Pole sana mumeo nae..... Huo umri si wa kutulia na familia jamani??
ndio umri NGUVU ZA KIUME zinaongezeka na kuwa bora zaidi
Pole sana mumeo nae..... Huo umri si wa kutulia na familia jamani??
pole ila mwenzio amalizagi .... cha kufanya ni kuzungumza naye kwa upole na utaratibu .. usimfokeee na mweleze kiasi gani inakuumiza
kabisa babu....Nadhani sasa atakuelewa....Bata ukimchonoa sana utakufa na jakamoyo....
Ila mimi ningeshauri huyu mama ajitahidi kuelewa kuwa game inachezwa namna hiyo. Kama anataka kuendelea basi aongee na Muzee ili wakubaliane kucheza salama.
Siyo rahisi kustaafu kabla hujakamilisha vibarua vyako vyote....Kama hawaamini watuulize!
Babu DC!
wewe hujui.... ndio hujue....Kwani kuna sheria kuhusu simu za wanandoa.?
umegundua....?Wengine humu ni pasua kichwa
bora iwe ukoloni, kuliko vinginevyo...wewe hujui?Kwa hiyo ni marufuku kushika simu?? Acheni ukoloni
bora iwe ukoloni, kuliko vinginevyo...wewe hujui?
ndiyo maana yakesometimes wanaume tunakuwa treated kama watoto wachanga
naja ....Afu miss chaga nina mzigo wako .....njoo pm uchukue
sawa....Mimi sijui maana ya mume wangu nashika
kuzoea kuchepukiwa??????
Nadhani sasa atakuelewa....Bata ukimchonoa sana utakufa na jakamoyo....
Ila mimi ningeshauri huyu mama ajitahidi kuelewa kuwa game inachezwa namna hiyo. Kama anataka kuendelea basi aongee na Muzee ili wakubaliane kucheza salama.
Siyo rahisi kustaafu kabla hujakamilisha vibarua vyako vyote....Kama hawaamini watuulize!
Babu DC!
Atayazoea hayo maumivu aliyonayo sasa[/QUOTE
si rahis upande wangu hadi niropoke!!!! ila inaelekea huyu ni mvumilivu sana aisseee.