Maumivu na raha ya kukataliwa

Maumivu na raha ya kukataliwa

Mi nilichopata fedheha pamoja na kibuti,nilimtumia barua asubuhi nakuta imetundikwa kwenye mbele ya assemble ya wanafunzi kama tangazo,sikuulizia hata majibu,nikimwona natamani ardhi ipasuke.

Hivi sijui unakuwaga ni utoto ama kitu gani
 
No other kind of beating, just mangumi.
Hmm....are you for real? She must be a glutton for punishment unless you're talking about another kind of beating...

Yeah..that kinda beating where you beat "it" up like nobody's business.
 
Wakati huo hakuna simu za mkononi ilikuwa ni barua kwa kwenda mbele. Kuna dada mmoja nilimpenda tangu tukiwa watoto na alikuwa nyuma yangu darasa moja (shule ya msingi) baada ya kumaliza masomo mimi nilifaulu lakini yeye hakubahatika kwa hiyo akabaki nyumbani.
Akiwa nyumbani na mimi wakti huo nikiwa fomu tuu akapata vijamaa flani vilivyokuwa vinamilikimahine ya kusaga nafaka (wazazi). Basi nikawa naandika barua huku nikiwa nimechora maua ya love lakini hakuna majibu. Nilijitahidi sana kumuonyesha kuwa Nampenda ila akawa hajali, mwisho wa siku baada ya kurudi likizo nikakuta hali mbaya, kademu hakaeleweki hata kidogo. Nikisema hivi kanajibu vile ilimradi knisukumie mbali. Iliniuma nikafikiria sananiagundua shida ni hali ya maisha. Ufunguo niliokuwa nao wa kuwa mwanfunzi bora kutoka kijiji mpaka wilaya ulikuwa ume-expire. Ikabidi nijipe moyo na kuyatafta maisha.
Kwa sasa yeye ameolewa shamba na anazaa kila mwaka, amechoka. Mimi nadunda na maisha yangu ingawa kwa kweli huwa namuita mke wangu wa kiroho kwani kwa muda wote tuliokuwa wapenzi sikuwahi kukutana nae kimwili. Alikuwa rohoni mwangu kabisa.
Kibuti kimenifunza kutafuta hela ili nisinyanyaswe na wenye nazo.
 
Nakumbuka kama bado siku mbili kufanya necta nikamtongoza dada fulani aiseee akanichomolea halafu alikuwa ndio mwanamke wa kwanza kumtongoza kwa kweli nilikaa mwaka mzima bila kutongoza
kila nikifikiria inaniuma alikuwa mzuri kweli.

Kuna huyu mwengine tulikuwa tupo mahali tunasoma ni mzuri kweli baba yake alikuwa professor udsm kipindi hiko simu zinzingia room ya computer nikafika hadi alipokaa nikachukua simu yake nikaipiga namba yangu kisha nikarudi pa kukaa Nakumbuka usiku wake alinitumia good night aiseee sikulala siku hiyo nilikuwa namuogopa mpaka basi baada ya masomo nilimkuta anadrive mkoko mimi nimeshika bomba kwenye daladala akanipa hi nilitamani nijifiche kwa kweli

Kuna huyu alikuwa jirani yetu kipindi hicho hapa Dar kuna vipori tulikuwa tunafuga mbuzi kulikuwa kuna msichana fulani hivi anasoma olympio kipindi hicho ni ya kishua basi kila nikionana naye namhadithia kwamba kwetu kuna mbuzi mpaka akapata akili sasa hivi ana mtoto huyu ndio namjutia kwa kweli najiona mjinga kila nikikutana naye

Hao ndio niliwakosa kwa kweli

hujamalizia hapo pepa ulipata zero au four!!!!
 
