Maulid Kitenge avuta jiko tena

Maulid Kitenge avuta jiko tena

Kitenge Wedding.jpg
 
wewe nini kinakukwaza hapo??.. ana wa treat vibaya wake zake?? anawatelekeza watoto anaozaa na hao wana wake??... hao wanawake wamelazimishwa kuolewa nae???...wasemeni watu kwa ubaya na kuwakosoa kama wametenda mabaya otherwise kama hajatenda vibaya na hajavunja sheria vipi mbinue midomo juu!!...

Freedom of Speech
 
Weka habari wapwa zako tupo tutakuja kukuwekea dhamana mbele ya hakimu mkazi

Hujasikia bandiko lake huko insta eeh? Kauliza kama ile sheria imeshaanza kutumika kuna watu anataka awatoe pesa maana wanamsema sema sana.
 
Kuna watu humu sijui kama akili zao zinafanya kazi sawa sawa...au wameamua tu kujitoa fahamu...sjategemea kukuta mtu na akili zake anashangaa mtu kuoa....!!!
 
Kwa kuangalia tu post za wadau humu..ndio naanza kuelewa kwanini bunge lilitunga ile sheria ya mtandao....maana watu wamekosa staha kabisa na mambi binafsi ya watu....
 
Limwanaume la kuoa wanawake wengi halinaga ladha kabisaaa bora nibaki mwenyewe maisha yote,kuliko ukewenzaa
 
Lazima atakonda tuuuu, kucheza na K kila siku unazan ni kazi ndogo

Nguvu zenyewe za sodaa na wanawake wa siku tunataka shughuli haswaaaa,bado awaze pesa iongezeke,majukumu ya familia,watakua wanaguswa guswa tu wao wandhan wakiwaoa ni kwenda kuwapikia na kuwafulia na kuwazalia haloooo ndio maana likaitwa tendo la ndoa ,ndio hivyoo atachapiwa sanaa nani anataka kuguswa kuguswaaa tu mfyuuuuuu
 
Mimi sioni kosa lake hapo, kwani kitabu kinaruhusu mwisho wangapi? Nini cha ajabu kama anatumia peza aliyovuna kwenye mkataba mpya na EFM?

Wapigwe tu maana hamna jinsi.

Enzi hizo aya zinapitishwa enzi za mtume wanawake walikua wametulia wanajisitiri,wanawaheshimu waume zao,magonjwa yalikuwa hayapo,
Sasa hivi maradhi mengii mume akichepuka mke anajibu,wanawake wanakaa uchi,wamekua na tamaa,sasa hivi ukioa wanawake wengi ni unaongeza ugonjwa moyo tu,,mmoja tu anawashindaa sembuse wanne au watatu nguvu zenyewe hamna mnakula chipsi muda woteee haloooooooo😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
kitenge alikuwa anaonekana mstaarabu sasa anaishi kama yupo karne ya saba
 
Yule mtu mzima mbona aliachwa zamani tu,yule mama alimuoa upgrade maulidi mno, Ila jamaa alimchuna kisawasawa, alivyotosheka akamuacha akabaki na mmoja, huyo mmoja akaenda kufanya kazi nje ya tz,jamaa akaoa mwengine, si chini ya mwaka jamaa akamuacha, Huyu jamaa ana hekaheka zake
Kweli ya kwanza ni ya kwanza tu,anaoa na kuacha ila Eshe wapo pale pale hawaachani
 
Enzi hizo aya zinapitishwa enzi za mtume wanawake walikua wametulia wanajisitiri,wanawaheshimu waume zao,magonjwa yalikuwa hayapo,
Sasa hivi maradhi mengii mume akichepuka mke anajibu,wanawake wanakaa uchi,wamekua na tamaa,sasa hivi ukioa wanawake wengi ni unaongeza ugonjwa moyo tu,,mmoja tu anawashindaa sembuse wanne au watatu nguvu zenyewe hamna mnakula chipsi muda woteee haloooooooo

Shkamoo...!
Nguvu zipi unazungumzia?
 
Ana akili kweli huyu? Wenzake wanaongeza maghorofa yeye anaongeza wake!
 
Back
Top Bottom