Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 584
Nshazoea vibuti hata sasa hivi nimetoka kupigwa kibuti
Unaweza kuwa unadhani hilo ndilo unalolihitaji,lakini ukweli ni kinyume sana na unavyodhani ......nimpe tena kibuti au nifurahie kukaa chini ya mti wenye kivuli na majani mabichi weye
Kuna vibuti vingine ni hatari mkuuNikipenda mwanamke akinitosa ndo natamani zaidi kuwa nae na kumpenda hadi kutoa hata chochote cha thamani ila akinikubali tu simpendi tena namuona hana thamani. Law of diminishing marginal utility in b place
Wanawake tukipendwa hatupendeki.........tatizo tunapenda tusipopendwa
Yeah!!
Hii sifa nadhani wanayo wanawake wengi, kama sio wote, hawapendi mwanaume anayeonekana anawapenda sana, wanachukulia ni udhaifu..
Ukimpenda sana, you will not command her, they like someone firm, who will direct them what to do, command them, and if neccessary beat them.
My current girlfriend is angry with me because I have never beat her, she is saying it plainly, she want me sometimes to give her some beating!!
hivi eee kwaio hapa nilipo sipendwi?? uwiiiii naomba usiniaminishe hili looi
Pole mkuu ....!!Aliponitosa ikabidi amwambie mshkaji ambaye ni kabila moja na yeye. Nahisi jamaa akawaambia na wengine ikawa nikikuta watu kwenye vikundi wanaanza kuniangalia kwa shauku jamaa kazimika kwa demu mbaya. Ila yote poa nimejikuta nakumbuka maisha ya chuo na zile relationships
Kumbe ndiyo wewe ulikuwa unanifanyia hivyo lol malipo ni hapa hapa duniani.hahaMi kuna jamaa alikua ananipenda kipindi icho nmemalza form 4 na yy alikua ametoka kumalza chuo ndio kaanza kazi......yule jamaa alikua adi analia kwaajili yangu lakini mm nlikua smpendi hata kidogo mda mwingne akipga sm nazma nikiwasha nikikuta msg zake nazma tena yaan nlikua naona ananisumbuaa coz nlikua najamaa mmoja nlikua na mpenda adi nlihis dunia yote yangu.....nlikuja kutendwa na uyu jamaa mwingne nahis ilikua ni laana ya kumtesa mtoto wawatu.....cjui niendelee au ngoja niishie hapa
Hujawahi kuwa kwenye mahusiano?Kweli mapenzi ukiingia kichwa kichwa ni shida sana, kitu ambacho nashukuru sijawahi kupigwa kibuti wala sijawahi kuacha kwa kupiga kibuti cha kutamka maneno.
Nilijifunza jambo kubwa sana kabla sijaingia katika mahusiano na kumvulia mwanamke nguo hiki ndicho kinanifanya mpaka leo vibuti na maumivu ya mapenzi nayasikia kwa watu tu.
Endelea aisee .....!!!!!!!Mi kuna jamaa alikua ananipenda kipindi icho nmemalza form 4 na yy alikua ametoka kumalza chuo ndio kaanza kazi......yule jamaa alikua adi analia kwaajili yangu lakini mm nlikua smpendi hata kidogo mda mwingne akipga sm nazma nikiwasha nikikuta msg zake nazma tena yaan nlikua naona ananisumbuaa coz nlikua najamaa mmoja nlikua na mpenda adi nlihis dunia yote yangu.....nlikuja kutendwa na uyu jamaa mwingne nahis ilikua ni laana ya kumtesa mtoto wawatu.....cjui niendelee au ngoja niishie hapa