Mauaji ya watu 3 Ilala - Dar

tatizo ni kupenda na kuwekeza rasilimali nyingi ikiwamo fedha kwa akina dada wakati wao hawana upendo wa that, wanachoangalia ni fursa tu
'tuelezane '
 
Mapenz ya sasa yamejaa unafiki, dhuluma, uzandiki , unafiki, tamAa , dharau na uongo.
 

pole sana, ni wanaume wengi wamelizwa kwa stahili hiyo, nina mshkaji wangu kawa kama mwehu, hakuwa na clue hata kidogo kwamba demu atamgeuka baada ya ku graduate na kupata kazi nzuri. Jamaa alikuwa anajiua na kazi overtime kibao ili amsomeshe demu wake aliyekuwa shule full time, lengo lilikuwa demu akipata kazi ndio jamaa na yeye aingie shule na awe anafanya kazi part time na shule.
 
Ili ulimwengu uwe sehemu salama ya kuishi inabidi wanawake wote wafe..maana wamezidi sana..
 
Kazi kwenu wenye vijisenti mlioamua kuwekeza kwenye vitobo vinavyotoa damu...KAZI MNAYO
 
Mwaka 2005 kule kigamboni yule mangi yeye alimtoa utumbo na kuchinja kabisa yule mwanamke kisa ilikuwa hivyohivyo

Jamaa akikuwa muuza mitumba pale mwenge, demu akamchuna mpaka akammliza jamaa halafu akatafuta mwingine waoane

Wakati ule bastola hazikuwa kivile jamaa akamuita mwanamke waagane akilifanya kakubali matokeo wakaenda gesti moja kigamboni wakachukua chumba, wakaagiza bia mbili ns chipsi mayai

Hata kabla demu hajamaliza kula na Kunywa jamaa akamaliza mchezo halafu hakukimbia wala nini akakaa na maiti yake mpaka walipokuja polisi
 
wewe binti nakuuliza,,, kwanini uendelee kula hela za mwanaume ambaye unajua huna mpango nae??? WHY!??

ACHA SASA...
 
huu utakuwa ni UONGO sababu ata safari yenyewe ilikuwa CYPRUS siyo USA kaka wa marehemu ndio kasema.

Kwa hiyo ni kweli demu alikuwa anasepa kumwacha jamaa haijalishi kama ni US au CYPRUS
 
Duh....ishu ni kuweka mimba kwanza kabla ya mambo mengine yote/kusomesha maana hata akizingua huko mbele haina noma kwa vile ushamtungua.
 
Mie mnachonishangaza ni kuendekeza uzinzi. Kama una uwezo wa kumlipia ada, si umuoe kabisa afu asome huku mnaishi?!
 
Mie mnachonishangaza ni kuendekeza uzinzi. Kama una uwezo wa kumlipia ada, si umuoe kabisa afu asome huku mnaishi?!

Akiamua kuchomoa wakati kuna ndoa inakua mbaya zaidi.
Hii mambo ya kutumia hisia za watu kwa manufaa binafsi kisha kuja kukataa ina madhara yasiyopimika.
 
huu utakuwa ni UONGO sababu ata safari yenyewe ilikuwa CYPRUS siyo USA kaka wa marehemu ndio kasema.

Lakini ukweli upo ata kama ajaenda USA na hayo mauaji yametokea kwa hiyo mtoa mada yupo sahihi. napita tu ndg.
 
shose sha ruwa! hakika nyapu zitawarudisha mavumbini, na moto wa milele uwaunguze kwa umbulula wenu. Poleni sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…