Maulid Kitenge avuta jiko tena

Maulid Kitenge avuta jiko tena

Sasa cha ajabu hapo nini si bora aoe kuliko kuzini...

Mnadai alikuwa na mtu mzima.. Waislam tumehisiwa tuwastiri wajane pia..

Mwisho wa nne

Hongera kaka maulid
 
kazi ni kwenu ..... jela hiyo...
 
Attachments

  • 1431201514269.jpg
    1431201514269.jpg
    53.9 KB · Views: 1,619
Mkuu guasa kwa kutaja tu hilo jina najua unaelewa kuhusu Mafia.
 
Last edited by a moderator:
Acha tu.Huyu mwanaume hata kama uislam umetoa fursa hiyo hii sasa ni too much!

Kuzaa anazaa nao vizuri tu na ana watoto wakubwa, binti yake mkubwa anaweza kuolewa sasa.

wewe nini kinakukwaza hapo??.. ana wa treat vibaya wake zake?? anawatelekeza watoto anaozaa na hao wana wake??... hao wanawake wamelazimishwa kuolewa nae???...wasemeni watu kwa ubaya na kuwakosoa kama wametenda mabaya otherwise kama hajatenda vibaya na hajavunja sheria vipi mbinue midomo juu!!...
 
Acha tu.Huyu mwanaume hata kama uislam umetoa fursa hiyo hii sasa ni too much!

Kuzaa anazaa nao vizuri tu na ana watoto wakubwa, binti yake mkubwa anaweza kuolewa sasa.

kumbe kala chumvi?hatofautian na mzee yusuph
 
Huyu kaka ana matatizo, huyu ni mke wa nne, ndani ya miaka kumi kama sikosei... Dah... Alikuwa na watu wazima wawili, halafu akaoa kadada fulani keupe sana kanafanya benk fulani sasa sikui imekuaje ameoa tena... Hao wanawake anazaa nao kweli..!
Sheria imesainiwa lakini haijatangazwa rasmi, tiririkeni cha mwisho mwisho...

Eheee Dada Mweupe wa Amana Bank,M. Y,ashamwagwa kumbe? Nasikia ukiwa Power Bank mwili lazima upungue maana unachajiwa na wewe unaenda kuchaji,inawezekana mtalimbo hu doro na huyu lazima kinuke tena chaji itakuwapo kwa sababu kipya kinyemi baada ya mda akishamzoea kitu kinakuwa doroo.
 
wewe nini kinakukwaza hapo??.. ana wa treat vibaya wake zake?? anawatelekeza watoto anaozaa na hao wana wake??... hao wanawake wamelazimishwa kuolewa nae???...wasemeni watu kwa ubaya na kuwakosoa kama wametenda mabaya otherwise kama hajatenda vibaya na hajavunja sheria vipi mbinue midomo juu!!...

Kalagabaho babu weeee.Usinipangie cha kusema.
 
Mawazo ya kitenge ni mfn w walio weng wa mrengo huu.. Kuoa tu hahahahah😕
 
Jamani Maulid, yule dada mtu mzima kidogo, hlf Eshe, hawakutoshi tu ndg yangu? Aisee nimebakia nimekodoa tu hapa

Yule mtu mzima mbona aliachwa zamani tu,yule mama alimuoa upgrade maulidi mno, Ila jamaa alimchuna kisawasawa, alivyotosheka akamuacha akabaki na mmoja, huyo mmoja akaenda kufanya kazi nje ya tz,jamaa akaoa mwengine, si chini ya mwaka jamaa akamuacha, Huyu jamaa ana hekaheka zake
 
Maulid naye katoa tweet kuulizia kama sberia imesainiwa kina watu anataka kuwachomoa pesa ya kutosha
 
Back
Top Bottom