Maumivu makali

Maumivu makali

nashukuru shem but naomba usikilize wimbo wa michael borton How am i supposed to live without uwe maalum katika kukubembeleza na kukulaza unono

Shem unamjua mtu wa Heaven Sent??? Haki ya Mama akiona dedication yako hii atakuua .....
 
Last edited by a moderator:
kitendo cha kusema ulikuwa na uhakika kwamba anachepua mpaka hapo ushaonyesho udhaifu mkubwa sana na wa ajabu...kama ulikuwa na uhakika anachepuka ilibidi uanze kutibu tatizo hilo ili asichepuka ikiwa ni pamoja na kumuonyesha kuwa ajue kuwa umeshajua anachepuka...ila we unaomba ushauri baada ya kugundua anafanya bila kinga, ina maana kwamba kuchepuka ulikuwa umeshahalalisha ila kujua kuwa hatumii kinga ndo umeshtuka!! haya ni maajabu, hakikisha mmeo hachepuki, rudisha mapenzi ya dhati, ili aanze kusahau wa nje, mi sitoshangaa akikuletea mtoto, we unajua mmeo anachepuka afu unakaa kimya.....acha kujishusha hadhi yako kiasi hicho mbele ya mmeo. suala ni dhibiti asichepuke, kwahiyo wataka si uliotuomba ushauri tukushauri namna ya kumuambia mmeo atumie kinga akiwa anachepuka! kama umejua anachepuka na umeangalia tu leo washtuka kujua hatumii kinga, safari ijayo atahamia hukohuko...acha kulea tatizo hili ktk familia yako, matokeo yake ni makubwa sana anaweza akahamishia huduma zote kwa mchepuo.ushauri nasema dhibiti mmeo asichepuke kabisaaaa
 
Hahaha ukute brod darlin hayupo, maana anajua kuazimisha mwiko wake Mmh

Yupoo hapa pembeni,kamvua kameanza kunyesha Ngoja nijibebisheee tusome Habari za usiku ITV......endelea kuliwazana na Shem langu ibra87.....ila msizime taa nitakusemea kwa mume wetu....lol....gudnight dear.
 
Last edited by a moderator:
Yupoo hapa pembeni,kamvua kameanza kunyesha Ngoja nijibebisheee tusome Habari za usiku ITV......endelea kuliwazana na Shem langu ibra87.....ila msizime taa nitakusemea kwa mume wetu....lol....gudnight dear.
Hahaha breaking news njema. Nights too sweetheart
 
Last edited by a moderator:
Ungetubu kwa ajili yake na yako na utubu kwaajili ya wakina mama wote wanaoteseka kwa sababu kama hii na ungeomba rehrma zake mwenyezi mungu na kumsamehe mume wako na kuwa na amani nae na hayo maradhi iunayodhania yengekupita mbali, utamu wa pipi ni mate yako na hata furaha yako inatoka ndani yako hata ukipitia magumu kiasi gani kama upo active na Mungu waaaala uyadhaniayo hayata kufilka, Mungu akupe wepesi mama yangu.
 
Tatizo hawataki kukaa wakatusikiliza....hatukuvuka kwa sababu mto ulikuwa umekauka mkuu...Tulipiga mbizi kwa nguvu zote. Ila tukiwamegea, wanaweza kutafuta eneo la mto ambalo ni nafuu kuvukia!

Shida ya hawa wajukuu ni kutaka ligi!

aione atoto
 
Last edited by a moderator:
Mama tulia ndo ndoa hiyo...siyo harusi...afu umri wenu ushakuwa mkubwa,hebu tulien mlee watto acheni maigizo ya miaka 20
 
Pole my dear,atleast ajue kama unajua ila kuumia unapoteza muda maana hajui kama unajua ,zungumza tu!hawa watu waumri mkubwa nao smtimes nishida
 
shaga weee wakifika 50+ wanakuwa kama wamebalehe upya kwa hiyo ndiyo wanakula dogo dogo .. mbaya zaidi ukute mke kashapata monopose .. waombee tu wasipate maradhi ukaja kuuguza
Jamani siyo wote mbona wengi tu wametulia?
 
Back
Top Bottom