KIKOSIKAZI
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 2,219
- 1,150
wanawake ku share uume kwa kisingizio cha iman inaruhusu!ni ukichaa kama vichaa wengine
Hapo itakua imependwa pesa tu. Alafu jamaa kama amekonda hivi.
Lazima atakonda tuuuu, kucheza na K kila siku unazan ni kazi ndogo
Sasa wewe unatuletea gazeti la 2011 wakati tunaongelea mwaka huu wa 2015!
Dinazarde subiri na wewe lazima uwe mke wa nne
Kalagabaho babu weeee.Usinipangie cha kusema.
Limwanaume la kuoa wanawake wengi halinaga ladha kabisaaa bora nibaki mwenyewe maisha yote,kuliko ukewenzaa
Nakuambia, wake wenza tunajuana kwa vilemba bwana.
Asante mke mwenzangu nami nimekujua.
Maulid hajaanza kukonda leo! Nakumbuka mara ya mwisho kumuona akiwa anatangaza habari za michezo ITV nilishtuka sana kumuona maana alikua kakonda kwelikweli.
Nikamtafuta insta ili nijidhihirishie,nikakuta ni yaleyale!
Aaaah nimecheka!!!!
Hahahahaaa hiyo ndio dawa ya wanafki.Akikutuhumu usikatae, kubali tu halafu mchanganye naye kwenye tuhuma...
Take it from me, harudi tena!
Jino kwa jino
Kujikamua kila siku si mchezo nifah, lazima ukate weight
Hahahahaaa hiyo ndio dawa ya wanafki.Akikutuhumu usikatae, kubali tu halafu mchanganye naye kwenye tuhuma...
Take it from me, harudi tena!
Mhhhhh wanaume mna siri nyingi jamani! Naona umeongea kiume zaidi.......
eeeeh kumbe nimebumburua siri!!! ila ni kweli tunatumiaga nguvu nyingi sana kama unajituma lakini, halafu sasa ndo uongeze na hilo la kukutana na mionzi ya ke tofauti tofauti khaa lazima u-deteriorate
aisee naombe uwe wangu wa peke yako!!!
ila lazima tuishi huku bara!&&