Naona baada ya kutendwa umekua muhubiri wa upendo teh teh teh
Unampenda mwanamke kama akikuacha huyo hupati mwengine kwani mama yako mzazi huyo
Kuna vitu vya kuweka mwanzo ila sio mapenzi
Tunapoachana na wale tuliodhani kuwa wanatupenda kumbe wanatulaghai hatupaswi kulia wala kuangusha chozi na kupunguza maji yako ya mwili bali ujipongeze na kumshukuru Mungu kwa kukuondolea huyo kiumbe hatari maishani mwako....Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema anajua hata yaliyo nafsini mwa mtu na ndio maana kamwe huwa hamfichi mnafiki.....
Tunapotenganishwa na wanafiki na matapeli wa mapenzi haimaanishi kwamba tunapaswa kujutia yale yote tuliyoyafanya nyuma...bali tunatakiwa tujifunze kutokana na makosa ya nyuma...mwanadamu hakamiliki pasi na kufanya makosa....lakini kunahekima kubwa na busara kujifunza kutokana na makosa hayo....
Unachotakiwa kufanya ni kusonga mbele na kujiweka karibu zaidi na wale wenye upendo wa dhati kwako....
Imeandikwa kuwa tutawatambua kwa matendo....
Pitapita tu lakini angaliiiia[emoji12]Hahaaa,bado nina majeraha machache kwa kweli.hata kama nkirud ntakuwa napita njia tu.sio mapenz ya dhati
Pole sana...ulichosema kama mtu hajawahi kuexperience akae tu kimya...huwa nawashangaa wale wanaoconclude kwenye mahusisno ya watu et c umuache Huyo mwanamke/ mwanamme utafute Mwingine...aisee ni kitu ngumu sana kuachana hasa km ulipenda kwa asilimia 100
Usije pata makubwa na mabaya zaidi...fafanua mkuu,niangalie nn
I feel you pain, hapa watakana tu ila everyman kuna a lady once broke his heart akaumia deeply, though we differ on how we mourn but inatokea. Naomba nikupe hongera kwa kuwa sasa UMEKOMAAA.You are now finally a REAL MAN
Kutokana na kuumizwa huko, moyo wako sasa unajenga ka immunity flani hivi, hutotokea kupenda mazima mazima tena ili usi experience the same pain, in other words...... Welcome to the play boys family brother.