Maumivu na raha ya kukataliwa

Maumivu na raha ya kukataliwa

Ni kweli kabisa mimi binafsi siwezi kuwa na mwanaume ninayempenda sana at first labda hiyo ije itokee ndani ya mahusiano na si kabla
 
Kweli mapenzi ukiingia kichwa kichwa ni shida sana, kitu ambacho nashukuru sijawahi kupigwa kibuti wala sijawahi kuacha kwa kupiga kibuti cha kutamka maneno.

Nilijifunza jambo kubwa sana kabla sijaingia katika mahusiano na kumvulia mwanamke nguo hiki ndicho kinanifanya mpaka leo vibuti na maumivu ya mapenzi nayasikia kwa watu tu.

Una siri gani iliyojificha jamani tuambizane
 
Endelea aisee .....!!!!!!!

Baada ya kumpenda sana uyo jamaa mwingne ambae alikua mkoa mwingne kikazi ...... aliaanza kuniletea mapozi yani anaeza kaa ata sk tatu ajapiga simu kwakua nlikua na mpenda sana nlikua namtafta ilifika kipindi nikipiga sm anakata najua labda kabanwa na kazi namtumia msg nikiona ajajibu najua labda kachoka kazini napiga tena sm anakata.....

Jaman ctokuja kumsahau yule kidume tena yupo umuumu jf na acount yake naijuaa popote ulipo we ulieumiza moyo wangu nakushukuru kwan umenifungulia njia ya maisha mazuri kwan manyanyaso yako yamenipa baraka

Yani mwanaume alinitesa yule nlikua nashinda nalia tu.....kumbe kipindi analeta pozi alikua na mwanamke ambae alikua na ujauzito .....wake kipind icho mm sisomi nlikua nafanya biashara zangu za kusaka pesa japo nlikua dogodogo 2010......aliniacha na kua na uyo bibie ambae madai yake kasoma.......nliliaga kwa uchungu sana......iliniuma sana kwan bora angesema sikutaki......kaoa na ana mtoto sasa......na mm nliamua kwenda shule na mpaka sasa npo shule...

Kupenda kubaya jamani
 
Duuuh pole sana aisee....
 
Asante mwaya nshapoaga mie......ila nlikataaga wengi sana kwaajili yake tena nliwakataa kwa mbwembwe nikijua napendwa mie kumbe majanga matupu

Tatizo ni kwamba haya mambo tumefumbwa.....unapopenda wewe na unapodhani unapendwa mara nyingi huwa ni kinyume chake. Ila msamehe bure huwez jua uliepushiwa nini
 
Ahahahahaaaaaaa.... Hadithi za mapenzi, wakati fulani maishani! Nimecheka kama mazuri!
 
Tatizo ni kwamba haya mambo tumefumbwa.....unapopenda wewe na unapodhani unapendwa mara nyingi huwa ni kinyume chake. Ila msamehe bure huwez jua uliepushiwa nini

Yaani.....ndio ivyo namshukur mungu na mm napendwa now
 
Sahivi kutongoza ni sawa na kuamka asubuhi. Hakuna kipya kwangu.
 
du!! mimi mpaka sasa naugulia maumivu ya kibuti pamoja na yote aliyonifanyia nampenda to the maximum japo yeye hanitaki kabisaaaaaa
 
Wewe na Eiyer mmenikumbusha show ya kwanza niliyopiga baada ya kupata udi, ilikuwa zaidi ya high speed horse riding.
Have you ever done that? Beating it up like it stole something from you...?
 
Last edited by a moderator:
aise mimi ndo maana sr bachela mpaka leo...nshakula vibuti kaa vitatu vitakatifu...kingine hapa jf...ila siku hizi naona kawaida tu maana kwa huu umaskini wangu naona ni sawa tu...
 
Pole sana kwa vibuti hizo ni changamoto za maisha
 
Back
Top Bottom