Maumivu na raha ya kukataliwa

Maumivu na raha ya kukataliwa

Yaani nimecheka hadi machozi. Hakukuambia kama kwao kuna tv hamna mbuzi? Hahaha
Kuna huyu alikuwa jirani yetu kipindi hicho hapa Dar kuna vipori tulikuwa tunafuga mbuzi kulikuwa kuna msichana fulani hivi anasoma olympio kipindi hicho ni ya kishua basi kila nikionana naye namhadithia kwamba kwetu kuna mbuzi mpaka akapata akili sasa hivi ana mtoto huyu ndio namjutia kwa kweli najiona mjinga kila nikikutana naye

Hao ndio niliwakosa kwa kweli
 
Yaani nimecheka hadi machozi. Hakukuambia kama kwao kuna tv hamna mbuzi? Hahaha

kipindi hiko tv mtaa mzima ipo sehemu moja tena kwao sasa ningemwambia nini hapo nitamhadithia mwenendo wa mbuzi aiseee .. we acha tu
 
What the heck?! Kindly speak for yourself and please don't generalize, sio wanawake wote wanapenda mwanaume design hiyo,khaaa!!! Eti "most women like a man who would command them around & if necessary beat them up", ebooo!!!

Yeah!!
Hii sifa nadhani wanayo wanawake wengi, kama sio wote, hawapendi mwanaume anayeonekana anawapenda sana, wanachukulia ni udhaifu..
Ukimpenda sana, you will not command her, they like someone firm, who will direct them what to do, command them, and if neccessary beat them.

My current girlfriend is angry with me because I have never beat her, she is saying it plainly, she want me sometimes to give her some beating!!
 
Majibu ya shombo yalinikosti, nililetewa mabaunsa wanne wakati i was just 16. Nashkuru kiburi cha kuzaliwa ndio kilinilinda. He he he, raha kweli, wish i could turn back time jamani.

Pata picha vibuti vyangu vilikiwaje? Hehehe manake akili zenyewe zimeota majuzi hapa. Khaaa
 
He he he, shosti hujaachika?

Ila kuwa taken jumla jumla kuna raha yake, melilaksi, hizi reja reja majanga.

hahaha siku hizi sipigi tena vibuti my dear, ila sitongozeki. Im taken jumla jumla bwana. Kwa hiyo ukianza nyimbo naangua vicheko tunaishia hapo. Ila enzi zile naringa khaaaa.
:llama::llama::llama:
 
Pole sana aisee mi kuna alinipa kibuti karibia na UE aisee niliumiaje na kulia juu hafu hajali since then nimekua sugu i dont care about kibuti naona kawaida tu

Me mwaka juzi karibu na UE aliye kuwa mpenzi wangu (ke) alibadilika ghafla na kunikataa, yanii nilikua nakesha usiku kucha kwa mawazo then asubuhi naenda kwenye paper sio siri nilidrop kwenye GPA but now mwaka wa tatu nna mwingine and happy ,sasa kila siku anawaomba rafiki zangu wamuombee msamaha turudiane!
 
Hii imekaa vizuri sana ukweli ni kwamba kila mwanaume siku za mwanzo mitihani inakuwa mingi ya aina tofauti tofauti,mimi nakumbuka nilimvizia demu anatoka kuchukua maziwa anapita kwenye kichochoro ktk shamba la mahindi marefu,ghafla nikatokea mbele yake na ilikuwa jioni,akaniuliza vp nikaishiwa na nguvu sikuweza kuongea chochote daah yaani hii kitu nikiikumbuka naumia haswa!
 
hahaha siku hizi sipigi tena vibuti my dear, ila sitongozeki. Im taken jumla jumla bwana. Kwa hiyo ukianza nyimbo naangua vicheko tunaishia hapo. Ila enzi zile naringa khaaaa.
:llama::llama::llama:
Unanichimba mkwara nisikutongoze au?
 
Hehehe aisee. Mie nilikuwa sifai kabisa. Uzuri nilikuwa mwoga, hata ukitaka kunidunda utanikamatia.wapi?
Majibu ya shombo yalinikosti, nililetewa mabaunsa wanne wakati i was just 16. Nashkuru kiburi cha kuzaliwa ndio kilinilinda. He he he, raha kweli, wish i could turn back time jamani.

siachiki miaka laki sita. Kwani mie.dida wa multiple users? Nnavyoogopa kulipa kodi na kuservice bebi woka? Ngoja nigawe morning glory fasta kwanza
He he he, shosti hujaachika?

Ila kuwa taken jumla jumla kuna raha yake, melilaksi, hizi reja reja majanga.

hehehe wewe ni mdogo wangu wa damu. Mtongozo yanaanzia wapi? Takusemea kwa baba
Unanichimba mkwara nisikutongoze au?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom