Hiyo ya Ilala Boma labda ni nyingine ila hii ya saubuhi ya leo kwenye saa moja unusu hivi imetokea karibu na klabu ya wazee, eneo kati ya Amana na Bungoni, na sidhani kama kuna benki ya CRDB hapo.
Picha kama la Ufoo Saro vile!
Kijana kwa jina la Gabriel Munisi (27) (mtoto wa kanali mstaafu) ambapo katika sakata hili yeye ndiyo muuwaji! Taarifa ni kwamba, huyu kijana alikuwa akimsomesha dem wake huko Turkey....."makubaliano yao yalikuwa...kwakuwa mimi sikusoma, bora wewe nikusomeshe ili kwa pamoja tukishaoana, tuje kulea watoto.....Gebo akimwambia mchumba wake"!
Baada ya kumaliza kusoma huko uturuki, na kisha kurudi TZ ....demu akaanza kumchenjia mshikaji na kuwa hamataki tena....eti kisa amepata mchumba mwingine..(mzava)....! Wambea wanasema, j3 dem alimpita jamaa gebo kama hamjui vile, achilia mbali matusi na maneno ya kashfa ya dem kwa mshikaji (muuaji) siku za hivi usoni via simu!
Jamaa, ishu zake ni kuchuka ndinga Dar na kwenda kuziuza mkoa fulani kanda ya ziwa, nadhani alipata tetesi kuwa demu wake anasepa leo to USA bila hata kumuaga...sasa sijui ndiyo na huyo mzva sielewi.....na alikuwa anasindikizwa [sijui] hapo siwezi pasemea! Nafikiri kwa hali hii, mshikaji Gebo akaamua afanye MAGAZIJUTO tunayo yasikitikia sasa!
So kuna mangi mmoja kati ya hao marehemu??
sawa ujakosea ila bora udhulimiwe mamilioni kuliko tunda lako
Kwa hiyo ulitaka akiwa anaenda cyprus ndiyo aiuwawehuu utakuwa ni UONGO sababu ata safari yenyewe ilikuwa CYPRUS siyo USA kaka wa marehemu ndio kasema.
wewe hivi umesoma kilichoandikwa au umekurupuka toa usingizini..kawatwangwa wote sasa watapetea wapi au ulikuwa unamaanisha watapetea kuzimuSasa jamaa kafaidika nini maana na yeye kajitoa uhai huku demu wake na mume mwenzake wanapeta,sasa bwana Mzava atajilia vyake kwa ulaiiiini bila hofu ya Bastola..,lkn mademu nyie mnakera hadi basi..,kalale panapokustahili Kamanda
Hueleweki
Kapuya naye atajiua
Picha kama la Ufoo Saro vile!
Kijana kwa jina la Gabriel Munisi (27) (mtoto wa kanali mstaafu) ambapo katika sakata hili yeye ndiyo muuwaji! Taarifa ni kwamba, huyu kijana alikuwa akimsomesha dem wake huko Turkey....."makubaliano yao yalikuwa...kwakuwa mimi sikusoma, bora wewe nikusomeshe ili kwa pamoja tukishaoana, tuje kulea watoto.....Gebo akimwambia mchumba wake"!
Baada ya kumaliza kusoma huko uturuki, na kurudi TZ ....demu akamchenjia mshikaji hamataki tena....kisa kapata mchumba mwingine..(mzava)....! Wambea wanasema, j3 dem alimpita jamaa gebo kama hamjui vile, achilia mbali matusi na maneno ya kashfa ya dem kwa mshikaji (muuaji) siku za hivi usoni!
Jamaa ishu zake ni kuchuka ndinga Dar na kwenda kuziuza mkoa fulani kanda ya ziwa, nadhani alipata tetesi kuwa demu wake anasepa leo to USA bila hata kumuaga...sasa sijui ndiyo na huyo mzva.....na alikuwa anasindikizwa [sijui] hapo siwezi pasemea! Nafikiri kwa hali hii, mshikaji Gebo akaamua afanye MAGAZIJUTO tunayo yasikitikia sasa!
Can you stand for this if held responsible?????!!!!!