatengana mikoa yeye akaenda sengerema mimi nikabaki musoma na alikuwa na mimba angu mimba katoa na kuendelea kunichuna kwa kudai matumizi ya mimba nikawa natuma pesa pindi mimi niko chuo nimehitimu chuo nikaenda kumuona mama kijacho weeeee hata ukuta uliopigwa plista una mimba mtoto flat na kanimwaga kuniambia fadhira zangu atanilipa mungu jaman mpaka sasa naumwa

Aisee pole sana mkuu,,,inauma sana
 
Ngoja nichangamkie fursa..ukifika kwny hii familia ya bado nipo nipo unitonye mwenzangu maana hakuna namna...hivi ulisema upo mkoa gan vileee[emoji3]

hahaa,ni PM mkuu..tukamate fursa.mm nko Dom
 
Afadhali mkuu...yan hata sio mbali dar to dom..hureeeh na venye na mimi nina kajeraha rohon kwa kwel hii fursa ni muruuuaaa

Teh,teh...fanya kweli basi...nakusubir kwa PM
 
Hivi mapenzi yanaumaje..?
au kuna kiungo cha mapenzi kwenye mwili ukiachwa chenyewe ndo kinauma.?
 
Don't fall in LoVe... Get in love and remain standstill.. Be as flexible as the bamboo trees so when love storm blows so hard you jus bend and let it go
 
Mapenzi ni kama majani yanaota popote pale. Ila yako yaliota MTO msimbazi mafuriko yako, bomoa bomoa yako.

Pole sana.
 
Ukiwa deep in love ni hatari sana zaidi maana utakuwa umejificha chini ya jagi huku ukiwa umejiamini hutapigwa na maadui.
 
Mapenzi ni kama majani yanaota popote pale. Ila yako yaliota MTO msimbazi mafuriko yako, bomoa bomoa yako.

Pole sana.

Ahsante saana mkuu.mm nilmeshapoa
 
Maumivu hutokana na malengo.
Ukiwa na lengo la kuolewa/kuoa mpenzi wako lazima umpende vilivyo.Utaoaje mtu ambaye moyoni yupo nusu? hivyo akikudump lazima uumie.
Wengine wana wapenzi watatu Au wanne na hawana mipango ya kuoa/kuolewa na yeyote kati ya hao.Hata waachwe kwao ni kawaida TU.
 
Habarini za asubuhi wana MMU,

Ni yapata mwezi mmoja na wiki mbili umepita sasa, tangu niachane na Girlfriend niliyetokea kumpenda saaana nakiri kuwa nilikuwa namuhudumia na kumjali kuliko hata wadogo zangu na familia yangu kiujumla lakini mwisho wa siku alinifanyia kitu cha ajabu saana, mwanaume nililia saana, sikuweza kula wala kuoga kilichonisaidia nilikuwa OFF hivo ile wiki yote ambayo nlikuwa siendi kazini niliiona kama mwaka kwangu nashkuru Mungu hicho kipindi kilipita vizuri na hatimaye niliingia ulimwengu mwingine wa usingle life.

Wadau, usiombe ukutwe na hili janga binafsi nimeprove kuwa maumivu ya msiba yanapita kwa muda mfupi lakini maumivu ya mapenzi hudumu kwa muda mrefu, hasa pale unapo kumbuka yale yote ambayo mliyafanya pamoja.

Pia nawashukuru sana wale wote walionitia moyo katika kile kipindi kigumu ambacho nilikuwa napita, ingawa sijatengamaa bado maana yote yalonitokea nilikuja kuomba ushauri hapa jamvini.

Niwaombe wale wote ambao mnatarajia kuingia katika mahusiano, kuweni sana makini yawapasa muwe na tahadhari kubwa sana, usiingie na miguu yote kama mimi nilivyofanya, maana siku hizi maigizo ni makubwa kuliko upendo yaani kupitia maigizo yake, unaweza thibitisha kuwa unapendwa lakini mwisho wa siku unashangaa gia imebadilishwa angani.Pia mshirikisheni sana Mungu kwa wote ambao mpo tayari kwenye mahusiano ili awaepushie mbali na shari.

Niwaombe wote ambao mmepitia maumivu ya mapenzi kwa namna moja ama nyingine, tujuzane hapa na pia ukielezea ni kwa namna gani uliweza kuvuka salama ili iwe msaada kwa wengine pia.

Nawasilisha hoja, ahsanteni sana

Bilgert hiyo setuation kila mwaname takriban inampitikia katika maisha yk., mimi mara 3 saivi nishazoea be strong, alafu kizuri zaidi nilichokigundua demu akikuacha kwa ukatili kama ivyo baada ya mda hurud mwenyewe apo unamkaanga upendavyo.
 
Ku
Habarini za asubuhi wana MMU,

Ni yapata mwezi mmoja na wiki mbili umepita sasa, tangu niachane na Girlfriend niliyetokea kumpenda saaana nakiri kuwa nilikuwa namuhudumia na kumjali kuliko hata wadogo zangu na familia yangu kiujumla lakini mwisho wa siku alinifanyia kitu cha ajabu saana, mwanaume nililia saana, sikuweza kula wala kuoga kilichonisaidia nilikuwa OFF hivo ile wiki yote ambayo nlikuwa siendi kazini niliiona kama mwaka kwangu nashkuru Mungu hicho kipindi kilipita vizuri na hatimaye niliingia ulimwengu mwingine wa usingle life.

Wadau, usiombe ukutwe na hili janga binafsi nimeprove kuwa maumivu ya msiba yanapita kwa muda mfupi lakini maumivu ya mapenzi hudumu kwa muda mrefu, hasa pale unapo kumbuka yale yote ambayo mliyafanya pamoja.

Pia nawashukuru sana wale wote walionitia moyo katika kile kipindi kigumu ambacho nilikuwa napita, ingawa sijatengamaa bado maana yote yalonitokea nilikuja kuomba ushauri hapa jamvini.

Niwaombe wale wote ambao mnatarajia kuingia katika mahusiano, kuweni sana makini yawapasa muwe na tahadhari kubwa sana, usiingie na miguu yote kama mimi nilivyofanya, maana siku hizi maigizo ni makubwa kuliko upendo yaani kupitia maigizo yake, unaweza thibitisha kuwa unapendwa lakini mwisho wa siku unashangaa gia imebadilishwa angani.Pia mshirikisheni sana Mungu kwa wote ambao mpo tayari kwenye mahusiano ili awaepushie mbali na shari.

Niwaombe wote ambao mmepitia maumivu ya mapenzi kwa namna moja ama nyingine, tujuzane hapa na pia ukielezea ni kwa namna gani uliweza kuvuka salama ili iwe msaada kwa wengine pia.

Nawasilisha hoja, ahsanteni sana
Kufiwa ni issue nyingine, ila na maumivu ya kuachwa siyo kidogo, kuna jamaa alijifunzia kunywa pombe kwenye kuachwa anasema alikuwa hapati usingizi bila kulewa we acha kusikie kuachwa ni balaa
 
For sure m nasemaga mapenz yanauma zaid ya maumivu ya jino...hakika yapata miez 5 now niko single na nmezoea maumivu jns nlivotendwa..kujichanganya ndo kulinisaidia mwanzo nilikua nikikaa chumban nalia sn ila now duh nmezoea hua maumv yanakuja mara chache sn.
 
Aiseee,pole mkuu.tupe kisa chako mkuu.ilikuaje
 
Back
Top Bottom