Hivi sijui unakuwaga ni utoto ama kitu gani

Utoto tu halafu yale mapenzi yanakuwa na nguvu

He he he
Ila huyo aliyeniaibisha mwishoni nilifanikiwa but kwa wakati huo sikumpenda kama mwanzo,aisee enzi hizo hata mkifanya raha tupu halafu vibinti mkishafanya wanaona aibu wakikuona wanakiimbia
 
'akunyimaye kunde anakupunguzia mashuzi' mtu anayekuacha leo ni afadhali kuliko ange kupotezea mda
 
Hii dhana ya kwamba ukimuonyesha mwanamke kwamba unampenda sana atakusumbua mmeipata wapi..?
Pili: Kwani mapenzi yanapimwa kwenye mizani na kusema kwamba wataka kumpenda robo tu au nusu tu..?
Ninachojua mie once umependa huwezi kujiwekea limit kwamba nipende mwisho hapa bila ya wewe mwenyewe kujiumiza.. Maana kupenda siyo tendo la hiari mpanga upange.. Hii dhana inajengwa na mfumo dume ambao unatafuta justification za kuuendeleza mfumo huu hata katika mapenzi.. Jiachieni kwenye mahaba bila ya kuogopa kauli hizi za ati atakusumbua mwanamke ukimuonyesha anakupenda..
Hivi Paloma alimpeleka wapi jamani?
 
Last edited by a moderator:
Wakati huo hakuna simu za mkononi ilikuwa ni barua kwa kwenda mbele. Kuna dada mmoja nilimpenda tangu tukiwa watoto na alikuwa nyuma yangu darasa moja (shule ya msingi) baada ya kumaliza masomo mimi nilifaulu lakini yeye hakubahatika kwa hiyo akabaki nyumbani.
Akiwa nyumbani na mimi wakti huo nikiwa fomu tuu akapata vijamaa flani vilivyokuwa vinamilikimahine ya kusaga nafaka (wazazi). Basi nikawa naandika barua huku nikiwa nimechora maua ya love lakini hakuna majibu. Nilijitahidi sana kumuonyesha kuwa Nampenda ila akawa hajali, mwisho wa siku baada ya kurudi likizo nikakuta hali mbaya, kademu hakaeleweki hata kidogo. Nikisema hivi kanajibu vile ilimradi knisukumie mbali. Iliniuma nikafikiria sananiagundua shida ni hali ya maisha. Ufunguo niliokuwa nao wa kuwa mwanfunzi bora kutoka kijiji mpaka wilaya ulikuwa ume-expire. Ikabidi nijipe moyo na kuyatafta maisha.
Kwa sasa yeye ameolewa shamba na anazaa kila mwaka, amechoka. Mimi nadunda na maisha yangu ingawa kwa kweli huwa namuita mke wangu wa kiroho kwani kwa muda wote tuliokuwa wapenzi sikuwahi kukutana nae kimwili. Alikuwa rohoni mwangu kabisa.
Kibuti kimenifunza kutafuta hela ili nisinyanyaswe na wenye nazo.
kumpiga chura teke ni kumuongezea mwendo.
 
Ukibigwa kibuti we hangaika na maisha, watakuja wenyewe. Hata kina Beyoncé utawatumbua tu, if you really want to.
 
Kuna mmoja nilimpeenda, baadaye nikaona ujinga nikampiga kibuti lakini hakuamini. Na ilichukua muda sana kuamini.

Yaani siku hizi hata akiwa bafuni na nikampigia simu aje,anaweza kuja kwangu kwa spidi na kusahau hata kuvaa chupi!!

Duuuuuu mkuu huyooo badoo anakupenda
 
Kusema ukweli hili somo halijaniingia wala sijalielewa, yani mwanamke nimpende halafu nisimwoneshe upendo wangu kwake? Hii ngumu kwangu siwezi kusubili mtu mwingine ndio amuoneshe upendo.
 
100% true, mwanamme zaifu hafai

Eiyer umenikumbusha mbali sana, kuna mmoja alitaka kunibonda khah, ila baadae tukawa marafiki foreva.

Yeah!!
Hii sifa nadhani wanayo wanawake wengi, kama sio wote, hawapendi mwanaume anayeonekana anawapenda sana, wanachukulia ni udhaifu..
Ukimpenda sana, you will not command her, they like someone firm, who will direct them what to do, command them, and if neccessary beat them.

My current girlfriend is angry with me because I have never beat her, she is saying it plainly, she want me sometimes to give her some beating!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom