Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,264
- 4,740
Vijana na Bastola vipi siku hizi? Mwazipatajepataje?
[*=1]Ambrosia
[*=1]Ufoo Saro
[*=1]Klabu ya wazee
Umesahau na CRDB BANK arusha!!!!!"""""""
Vijana na Bastola vipi siku hizi? Mwazipatajepataje?
[*=1]Ambrosia
[*=1]Ufoo Saro
[*=1]Klabu ya wazee
mie leo nimeogopa acha kabisa hata akili haijanikaa sawa nikasema najutaa kwenda boma asbh ya leo.
nimeamua kurudi ofcn hata kazi siwez kufanya kwa nilichokiona leo, tena bhana ni mita chache tu toka benk ya crdb
Chadema bhana! Mnalalamika eti silaha Kova amegawa sana! Mkipewa masharti magumu ya kumiliki silaha mnaandamana! Chadema hopeless!
Huu mwaka umetawaliwa na milio ya risasi na mabomu,sijui mwakani itakuwaje??,mungu atunusuru na awalaze mahala pema peponi waliotangulia mbele ya haki.
Duh, poleni sana ndugu na jamaaa, ila kwa maeleo yako inamaana hao kwenye picha ni wengine tena sio akina dada uliowaeleza hapo?
Msiwasifie hawa vijana wataenda kuapply kwa wenzao,kwa case ya ufuo saro moja humu alisemaga jamaa alikosea kupiga kwa kuacha wengine hai' unaona huyu alichokifanya kaua wote! wengine wanayabeba ya humu kama yalivyo!Mungu awahurumie wapunzike kwa amani,pole kwa ndugu jamaa na jamii nzima!Muuaji anaonekana alikuwa na shabaha! alikuwa analenga kichwa tuu.
Umesahau na CRDB BANK arusha!!!!!"""""""
naam mimi mwenyewe nimeshindwa kupata connection ya picha na habari ya wasichana na mama wa msichana!Duh, poleni sana ndugu na jamaaa, ila kwa maeleo yako inamaana hao kwenye picha ni wengine tena sio akina dada uliowaeleza hapo?
Aah yale yale ya mushi, mlengwa amepona ameuwawa shdmeji na mume mwenza. Ila kina mangi wameamua mwaka huu
huyu dogo anaishi mwanza. kaja dar na demu wake. huyu dogo aliyepigwa lisasi ni mdogo wa demu. hawa jamaa walikua wachumba. pole yao