Maudhi ya wanaume

Maudhi ya wanaume

..shost alushagundua ukaribu wa mume wake an binti wa kazi alimpiga binti biti la kumheshinu baba.

Wamama wengine wakishagundua hili, back 3 huwa anasafirishwa kwao faster na mkong'oto juu. Shosti kavuna alichopanda.
 
Valentina mkono wa kulia ukitoa hata wa kushoto usijue,au sio kwnye bibilia iko hivyo?
Hii ni Cass tofauti my dear

Mume na mke ni mwili mmoja katika kumsaidia mtu kama hivo lazima tuambizane
 
Labd jmaa anatoa msaada kwani lazma awe ana mla ndo atoe msaaada
 
Huyu shost ni yule aliyenisuta sana tulipokuwa la Saba Mimi A yeye B, tumesha yasahau yale. Tunaishi wote huku kwetu Kwamtogole, mtaa mzima wanamheshimu kwakua mume wake anazo anazo hata michango ya kumtoa mwali wote tukichanga 5,000 mwenzetu anatoa 20,000.

Ana housegirl wake alimpata akiwa amemaluza darasa la saba tu, inaweza kuita child labour lakini wote walihitajiana, binti alihitaji pesa kusaidia familia yake na shost alitaka mlezi wa mwanae mdogo. Miaka zaidi ya kumi imepita shost alushagundua ukaribu wa mume wake an binti wa kazi alimpiga binti biti la kumheshinu baba , sasa juzi anagundua mume amemjengea nyumba baba wa binti kijijini. Nyinyi vwanaume mnaudhi si kidogo.
Acheni ubinafsi nyie wanawake mnataka mfaidi nyie tu?
 
Hii ni Cass tofauti my dear

Mume na mke ni mwili mmoja katika kumsaidia mtu kama hivo lazima tuambizane
Kwa vitu vya thawabu hapana mama mume anaweza kutoa tu!Kila mtu kwa mungu ataenda na amali zake!
 
Tatizo sio kumfanyia hisani na haikatazwi kumfanyia ukarimu huo...

Tatizo ni kwanini hakumshirikisha mkewe juu ya hisani hiyo?
mamaeeee asingekubali kamwe na binti kibarua kingeota nyasi siku iyoiyo..... akili zenu mnazijua wenyew
 
Kwa vitu vya thawabu hapana mama mume anaweza kutoa tu!Kila mtu kwa mungu ataenda na amali zake!
Thawabu hiyo ingepokelewa vizuri zaidi kama angemshirikisha mkewe...

Kama ni jambo la thawabu kwanini amfiche mkewe?
 
Akina dada au wanawake siku zote kizuri mkubali kuwa mnakula na wenzenu hata mara moja moja jamani msiwe wachoyo kiivyo.

Hapo beki 3 nae kapata neema zake labda kujengewa nyumba ndio kiinua mgongo chake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom