Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,080
- 165,195
Mzee bando anavunja mifupa dadeki.... Pole
nauliza tu nani alikuruhusu kushika simu ya mumeo....?
Kwa hiyo mpendwa usiposhika simu ndo inabadili the fact kuwa anacheat? Mnaonyeshana tupu zenu sembuse simu jamani aaah
Mwaka huu mwanzoni nilifuma sms kwenye simu ya mume wangu akijibu sms ya mchepuko.
Ni hivi mchepuko alimwandikia kwamba ana mimba yake, yeye akajibu kwamba sio mimba yake
siku ambayo walikutana yeye akumaliza (sijui alikuwa na mana gani).
Huwezi kumzuia mtu mzima kufanya kitu, but at least unaweza wewe ukajiweka on the safe side, ukamuacha yeye aendelee na upuuzi wakeHakuna kinachobadilika ila huwezi kumzuia mtu mzima mwenye akili zake kufanya atakacho.
I wish nikupe story yangu kidogo kuhusu simu ila inaumiza kwa upande wangu so sipendi kabisa kushika simu ya mwanaume
tutajitahidi aiseeeKumbe na wewe bado sana.....
Bora umemjibu... Yaani mtu atulie wakati ana uhakika wa kusettle bills zote za mama na watoto? Hiyo nyingine itaenda wapi?
Halafu kuna chemicals za kiuchokozi huwa zinatemwa mwilini at that age....
Mjitahidi kuwasamehe wenzenu ili mstaafu pamoja!
Kwa hiyo ni marufuku kushika simu?? Acheni ukoloni
Ilikuwaje huyu mumeo akuachie usome message kama hizo kwenye simu yake? Haweki password? Ndio madhara yake hayo.mweleze tu muongee labda moyo wako utatulia.
Pole sana shemeji.
nauliza tu nani alikuruhusu kushika simu ya mumeo....?
Ni mzembe kushinda maelezo yaniHuyo mwanamume ni mzembe sana....
Utaendaje kwa wife na sms za namna hiyo? Alishindwa nini kusafisha uchafu wake na kwenda kwa mkewa akiwa msafi kama mtoto aliyeiba sukari au mboga jikoni anavyokuwa mtakatifu mbele ya mama?
He has to pay the price.. ingawa atashinda mchezo!
Ni mzembe kushinda maelezo yani
tena hasa sisi wapenda hela .. tusamehane.. hata mtoa mada kama vile yeye anachepuka ila anatumia condom mwenzie anakula kavu
Huwezi kumzuia mtu mzima kufanya kitu, but at least unaweza wewe ukajiweka on the safe side, ukamuacha yeye aendelee na upuuzi wake
Naheshimu maamuzi yako lakini, coz sijui ilikuwaje ukawa hivyo. If you don't mind na kama upo free, unaweza ukanipa tu hiyo story my dear. Kikawaida kutakuwa na kitu cha kujifunza/ kukumbushana kwenye hiyo story
tena hasa sisi wapenda hela .. tusamehane.. hata mtoa mada kama vile yeye anachepuka ila anatumia condom mwenzie anakula kavu