Whatttt!!!!!
Nakumbuka kama bado siku mbili kufanya necta nikamtongoza dada fulani aiseee akanichomolea halafu alikuwa ndio mwanamke wa kwanza kumtongoza kwa kweli nilikaa mwaka mzima bila kutongoza
kila nikifikiria inaniuma alikuwa mzuri kweli.
Kuna huyu mwengine tulikuwa tupo mahali tunasoma ni mzuri kweli baba yake alikuwa professor udsm kipindi hiko simu zinzingia room ya computer nikafika hadi alipokaa nikachukua simu yake nikaipiga namba yangu kisha nikarudi pa kukaa Nakumbuka usiku wake alinitumia good night aiseee sikulala siku hiyo nilikuwa namuogopa mpaka basi baada ya masomo nilimkuta anadrive mkoko mimi nimeshika bomba kwenye daladala akanipa hi nilitamani nijifiche kwa kweli
Kuna huyu alikuwa jirani yetu kipindi hicho hapa Dar kuna vipori tulikuwa tunafuga mbuzi kulikuwa kuna msichana fulani hivi anasoma olympio kipindi hicho ni ya kishua basi kila nikionana naye namhadithia kwamba kwetu kuna mbuzi mpaka akapata akili sasa hivi ana mtoto huyu ndio namjutia kwa kweli najiona mjinga kila nikikutana naye
Hao ndio niliwakosa kwa kweli
Una umri gani?
Ili umpe kibuti?
Hahaha hivi vistori vyako...wew siku mbili kabla ya necta ulikua unatongoza ya nin?
Angalia wasije wakakuita mfupi wa kimo maana wanasema wanaume wafupi ni noma kwa kukomalia watuNikipenda mwanamke akinitosa ndo natamani zaidi kuwa nae na kumpenda hadi kutoa hata chochote cha thamani ila akinikubali tu simpendi tena namuona hana thamani. Law of diminishing marginal utility in b place