Maulid Kitenge avuta jiko tena

Maulid Kitenge avuta jiko tena

Na upande wa pili je? Usiniulize kuhusu hilo mwenyewe keshasema kuna watu anataka kuwatoa pesa sasa mimi mwenzio nitaishia kufungwa tu!
Hahahahaaa

Aaaah kumbe ngoja nikukumbie best, usikute hata tunaokupa like tukaunganishwa!!!

Upande wa pili upi nifah? au unamaanisha alichosema Dinazarde kwenye comment yake #71
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu humu nashindwa kuelewa upeo wao wa fikra umeishia wapi....kwa sababu bado sioni mantiki ya mtu kutokwa na povu na kuanza kupayuka mambo binafsi ya mtu eti kwa sababu ya kuwa huyo mtu kaoa...lazima ifikie kipindi watu waheshimu mambo binafsi ya mtu...na tujifunze kuheshimu maamuzi ya watu wengine...kama kuoa ameoa yeye....mke anamtunza yeye na kwa gharama zake yeye mwenyewe....hata kama wakiwa kumi ni yeye na maisha yake.....sasa kwanini mtu roho imuume mpaka aoneshe chuki zake kwenye keyboard kana kwamba wana ugomvi na mhusika....huu sio ustaarabu....Kama ameoa wanawake kumi ni yeye na maisha yake.....ameshindwa kuwahudumia ni yeye na wake zake.....hawatoshelezi tendo la ndoa ni yeye na wake zake.....LET US MIND OUR OWN BUSSNESSSSS............
 
uislamu mwisho wake wa4 lakini huu ni ukandamizaji na maonezi dhidi ya wanawake...watu huoa tu ili aonekane ilihali nafsin hana uhitaji wa nyama aina moja tofaut mabutcher tu!!

yaani wewe ni mji.nga plus mp.umbavu .... sijakutusi ni sifa ulizonazo, you know nothing about islam and muslims so please shut up , nyie mnaona sawa mtu awe na vimada hata 10 lakini kuongeza mke ni udhalilishaje wa wanawake...

Unajua idadi ya wanawake ni wengi kuliko wanaume , hao wanaobaki wafanye nini..? kuna wanawake waume zao walifariki pia.. hawa wote wanatakiwa waolewe,

ndo inaeusha uchafu mwingi sana ....

go and read books before unakuja hapa kujifanya unaujua uislam.....

kalb we!
 
amekonda, sijui kwanini
hadi uzuri umeisha mmh labda wake zake wanamtumia sana wake wanne si mchezo kila siju lazma awe bize ratiba inakuwa tight kama ya British Air ways
 
Yalaaaaaaaaa.. Toba lai laiiii

Lazima wazee wa mjini wakusaidie kutunza na kusu..
warumi.. Kuna story ya performance ya shilole mahala fulani na picha tatraaaaaaa hebu tuleteee huo ubuyuuu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom