Maulid Baraka wa Kitenge

MBONA ryan seacrest
KILA SIKU ANAKUJA NA DIFFERENT HAIR STYLES???
MBONA HAMSEMI
KWANI KATI YA RYAN SEACREST NA KITENGE NANI ANA HESHIMA DUNIANI??
NA NANI ANA UMRI MKUBWA KULIKO MWENZIE??
ACHA UNAZI
 
Mbona Slaa kaoa mtoto mdogo

pretend to be a great thinker at least for some time bana.
Tukianza kusema mbona flani hivi na hivi, atatokea mtu atadai "...mbona RS alipigwa mtungo?",
halafu kwa standard ulizoweka itabidi tukubaliane nae.
Hapa tunamjadili Kitenge, na kunyoa kwake 'KIDUKU', je ni sahihi?
 
MBONA ryan seacrest
KILA SIKU ANAKUJA NA DIFFERENT HAIR STYLES???
MBONA HAMSEMI
KWANI KATI YA RYAN SEACREST NA KITENGE NANI ANA HESHIMA DUNIANI??
NA NANI ANA UMRI MKUBWA KULIKO MWENZIE??
ACHA UNAZI

Tatizo tumekulia katika jamii ambayo hivi vitu ni vigeni kwetu, staili ya kiduku imezoeleka kunyolewa na wacheza shoo au vijana wanaojiita mashorobaro, Kitenge ana wanawake wawili pia yeye sio celebrity kama alivyo ryan kwa hiyo inabidi aonekane smart ili jamii imuheshimu
 
ukiruka stage utarudia tu tena bila kujijua.... Si makosa yake...

kumbe?
Ila mi nadhani ni kujiendekeza tu, unaweza ukapotezea vitu kama hivyo na wala lisiharibike neno.
After all, ile ni theory, si eti eh?
Haikuwa na critique kwani?
 
mmh si ndio celebrety life ilo unakuja vingine kila siku ili usichuje, age no. tu mbona.

ha ha ha ha ha!
Nadhani kuna fani na fani, sio maceleb wote wanatakiwa wafanane,
kuna kipindi jarida fulani la America lilimtaja Obama kama celeb... Na yeye angeanza viduku, sijui ma-tattoo watu si wangeshangaa?
 
Hata kama ni kweli haituhusu sisi ni maswala yao binafsi, Hata hivyo wote sijaona wapi wamekiuka sheria za nchi.

pitia vizuri post yangu.
Nimetoa sababu za kwanini si sawa yeye kunyoa kiduku, sijataja sheria za nchi.
Huyo RS mwache, yuko kazini hapo...
 
What's wrong with 'kiduku' style, kwa nini msiwashangae wanaoweka curl na kusuka nywele? Helen je? Na sasa hizo suruali mnaona zinavyovaliwa, eti ni swaga!!

kumbuka he's in different pro.
Angekuwa msanii au mwanasoka wala nisingeshangaa...
 
Huyu mtangazaji wa muda mrefu tena mwenye haiba kubwa katika fani hii.
Jana nilimwona kwa mechi ya Twiga Starz, akiwa amenyoa KIDUKU a.k.a 'bwenzi'
Huyu bwana, kulingana na uzoefu wake na umri alionao, bila kusahau heshima yake kwa jamii, ni wa kufanya kitu cha namna hii?
Eti wadau...
huwezi jua,labda nyumba zake(wake zake)zinamsifia kuwa akinyoa hivyo ndio anakuwa mtanashati zaidi.kumbuka amekuwa akinyoa kiduku kwa mda mrefu sasa.
 
huwezi jua,labda nyumba zake(wake zake)zinamsifia kuwa akinyoa hivyo ndio anakuwa mtanashati zaidi.kumbuka amekuwa akinyoa kiduku kwa mda mrefu sasa.

dah?
Kama wake zake ndo wamemshauri, wanatia shaka. Mi nilikuwa namuona akinyoa kipara, bwenzi nimeliona jana.
 
Back
Top Bottom